Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kuna tetesi za uhakika kuwa yule bwana mkubwa aliyetaka kuchukua form za kugombea kanyumba keupe(white house), amehamia chadema na tayari amechukua form za ubunge kupitia jimbo la maswa...
0 Reactions
161 Replies
13K Views
Jina Umri Elimu Jimbo Mkoa Dr. Batilda Salha BURIANI 45 Chuo Kikuu JIMBO LA ARUSHA ARUSHA Jeremiah Solomon SUMARI 67 Sekondari JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI ARUSHA Goodluck Joseph ole...
0 Reactions
89 Replies
18K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema ambaye ameombwa kugombea ubunge Jimbo la Vunjo lililopo mkoani Kilimanjaro mwaka 2010 amekubali kugombea nafasi hiyo ikiwa atatakiwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ikiwa imebaki mwaka 1 1/2 kufikia uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, CCM imeanza maandalizi ya kujipatia kiasi kikubwa cha pesa za kufanikisha uchaguzi kutoka Hazina. Mikakati hiyo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau nimejaribu kutafuta CV ya huyu mama bila mafanikio, nikaona ni vema na haki niyalete maombi yangu kwa yeyote anayemfahamu huyu mama ambaye ni miongoni mwa wanachama wa CCM walipitishwa...
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Yes ni ukweli ambao CCM ilishindwa 2015 ilibaki kwasababu ya dola na kuendelea kuongoza na ndo tatizo lilipoanzia. 2015 ulikuwa mwaka ambao kimatinki kabisa ndo ilikuwa mwisho wa CCM kama chama...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kwa tathmini huru ya mwenendo wa siasa kuanzia 2014 hadi tukielekea 2020 tunaona yafuatayo 1. Wananchi are not elastic towards politics na hii imechangiwa na kazi nyingi -- hapa kazi tu na...
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Leo kulizuka songobingo baada ya gari la matangazo la TLP kupita mitaani ilikitangaza kuwa bwana God bless Lema amekihama chama chake cha CHADEMA na kwenda TLP ndipo bwana Lema alipotarifiwa juu...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Kampeni hii itakayojulikana kwa jina la “TANZANIA YA WANANCHI” inalenga kuelimisha, kuhamasisha wananchi katika kutambua haki zao za msingi kwa kuzingatia misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano...
13 Reactions
53 Replies
4K Views
Tayari Wagombea wote akiwepo JK wameshawasili. Dr. Wibroad Slaa bado hajawasili: ================== UPDATES: MATOKEO YAANZA KUTANGAZWA KAMA IFUATAVYO: WALIOJIANDIKISHA: 20,137,303 Waliopiga...
0 Reactions
247 Replies
26K Views
Wadau, hebu angalieni hizi takwimu hapa chini halafu mweney kujua atujuze kwa nini mwaka 2010 umekuwa kama outlier, yaani hiyo spike sio ya kawaida, kama unachora graph itakutisha kwa jinsi...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Hii imekaaje wana JF, Kweli Mwakalebela ana furaha au basi tu kakubali yaishe. Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)Taifa, Ridhiwani...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Nilisikia kuwa baada ya uchaguzi kuna mgombea urais atakufa waandishi wa habari wathibitisha haya . Kama sio kutisha watu wasigombee ni nini?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zinazochipukia sasa zinasema Anna Tibaijuka amempiku Wilson Masilingi katika kura za maoni kule Muleba. Prof Anna Tibaijuka alishinda kwa kupata kura 5,275 dhidi ya 2,092 za Masilingi. Kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu Chama Cha CHADEMA Kimeendelea kujiimarisha katika kila idara.Hivi Karibuni CHADEMA imezindua ring tones na caller tunes kwaajili ya kuhamasisha Watu mablimbali...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Jana wakati naangalia luninga, nilishtuka kuona kuna mgombea mmoja hivi wa Tabora mjini, jina lake ni Aden rage, huyu jamaa nikakumbuka alikuwa anajihusisha sana na masuala ya mpira sijui ni TFF...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
As self reflection on the state of social service delivery in Tanzania continues more people are becoming of the view that government is capable of providing free key social services like...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Atangaza kikosi cha kumsambazia fomu Ni timu tisa, kila moja ina wanafunzi wanne Rais Jakaya Kikwete Wakati joto la Uchaguzi Mkuu likizidi kupanda, Rais Jakaya Kikwete, amesema...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii nimeipata sasa hivi Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania vimewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu yatakayotangazwa na tume ya taifa ya...
0 Reactions
279 Replies
25K Views
Mgombea urais kupitia Chama cha Maendeleo na Demokrasia, Dk wilbrod Slaa amerusha kombora kwa mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo, kumtaka awaeleze...
0 Reactions
189 Replies
17K Views
Back
Top Bottom