Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Hili wengine tuliandika tokea mwaka jana kwamba Mwakipesile hana mpango tena wa kugombea ubunge wa Kyela. Sihitaji Ubunge Kyela 2010- Mwakipesile Sunday, 07 June 2009 15:07 Na Mwandishi Wetu...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kutakuwa na faida gani au hasara gani endapo tutaamua kuitisha uchaguzi mkuu mapema na hivyo kuondokana na mlolongo wa kashfa na watuhumiwa wa kashfa mbalimbali na hatimaye kuunda serikali mpya...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Endapo kampeni ya kumzuia JK kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM 2010 itafanikiwa Taifa letu litakuwa matatani kwani itakuwa ni mgawanyiko ambao Taifa haliwezi kustahimili. Kwa ajiili ya amani, umoja...
0 Reactions
127 Replies
16K Views
Baada ya kuona sasa hakuna njia ya kuiba BOT Serikali ya CHAMA CHA MAJAMBAZI imeanza kutumia mashirika ya UMMA kuchota fedha hazina kwa ajili ya kampeni 2010 Akiongea kwa minajili ya kutotajwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
visit www.kwanzajamii.com na taarifa ya kamati ya slaa yala posho mara mbili, na suala la mengi vs rostam ni mpambano wa kibiashara na si ufisadi. toleo namba la gazeti sikuiona. lakini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je, Tanzania yahitaji kubadili mfumo wake wa uchaguzi kuepukana na yaliyoikuta Kenya na Zimbabwe? Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania ni kama mifumo itumikayo Kenya na Zimbabwe. Tunatumia mfumo uitwao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Na Exuper Kachenje VYAMA vya siasa vya CUF na Chadema vimeelezea wasi wasi wao kuhusu uwezo wa kiutendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kwamba havina imani nayo. Hayo yalisemwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu baada kutafakari kwa muda mrefu na pia kujipanga kiuchumi na kisera nachukua fursa hii kuwatangazia wanajamii wenzangu na watanzania kuwa nimefikia uamuzi wa kuingia rasmi katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika hali inayoonyesha kuwa ni JITIHADA ZA KUFIFISHA MOTO WA VITA YA UFISADI nchini, mafisadi wanajipanga kumng'oa Mbunge wa Kishapu ndugu Fredrick Tungu Mpendazoe. Mpaka sasa Mafisadi...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Kumekuwa na usemi hapa Tanzania kwa muda sasa kuwa VIJANA NI TAIFA LA KESHO.Sensa ya 2002 imedhihirisha pia kuwa Vijana ni wengi zaidi kuliko wazee,vilevile wazee wamekwisha tuongoza kwa nafasi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Na Habel Chidawali,Dodoma ( MWANANCHI ) NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi, Omari Yusufu Mzee amewajia juu watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kudai kuwa, baadhi yao ni wezi wakubwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mafisadi kuamua nani awe rais 2010? Godfrey Dilunga Machi 18, 2009 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo Mbunge wa CCM asema nchi iko rehani MBUNGE wa Kishapu, Fred Mpendazoe, amesema...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MBUNGE wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela ametoa tahadhari juu ya uwezekano wa kutokea umwagaji damu katika uchaguzi mkuu wa 2010 iwapo mbegu za chuki za ukabila na udini alizosema...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zinanukia na kusema kuwa ili kujisafisha na kuondoa sura ya madoa ya EPA, RADA, Kiwira na dalili zozote za kuitwa Chama Cha Mafisadi, CCM imeanza kampeni za usajili wa wagombea Udiwani na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naona MAPAMBAZUKO katika siasa za upinzani!.............wagombea wqengi wa URAISI kupitia vyama pinzani tanzania wameamua kugombea ubunge> MREMA,ameelezea KUITIKA WITO uliomtaka agombee kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF, Nataka kugombea Urais wa Tanzania bara mwaka 2010. Nipeni orodha ya mbinu za kushinda. 1, 2 , 3, ............n.k.
0 Reactions
43 Replies
7K Views
We have got only one year kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010,binafsi nafikiri ni wazo zuri kama tufanya analysis ya wagombea wetu hasa upande wa ngazi ya President ,at least wapinga kura ambo ni sisi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
UCHAGUZI 2010: :: Ni Chadema v/s CCM Tanzania Bara :: CCM v/s CUF Tanzania Visiwani :: Majimbo 50 tata haya hapa Na Waandishi Wetu UKIWA umebakia mwaka mmoja ili kufikia uchaguzi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Sultan Seif Sharrif Hamad ameshachukua fomu za kugombea tena nafasi ya katibu mkuu wa CUF. Lipumba yeye amesema ataamua wiki moja kabla ya uchaguzi wa chama hicho ili kutowatisha wanachama wengine...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
CCM yaizidi kete CHADEMA, yabuni mbinu ya kupunguza wabunge wa upinzani CCM imebuni kete mpya ya kuizidi CHADEMA na kupunguza nguvu ya upinzani bungeni. Katika mkakati huo mpya ambao umeshapata...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Back
Top Bottom