Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
  • Redirect
Amir, meaning "prince," "commander," and "leader," is a male name of Arabic origin. For followers of Islam, Amir is a significant name that enjoys evergreen popularity across the globe. It
0 Reactions
Replies
Views
Inye bojo, mwaguma! Nataka kujua maana ya jina Kahatano.
2 Reactions
4 Replies
535 Views
Huu ni uzi maalum kwa ajili ya kurekebisha makosa ya uandishi wa maneno na sarufi katika lugha za Kiswahili na Kiingereza. Nitaanza na maneno ya kiingereza chart na chat. Mara nyingi watu...
2 Reactions
3 Replies
291 Views
Lugha ya Ishara ni lugha ya kuona ambayo hutumia mikono, mwili na mienendo ya uso kusiliana. Kuna zaidi ya lugha ya ishara 135 ulimwenguni kote, na karibu asilimia 20 ya idadi ya watu duniani wana...
0 Reactions
2 Replies
245 Views
السلم اليكم All جميعا 🌺 الحدالله to be المسم في كليحل 🙏يربي ه‍دنا الصرط المستقبم 🌹 And they will all wish for a good fast month RAMADHANI KARIM.🌹
11 Reactions
52 Replies
962 Views
Naomba nielemishwe kuhusu utabiri unaotolewa na Watalaam. Anaposema kuwa eneo fulani watapata mvua ya WASTANI na juu ya WASTANI ana maana gani?.
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Baba mimi ni mtoto wako wa ngapi kuzaliwa?
1 Reactions
41 Replies
9K Views
1. Naanza ona mikasa, yawezaleta balaa, Viongozi wengi tasa, kwa hoja zisizo zaa, Hasa kwa Wana siasa, wao ni kama tabia, Wajifanya ni matasa, wafanyacho wakijua. 2. Ni kutafuta majanga, kuvunja...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wadau! Natambua uwepo wa watu wenye asili ya kabila maarufu pale mkoani mbeya yaani Wanyakyusa. Kutokana na mihangaiko ya maisha wengi wetu tumejikuta tumekosa fursa ya...
2 Reactions
91 Replies
36K Views
1. Mgeni siku ya kwanza, mpe mchele na panza, mtilie kifuuni, mkaribishe mgeni. 2. Mgeni siku ya pili, Mpe maziwa na samli, Mahaba yakizidia, Mzidishie mgeni. 3. Mgeni siku ya tatu, Nyumbani...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Adhabu ya kaburi aijua maiti, The touture of the grave is only known by the corpse Akiba haiozi, A reserve will not decay Asifuye mvuwa imemnyea. He who praises rain has been rained on. Akili...
4 Reactions
6 Replies
7K Views
Namkumbuka Rais Mwinyi kwa mengi, moja wapo ni pale alipoanzisha kipindi chake cha kiswahili RTD (Radio Tanzania Dar es salaam). Moja ya somo alilofundisha lilihusu tarakimu. Alisema, "katika...
4 Reactions
9 Replies
907 Views
Hello, ladies and gentlemen I'd like to welcome you all to this English language 101 Club. This club is for those who want to learn English language and excel. We are sometimes tirelessly...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Huu msemo Waliosoma Cuba una maana gani kiutani coz nausikia tu na sielewi!!!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mzuka wana JF! Ni matumaini yangu wote wazima wa afya na mwenyezi Mungu anaendelea kutujalia uzima, amani, nguvu, afya na faraja wakati huu mgumu wa kumpoteza ndugu yetu Bernard Kamilius Membe...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Watanzania mmenishinda! Msemo wa mitano tena umeshika kasi. Kila kikitokea kitu hasi mtu anaposti......mitano tena! Saa hapa ni kukata tamaa au kebehi za wazi? Kwa kweli Watanzania ni watu wa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakazi wa makkah ambao ni maquraish walikuwa na mashaka juu ya Utume wa Muhammad rehma na amani ziwe juu yake, hivyo walitaka kujiridhisha je huyu kweli ni Mtume wa Mungu au laa! Basi kwakuwa...
6 Reactions
9 Replies
361 Views
1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa 2. Mwandu-uke 3. Kifuku-masika 4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu 5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka 6...
2 Reactions
20 Replies
897 Views
Mbwa wa jirani Mbwa wa jirani Mtaji ni wangu Hajui niliupate Amenikuta nanunua na kuuza Hajawai nipa hata mia Mbwa wa jirani wanibwekeaje mimi Mbwa wa jirani Hacha fokea mimi Mbwa wa jirani...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
1 - English: Wazungumzaji bilioni 1.456 2 - Mandarin Chinese (普通话): Wazungumaji bilioni 1.138 3 - Hindi (मानक हिन्दी, हिन्दी): Wazungumzaji milioni 609.5 4 - Spanish (castellano, español)...
1 Reactions
24 Replies
913 Views
Back
Top Bottom