Hizi ndio lugha 20 zinazozungumzwa zaidi duniani

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,323
4,048
1 - English: Wazungumzaji bilioni 1.456

2 - Mandarin Chinese (普通话): Wazungumaji bilioni 1.138

3 - Hindi (मानक हिन्दी, हिन्दी): Wazungumzaji milioni 609.5

4 - Spanish (castellano, español): Wazungumzaji milioni 559.1

5 - French (français): Wazungumzaji milioni 309.8m

6 - Standard Arabic (العربية): Wazungumzaji milioni 274.0

7 - Bengali (বাংলা): Wazungumaji milioni 272.8m

8 - Portuguese (Português): Wazungumzaji milioni 263.6

9 - Russian (русский язык): Wazungumzaji milioni 255

10 - Urdu (اُردُو): Wazungumzaji milioni 231

11 - Indonesian (Bahasa Indonesia): 199.1m

12 - Standard German (Deutsch): 133.2m

13 - Japanese (日本語): 123.4m

14 - Nigerian Pidgin (Naijá): 120.7m

15 - Egyptian Arabic (عامي, مصري): Wazungumzaji milioni 102.4

16 - Marathi (मराठी): Wazungumzaji milioni 99.2

17 - Telugu (తెలుగు): Wazungumzaji milioni 96.0

18 - Turkish (Türkçe): Wazungumzaji milioni 90.0

19 - Tamil (தமிழ்): Wazungumzaji milioni 86.6

20 - Yue Chinese (粵語):Wazungumzaji milioni 86.6m

SOURCE: ETHNOLOGUE
 
Kiswahili kinazungumzwa Tanzania, kenya, uganda, na some parts za Rwanda, congo, burundi, msumbiji inakosaje kuzungumzwa na angalau watu mil 100?
Kiswahili kinazidi hiyo rank, sema ni vile waTanzania tumekosa watu muhimu wa kufanya tathimini ya maendeleo ya lugha yetu kwa kukusanya data na kuziingiza ktk mashirika yanayohusika na hayo masuala ya utafiti wa lugha, tupo bize kusubiri wazungu watusaidie kurank maisha yetu wenyewe, kwa staili hii hata Afrika mashatiki mnaweza ambiwa lugha kuu ni English na french, sababu hatufanyi tafiti zaidi ya kusubiri kufanyiwa kila jambo.
 
Swahili is “among the 10 most widely spoken languages in the world, with more than 200 million speakers,” UNESCO states in its proposal to Member States last month to proclaim World Kiswahili Language Day.

Nimeshangaa sana kutokukiona kiswahili hapo wakati kina idadi kubwa ya watu wanaokizungumza
Yaani nimeshangaa hata mimi sababu tukiongelea Tanzania tu tayari tuna 60+ milioni, sasa nchi zote hizo zilizobaki unakosa kweli 100m na ushee maana Kenya tu population yao ni 53 milioni hivi ambao nina hakika karibia au zaidi ya 90% wanazungumza hii lugha
 
Tanzania tu kiswahili kuna makabila mengi tu hawakijui.
 
1 - English: Wazungumzaji bilioni 1.456

2 - Mandarin Chinese (普通话): Wazungumaji bilioni 1.138

3 - Hindi (मानक हिन्दी, हिन्दी): Wazungumzaji milioni 609.5

4 - Spanish (castellano, español): Wazungumzaji milioni 559.1

5 - French (français): Wazungumzaji milioni 309.8m

6 - Standard Arabic (العربية): Wazungumzaji milioni 274.0

7 - Bengali (বাংলা): Wazungumaji milioni 272.8m

8 - Portuguese (Português): Wazungumzaji milioni 263.6

9 - Russian (русский язык): Wazungumzaji milioni 255

10 - Urdu (اُردُو): Wazungumzaji milioni 231

11 - Indonesian (Bahasa Indonesia): 199.1m

12 - Standard German (Deutsch): 133.2m

13 - Japanese (日本語): 123.4m

14 - Nigerian Pidgin (Naijá): 120.7m

15 - Egyptian Arabic (عامي, مصري): Wazungumzaji milioni 102.4

16 - Marathi (मराठी): Wazungumzaji milioni 99.2

17 - Telugu (తెలుగు): Wazungumzaji milioni 96.0

18 - Turkish (Türkçe): Wazungumzaji milioni 90.0

19 - Tamil (தமிழ்): Wazungumzaji milioni 86.6

20 - Yue Chinese (粵語):Wazungumzaji milioni 86.6m

SOURCE: ETHNOLOGUE

Kuna lugha inazungumzwa na watu wengi lakini ipo sehemu moja tu ya dunia, na lunga nyingine ina watu wachache lakini sehemu nyingi za dunia. Hili linapimwaje?
 
1 - English: Wazungumzaji bilioni 1.456

2 - Mandarin Chinese (普通话): Wazungumaji bilioni 1.138

3 - Hindi (मानक हिन्दी, हिन्दी): Wazungumzaji milioni 609.5

4 - Spanish (castellano, español): Wazungumzaji milioni 559.1

5 - French (français): Wazungumzaji milioni 309.8m

6 - Standard Arabic (العربية): Wazungumzaji milioni 274.0

7 - Bengali (বাংলা): Wazungumaji milioni 272.8m

8 - Portuguese (Português): Wazungumzaji milioni 263.6

9 - Russian (русский язык): Wazungumzaji milioni 255

10 - Urdu (اُردُو): Wazungumzaji milioni 231

11 - Indonesian (Bahasa Indonesia): 199.1m

12 - Standard German (Deutsch): 133.2m

13 - Japanese (日本語): 123.4m

14 - Nigerian Pidgin (Naijá): 120.7m

15 - Egyptian Arabic (عامي, مصري): Wazungumzaji milioni 102.4

16 - Marathi (मराठी): Wazungumzaji milioni 99.2

17 - Telugu (తెలుగు): Wazungumzaji milioni 96.0

18 - Turkish (Türkçe): Wazungumzaji milioni 90.0

19 - Tamil (தமிழ்): Wazungumzaji milioni 86.6

20 - Yue Chinese (粵語):Wazungumzaji milioni 86.6m

SOURCE: ETHNOLOGUE
Inawezekanaje India ikawa na watu zaidi ya Bilion moja lakini Kihindi kikazungumzwa na watu milioni 609?? Au ndani ya India kuna Lugha nyingine zenye nguvu?
 
1 - English: Wazungumzaji bilioni 1.456

2 - Mandarin Chinese (普通话): Wazungumaji bilioni 1.138

3 - Hindi (मानक हिन्दी, हिन्दी): Wazungumzaji milioni 609.5

4 - Spanish (castellano, español): Wazungumzaji milioni 559.1

5 - French (français): Wazungumzaji milioni 309.8m

6 - Standard Arabic (العربية): Wazungumzaji milioni 274.0

7 - Bengali (বাংলা): Wazungumaji milioni 272.8m

8 - Portuguese (Português): Wazungumzaji milioni 263.6

9 - Russian (русский язык): Wazungumzaji milioni 255

10 - Urdu (اُردُو): Wazungumzaji milioni 231

11 - Indonesian (Bahasa Indonesia): 199.1m

12 - Standard German (Deutsch): 133.2m

13 - Japanese (日本語): 123.4m

14 - Nigerian Pidgin (Naijá): 120.7m

15 - Egyptian Arabic (عامي, مصري): Wazungumzaji milioni 102.4

16 - Marathi (मराठी): Wazungumzaji milioni 99.2

17 - Telugu (తెలుగు): Wazungumzaji milioni 96.0

18 - Turkish (Türkçe): Wazungumzaji milioni 90.0

19 - Tamil (தமிழ்): Wazungumzaji milioni 86.6

20 - Yue Chinese (粵語):Wazungumzaji milioni 86.6m

SOURCE: ETHNOLOGUE

Huu ni uongo mkuu
 
Ni true maan kwiswaz kipo mostly eastern Africa. UKiangalia natives wengi hawajaspread worldwide... Moja ya vitu vinavyo spread culture ni pamoja na lugha ni native culture kusambaa pande zote dunian. So nakubaliana nawe!
 
Back
Top Bottom