Maneno yafuatayo utayasikia kusini mwa Tanzania pekee

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,807
45,479
1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa

2. Mwandu-uke

3. Kifuku-masika

4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu

5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka

6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua

7. Manda-wali

8. Mweche(ukwale)-hamu
 
1. Nhonyo-sehemu ya haja kubwa

2. Mwandu-uke

3. Kifuku-masika

4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu

5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka

6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua

7. Manda-wali

8. Mweche(ukwale)-hamu
9. Kukafua - kupiga na mti fungu la mazao yaliyokauka yakiwa kwenye mashina yake, mfano; maharage, ufuta, mpunga, nk. Huenda ni neno la kiswahili sanifu.
 
1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa

2. Mwandu-uke

3. Kifuku-masika

4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu

5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka

6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua

7. Manda-wali

8. Mweche(ukwale)-hamu
Mfyele マフラーmwanamke aliejifungua.
 
1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa

2. Mwandu-uke

3. Kifuku-masika

4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu

5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka

6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua

7. Manda-wali

8. Mweche(ukwale)-hamu
Kuhemwa ni kushangazwa kiongozi
 
1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa

2. Mwandu-uke

3. Kifuku-masika

4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu

5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka

6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua

7. Manda-wali

8. Mweche(ukwale)-hamu
Tutunge sentensi kwa maneno hayo ya kusini sasa.

Nina Mweche na mwandu.
 
1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa

2. Mwandu-uke

3. Kifuku-masika

4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu

5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka

6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua

7. Manda-wali

8. Mweche(ukwale)-hamu
2. Uke - inyo
9. Asali - Uchi
10. Mama mkwe - nyokovyala

Nyanda za juu kusini
 
Kuna siku nikiwa mkoa fulan nilijitambulisha natokea MNELO, wazee walimaind kumbe kwao mnelo ni bonge la tusi.

Uzi umenikumbusha nyumban japo sio kiviile
 
Back
Top Bottom