Mitano tena, maana yake nini?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,399
24,399
Watanzania mmenishinda!
Msemo wa mitano tena umeshika kasi.
Kila kikitokea kitu hasi mtu anaposti......mitano tena!

Saa hapa ni kukata tamaa au kebehi za wazi?

Kwa kweli Watanzania ni watu wa amani.
Wasipopenda kitu ni maneno tu.
Watakusema sana, kama Jafo alivyomsema tu mpaka akazimia!

Huu msemo mitano tena lazima unakera!
 
This is the best time to prove that we can't exist on our own as a society we need leaders. At trying times like this it's when we sit back and review our values and process of selecting and vetting our leadership process. The best we can do is learn.

Vilaza ni changamoto kubwaaaaaa
 
Laughter and humor can uplift our spirit during hard times so let say again 'mitano tena'
 
Watanzania mmenishinda!
Msemo wa mitano tena umeshika kasi.
Kila kikitokea kitu hasi mtu anaposti......mitano tena!

Saa hapa ni kukata tamaa au kebehi za wazi?

Kwa kweli Watanzania ni watu wa amani.
Wasipopenda kitu ni maneno tu.
Watakusema sana, kama Jafo alivyomsema tu mpaka akazimia!

Huu msemo mitano tena lazima unakera!
Mitano tena.

Kwa sababu ukijieleza lolote zaidi unaweza kupewa kosa la kimtandao, kupewa kesi ya uhujumu uchumi au kupigwa kodi usiyoielewa na TRA.
 
Watanzania mmenishinda!
Msemo wa mitano tena umeshika kasi.
Kila kikitokea kitu hasi mtu anaposti......mitano tena!

Saa hapa ni kukata tamaa au kebehi za wazi?

Kwa kweli Watanzania ni watu wa amani.
Wasipopenda kitu ni maneno tu.
Watakusema sana, kama Jafo alivyomsema tu mpaka akazimia!

Huu msemo mitano tena lazima unakera!

Tunaelekea kwenye mi7 sasa...sahau mitano tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom