Wataalamu wa Kiswahili, haya ni maneno au misamiati sahihi ya lugha ya Kiswahili?
" Kujumua" kwa maana ya kununua vitu kwa jumla. Huu msamiati unatumika sana Iringa, Njombe na Mbeya...
Baada ya Maghribi, Mitaa ya Kariakoo
Nipo jijini Dar es Salama, vitongoji vya mitaa ya Kariakoo, unyounyo na rafiki yangu, tukitembea sako kwa bako, hamadi kibindoni tukajikuta tupo mtaa ya...
Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake".
SABABU ZA UTATA
(i) Neno...
Nimekuwa nikishuhudia baadhi ya ndugu zetu wa nchi jirani wakitumia mofimu "kwa" katika namna ambayo siyo sahihi kwa mjibu wa Kiswahili sanifu na fasaha. Ninaelewa kuwa kuna utofauti wa kilahaja...
"I was today years old when I found out Babu wa Kitaa na Country Boy ni mtu na kaka yake".
Kumekuwa na mabishano kuwa hiyo sentence hapo juu ni sio sawa na wengine wanasema ipo sawa.
Wajuzi...
Bagalu bichane, aliyoneyo, nandje kwa kubagisha pye!
Salaam kwa wote. Samahani wakuu, inaniwia vigumu kuandika kwa kutumia lugha moja kuwasilisha hoja na maswali yangu. Ningelipenda sana lakini...
Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama msomi.
Inafikirisha Sana hili jambo. Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.
NB: Vijana jifunzeni kiingereza ili...
Nianze na misemo ya kisukuma na maana zake
1. Chujaga mhela utizaguchuja nhola
Bora umkose nyati atakuhurumia kuliko kukosea kuoa.
2. Kushema Chonja kubundala
Huu ni sawa ule msemo mtaka cha...
Yaani Nawaza Kisichowezekana
Nimejiuliza sana, nikajiuliza tena na tena, hivi kwa nini Watoa Huduma wote wanatakiwa wawe na vyeti vya kufuzu masomo yao, na kama haitoshi, pale wanapotaka...
Wadau, siku hizi moyo wa kusoma vitabu vya aina zote-vya Taaluma na Riwaya umepungua sana na imepelekea Watunzi wa Riwaya kutoandika tena vitabu. Leo nawakumbuka baadhi ya Waandishi/ Watunzi wa...
Salaam, Shalom!!
Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu...
Usaini mkataba, upewe mengi manoti,
Tupe mgodi wa shaba, wenye ya kudumu hati,
Masharti yote saba, yapite kimkakati,
Saini hu mkataba, upewe mengi manoti.
Utalindwa kisiasa, mkataba kisaini...
Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5.
Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.