Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba msaada wa mawazo au hata tiba. Inakuwaje pale ninapoingiza uume kwenye uke naanza kuwashwa mpaka naahirisha tendo la ndoa? Maana hali ni mbaya.
0 Reactions
9 Replies
193 Views
Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni...
16 Reactions
231 Replies
8K Views
kuna imani potofu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sehemu za siri za wanawake, mwanamke mmoja ameamua kujitoa kuelezea masuala hayo. Dr Jen Gunter amekua daktari wa kina mama huko Marekani na...
2 Reactions
6 Replies
258 Views
TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno...
4 Reactions
9 Replies
388 Views
Hi! Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now, Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo, Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya...
5 Reactions
59 Replies
1K Views
Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu. Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu...
18 Reactions
98 Replies
2K Views
Habar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote. Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari za asubuhi, Nimesafiri kuja mkoa fulani kuna Taasisi kubwa ya afya nzuri Sana mimi ni mla pombe wa kiwango cha 5G Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kuziacha na nadhani huu ndo muda sahihi...
0 Reactions
2 Replies
156 Views
Sehemu ya uke iliyoathirika kwa viuvimbe kutokana na ugonjwa unaosababishwa na na virusi ujulikanao kama Human Papillomavirus (HPV). Ni moja ya magonjwa yanayosababisha muwasho sehemu za siri...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
No wonder this grass went viral all over the social media. With its endless health benefits, it is truly God’s gift to mankind. We can find this weed almost everywhere throughout the Philippines...
75 Reactions
2K Replies
261K Views
Dr Sebi Tells How He Cures A.I.D.S THERE IS ONLY ONE DISEASE MUCUS....... WHERE MUCUS IS THE HUMMAN BODY? According to Dr. Sebi, there exist only one disease which is mucus. He contended mucus...
13 Reactions
204 Replies
36K Views
Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha...
2 Reactions
28 Replies
635 Views
Nilipata muwasho mkali sana mwilini nikapewa tubes za kupaka, cetrizine na predisolone ila bado hali haikubadilika. Nikaenda nika pata vipimo vya full blood picture na uric acid. Bloodpicture...
2 Reactions
10 Replies
565 Views
Je umeshawahi kukutana na mtu mwenye hali hii hapa chini kwenye picha katika sehemu yake ya kwapa/sehemu za siri? Hali hiyo hapo juu kwenye picha ni ugonjwa hujulikanao kwa kitaalamu kama...
0 Reactions
3 Replies
139 Views
Watu wengi wamekulia katika jamii ambazo wanaoamini dawa za mitoshamba hazina madhara na kuwa unaweza kutumia tu kiholela holela hata Kama huna ujuzi nao. Ukweli Ni kuwa mitoshamba Kama...
4 Reactions
16 Replies
335 Views
Habarini wna JF ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya tele, ningependa ku share hii experience wakati nikiendelea kuishi kwa hofu sana baada ya kukutana na mdada ambae ni muathirika baada ya...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Habarini wa Jf imepita sasa takribani week7 na nusu niko week ya 8 baada ya kuishi kwa msongo mkubwa sana wa mawazo kupelekea afya kudhorota na ufanisi wa kazi kuwa mbovu baada ya kuyatimba kwa...
3 Reactions
35 Replies
874 Views
Habari madokta wa jamii.leo naomba kusaidia jambo Nina rafiki angu anaumwa sana fungus. Imeanza miaka mitatu iliyopita,ulianzia kwenye korodani na Sasa Iko kwenye njia ya mkojo. Ametumia dawa...
3 Reactions
48 Replies
1K Views
Wakuu nlileta kisa hum baada ya kusex na binti anaetumia dawa na hakuniambia, ila siku anakuja mda ulikua umeenda sana na nlitakiwa kuwahi kazini..so kwenye ile sex nlifanya chini ya dakika 2...
4 Reactions
4 Replies
156 Views
Back
Top Bottom