Newbies
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 1,543
- 2,251
Watu wengi wamekulia katika jamii ambazo wanaoamini dawa za mitoshamba hazina madhara na kuwa unaweza kutumia tu kiholela holela hata Kama huna ujuzi nao.
Ukweli Ni kuwa mitoshamba Kama isipotumika kwa umakini na kizingatia kipimo stahiki ukawa unabugia tu unaharibu Figo.
Utakuta MTU anakunywa Alovera daily baadaye akiambiwa ini limefeli anaanza kushangaa kuweni makini.
Dawa ni Dawa.