Upasuaji kwa wajawazito imekuwa kama lazima, ni kero kubwa

under timer

JF-Expert Member
Dec 25, 2021
267
384
Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu.

Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu sawa., kwa kuwa mnapata posho na uzoefu pia ila madhara ni makubwa kwa wamama majumbani kwao.

UZOEFU WA UPASUAJI KWA MTU ASIYEHITAJI KUPASULIWA HII SIO HAKI KABISA.
 
Sababu zake ni TANO:-

. Upasuaji ni biashara, so madaktari wanashauri upasuaji kwa malengo ya kifedha zaidi.

. Wanawake wengi wanaogopa ku push. Wanahofia maumivu ya kuchanika.

. Wanawake wanajua kuzaa bila njia ya kawaida kunafanya K zao ziwe tight, zisiperepete,

. Wanawake wanatumiwa njia ya nyuma kungonoka. Hivyo wanajua Hawataweza kupush kwa kawaida maana nyuma kutakuwa kumelegea

. Zipo sababu za ki afya pia Ili hizo ni chache sana.
 
Huwa haifanyiki tu bila.sababu , kuhatarisha afya ya mama na mtoto sio vizuri ndio maana tukiona dalili sio nzuri ni bora uende na njia iliosalama zaidi kuliko kubeti, Halafu wamama.

Wengi hususani hawa prime ni wavivu mno wakati wa ujauzito hawachukui mazoezi ni uvivu tu ikija hatua ya kujifungua ndio balaaa lake mkunga unajikuta hadi jasho linakutoka wakati wa kumsaidia kujifungua.
 
Zipo sababu nyingi zinapelekea upasuaji kwa wajawazito iwe kama huduma ya kwanza.

1. mabadiliko ya kimfumo wa maisha inayopeleka wajawazito kuishi maisha "legelege" hivyo kutokua na nguvu za kutosha kusukuma mtoto

2. serikali ineweka presha kubwa sana kwa wakunga na madakrari kiasi cha kuua zile skills za kumsaidia mjamzito ajifungue bila upasuaji.

3 na mwisho, wakunga wanaozalishwa mavyuoni siku hizi pia wamekua hawana ujuzi wa kutosha, wanafika kazini wanapewa na majukumu mengine meeengi kiasi hadi kazi ya ukunga inakua kama ziada jumlisha maisha binafsi mikopo vikoba na michango inayowaandama wanajikuta hawataki tabu

Ukifika, umekaa masaa 12 hujajifungua ni upasuaji tu^^^

Karibuni Gauteng
Baba Nla
 
Kwahiyo shida ni wanzuki sio?

Nashukulu sana kwa kunijuza hilo ila sasa ukitafakali zaidi aisee hasara ni kubwa hapo badae ila ni hapo badae
 
Back
Top Bottom