charlesfundi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 200
- 253
Habarini wa Jf imepita sasa takribani week7 na nusu niko week ya 8 baada ya kuishi kwa msongo mkubwa sana wa mawazo kupelekea afya kudhorota na ufanisi wa kazi kuwa mbovu baada ya kuyatimba kwa mdada ambae anamoto aka umeme bado naendelea kumuomba Mungu. Nimeleta mrejesho huu nitumaini nitapata ushauri kutoka kwenu napia kuwahasa vijana wenzangu hasa ambao hatujaoa tuendelee kujitunza sana maana maisha bado nimazuri.
Niko naendelea kusikilizia mwezi mwingine uliobaki kujua kama PEP zilinikomboa maana niko kwenye msongo mkubwa sana wa mawazo na kuapa kutorudia tena nikinusurika hapa nihayo tu wakuuHofu ya kupata HIV baada ya kufanya ngono nzembe na mdada niliekutana nae siku 1