Search results

  1. Mr Why

    Tuheshimu sana Mitandao ya Kijamii kwasababu uwekezaji wake ni wa gharama kubwa sana

    Ndugu zangu nataka niwambie ukweli kuwa mimi nina ujuzi kubwa juu ya mitandao ya Kijamii na ni mzoefu mkubwa wa mitandao ya kijamii na mara kadhaa nimekuwa nikisaidia badhi ya kampuni kudesign muonekano wa mitandao yao, nafahamu kwa undani kabisa kwanzia muundo na hata uwekezaji wake hivyo basi...
  2. Mr Why

    Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
  3. Mr Why

    Madereva wa kampuni za Usafiri Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara ya usafiri

    Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni -Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja -Kuwashusha wateja katikati ya safari na kudai hawafiki hadi mwisho kwasababu watakosa abiria...
  4. Mr Why

    Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

    Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari. Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini. Vilevile...
  5. Mr Why

    Je, ni haki kwa mteja wa Vodacom kukataliwa kufutiwa Usajili wa laini kwasababu ya kuwa na namba moja tu?

    Kampuni ya Vodacom inakatalia wateja wake kufuta usajili wa laini zao kwasababu wanakuwa na laini moja tu. Vodacom wanadai kwamba hawawezi kufuta usajili wa laini moja tu labda ziwe zaidi ya moja. Kwanini wanafanya hivi kwasababu kitendo hiki ni sawa na kumlazimisha mteja atumie mtandao wenu?
  6. Mr Why

    USA yaamua kuzuia Mtandao wa TikTok

    Ni siku chache zimepita tangu USA kuja na maamuzi ya kuzuia Mtandao wa TikTok ndani ya Taifa lao Mpaka sasa hakuna sababu za kueleweka kwamba kwa nini mtandao huo uzuiwe zaidi ya wivu na uhasama wa kibiashara Mara nyingi USA imekuwa ikijaribu kuua maendeleo ya China kwa muda mrefu sana hata...
  7. Mr Why

    Meek Mill atamani Uraia wa Ghana akidai Marekani ina tabia ya kubomoa wanaume weusi

    BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume Mill ameandika hayo kupitia mtandao wake wa X ambapo anadai anautaka uraia wa Ghana kwasababu...
  8. Mr Why

    Mpenzi wangu sild hataki kunipa mpaka nimuoe kwa ndoa!

    Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025 Nimekaa chini nimefikiria...
  9. Mr Why

    Kwanini wachaga hawafanani na sifa wanazojipa?

    Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu. Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao...
  10. Mr Why

    Nyumba Mpya Zinazozwa Chanika Zinausalama Kweli?

    Wakulungwa kumekuwa na matangazo ya nyumba mpya zinazouzwa Chanika, Chamazi na kwingineko kila kona sasa watu wengi sana wamekuwa na hofu wakitaka kufahamu usalama wa hizi nyumba isijekuwa kuna janja janja JF wapo watu hapa ni wajanja wa kufahamu mambo katika jiji hili la Dar es Salaam ingekuwa...
  11. Mr Why

    Hayati Magufuli hakuwa Dikteta

    Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume Na jambo jema ni kuwa maagizo yake yalikuwa ya kuleta maendeleo Tatizo la Watanzania 80% ni...
  12. Mr Why

    Sababu za Papa Fransis Kubariki Ndoa za Jinsia Moja

    Kanisa la Roma halina agenda yeyote ya ushoga ni maslahi ndiyo yanawatesa Wanajiuliza je kama hawa mashoga wana hela kwanini tusifanye namna tukazipata Nisawa na kusema mzinga ule wa nyuki una asali nyingi sana lakini una nyuki Afadhali tuumwe nyuki lakini tupate ile asali Kuumwa na nyuki...
  13. Mr Why

    Ifahamu maana halisi ya "Mmbea"

    Mmbea ni mtu anayechukua habari za jambo au mtu fulani na kuziongezea chumvi huku akizisambaza kwa watu wengine. Mmbea huna haja ya kumweleza jambo kwa upana wewe mweleze kwa ufupi kwasababu ni mmbea anaujuzi mkubwa sana wa kukamilisha taarifa kutokana na taaluma yake ya maswala ya umbea.
  14. Mr Why

    Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

    Ufafanuzi kuhusiana na uamuzi wa Papa Fransis kuwakaribisha wapenzi wa jinsia moja katika kanisa Katoliki. Watu wengi duniani hasa dini ya Kiislamu, Wahindu na wengineo wamekuwa wakituhumu Imani ya Kikristo pamoja na kiongozi wetu Papa Fransis kana kwamba dini zao zinawaumini Watakatifu pekee...
  15. Mr Why

    Mwenye Ipad anikodishe dakika kadhaa nahitaji ku screenshot iOS App

    Ndugu zangu mimi sio mtumiaji wa Ipad ila nina uhitaji nayo wa dakika tano tu. Nahitaji kuchukua App yangu screenshot za App Store na baada ya hapo ndio mwisho wa matumizi yangu Kama unayo basi nikodishe kwa dakika tano tu nitakupooza kidogo
  16. Mr Why

    Natafuta bucha la nyama ya mbuzi Dar es Salaam

    Wapendwa natafuta bucha linalouza nyama ya mbuzi Dar es Salaam Ni muda mrefu sana sijapata hii nyama mwenye connection atoe location na namba zao za simu
  17. Mr Why

    Je, wanawake wa Sumbawanga wana yapi kwenye mahusiano

    Ndugu zangu kila kabila lina mazuri na mabaya yake mnaombwa ushauri na kaka yenu kaniomba mimi nikashindwa nimshaurije nimebaki kimya nikaona nilete kwenu nanyi mumshauri Huyu braza kapata demu wa Sumbawanga anaishi Mbezi na anasimamia Gest ya baba yake sasa akashindwa achukue hatua gani je...
  18. Mr Why

    Mwanamke anayeomba pesa kwa mmewe mara kwa mara ni tapeli

    Wanaume wengi wana date na matapeli wakidhani ni wake au wachumba aidha kwasababu ya uzuri wao ama lah Wanawake hao wanakuwa wakiendekeza pesa kila wakati ila wanaume hao wanakosa ufahamu wakidhani sifa ya mwanaume ni kugharamikia. Ukweli ni kuwa pamoja na wanawake hao kupata fedha huwa...
  19. Mr Why

    Anatafutwa binti mfanyakazi wa ndani

    Familia ya Dar es Salaam yenye kuthamini utu inatafuta mfanyakazi wa ndani wa kike mwenyewe umri mwisho miaka 22 kwaajili ya kazi za ndani. Mfanyakazi ataishi vizuri na dada mwenye nyumba kwani anathamini utu. Mfanyakazi azingatie haya awe mchamungu. Mawasiliano: WhatsApp 0623745875
  20. Mr Why

    Zifahamu mbinu wanazotumia Mataifa makubwa kufanikiwa

    Ndugu zangu tunapozungumzia Mataifa makubwa tunawalenga Marekani, Ujerumani, Wiingereza, Japan, China, Korea nakadhalika. Haya ni mataifa makubwa yalifanikiwa tangu zamani na wakati mwingine mataifa mengine yanajiuliza ni mbinu gani wanazotumia kufanikiwa. Jambo la kushangaza ni kuwa mbinu...
Back
Top Bottom