Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,129
1,937
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.

Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini.

Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini.
 
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.

Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini

Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
Nadhani unaufahamu tu mdogo Juu ya tofauti Kati ya dini na Imani
Ila nikuambie Na maneno haya Yakae Moyoni mwako. Kuna siku utatamani laiti Ningemuamini Yesu Kristo Nilipokuwa Duniani Wakati huo kutakuwa Hakuna Namna tena. Yesu Ndie njia kweli na uzima
Mwingine ni uongo wa shetani.
Nikuombe Wacha wengine wasikilize hata kama wewe hutaki Kuliko kuongeza hila zingine huku mtandaoni. Asante
 
Hata muislam anaamini hivyohivyo kwenye dini yake kwahiyo huna jipya mzee
 
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.

Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini

Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
Mzee siupande yale hufungulia kaswida mwanzo hadi mwisho na mahubiri ya Mtume Muhamadi Muda wote shida nini? We ndio unaleta udini.
 
Nadhani unaufahamu tu mdogo Juu ya tofauti Kati ya dini na Imani
Ila nikuambie Na maneno haya Yakae Moyoni mwako. Kuna siku utatamani laiti Ningemuamini Yesu Kristo Nilipokuwa Duniani Wakati huo kutakuwa Hakuna Namna tena. Yesu Ndie njia kweli na uzima
Mwingine ni uongo wa shetani.
Nikuombe Wacha wengine wasikilize hata kama wewe hutaki Kuliko kuongeza hila zingine huku mtandaoni. Asante
Huna Jambo kumbe
Nikajua utatoa hoja kumbe hamna kitu
Huu ni udini
We promoter kama kama vibaraka wengine Tu
 
Mkuu, je mabasi yanayo milikiwa na waislamu nayo wanawaburudisha ABIRIA kwa nyimbo za injili?
Pili, waislamu wa kweli wanaiamini injili. Wenyewe wsnaita INJIL.
Kama muislamu wa kweli nyimbo za kumsifu YESU zitakua hazikupi shida.
Haijalishi ni Qaswida au kwaya yote ni kelele Tu
Waislam Qaswida hairusiwi isipokua matamanio ya nafsi na kuipamba dini Tu lkn ni Haram maana inaingia katika miziki pia
 
Isiwe tabu. Siku nyingine panda Ally's au Abood. Hutajutia
 
Shida ni nini hapo shehe wangu? Yanachocheaje udini? Je wakipiga nyimbo Za kidunia ambapo wanawake na wanaume wapo uchi hiyo ni sawa? Usicomplicatishe maisha dogo, kwangu mimi ni sawa kwa sababu wanataja Mungu na hii inasaidia watu wawe na hofu ya Mungu regardless na dini. We ndio mdini hapo shehe wangu.
 
Bazi wawe wanapiga wimbo wa Taifa na miziki mingine ya kisiasa.
🤣🤣🤣
Mimi binafsi napenda kusikiliza miziki yangu iliyopo kwenye simu, kupitia earphone/headphones. Hivyo sipendi kabisa kukuta gari lina makelele yoyote.
 
Huna Jambo kumbe
Nikajua utatoa hoja kumbe hamna kitu
Huu ni udini
We promoter kama kama vibaraka wengine Tu
Kwa hiyo kupiga kelele asubuhi saa Kumi na moja Nao ni udini Sio?
Au adhana na mziki Kwenye basi Kipi kina sauti kubwa?
Ungepigwa wa Diamond asingelalamika
Mdini NI yupi hapo?
Vichwa vyeupe kabisa😂
 
Kwa hiyo kupiga kelele asubuhi saa Kumi na moja Nao ni udini Sio?
Au adhana na mziki Kwenye basi Kipi kina sauti kubwa?
Yaan safari unaanza asubuhi mpaka Jioni
We kusomwa adhana dakika tano kipi Bora
Kasome vizuri kitabu cha Amos urudi tna Kwa Hoja
 
Back
Top Bottom