Search results

  1. Tlaatlaah

    Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?

    hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi. ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban? mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha ukapigwa ban 🐒
  2. Tlaatlaah

    Unashauri 2025 Mbunge wa jimbo gani ajizuie kugombea tena kiti hicho kuepuka fedheha ya kushindwa?

    Japo wabunge wengi wametekeleza vizuri sana wajibu, kazi na majukumu yao hasa ya kitaifa kupitia bunge, kwa weledi na umahiri mkubwa, lakini kutokana na hali halisi huko majimboni kwao inaonekana hawatakua na nafasi nzuri na ya uhakika kuchaguliwa tena katika awamu nyingine kwenye uchaguzi...
  3. Tlaatlaah

    Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

    Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli...
  4. Tlaatlaah

    Kwanini chama cha siasa kinapata wabunge wengi lakini mgombea Urais wake anapata kura chache sana?

    Mgombea Urais na chama chake anakua hana sifa za kutosha, hana ushawishi, hana sera mbadala, wala mikakati mizuri ya kuongoza au wapiga kura hawamuelewi badala yake wanawaelewa zaidi wagombea wabunge pamoja na pengine madiwani? Una maoni gani juu ya hali hii.
  5. Tlaatlaah

    EFF ya Julius Malema imechokwa ghafla dhidi ya uMkhonto we Sizwe ya Zuma, Kulikoni vijana?

    Kulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kukipumulia kisogoni chama kikongwe cha DA? Nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives upinzani lazima kujipanga kwa sera mbadala, mipango na mikakati madhubuti ya kutekelezeka...
  6. Tlaatlaah

    Nashauri kabla hujapaka lipstick na lips shine yako nzuri sana, basi safisha kwanza kinywa chako vizuri

    Ni muhimu sana kua karibu na mwenzi wako mkizungumza na kubadilishana mawazo, kwa karibu sana tena kwa kujiamini sana. Ni muhimu sana muonekano wenu, uwe wa kupendeza na kuvutia ninyi wenyewe na hata kuvutia wengine, lakini ni jambo la maana zaidi, muonekano wenu wa njee uambatane na usafi...
  7. Tlaatlaah

    Nawashukuru sana wananchi wote kwa kuiunga mkono serikali ya awamu ya 6 kwa hamasa sana

    Kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na taifa kwa ujumla. Nawashukuru watanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya kiongozi makini na madhubuti sana comrade dr.Samia suluhu hassan. Kipitia bunge letu tukufu hapa makao...
  8. Tlaatlaah

    Wanasiasa wa Upinzani, jiandaeni basi walau hata kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani

    kiujumla, upinzani umekata tamaa kabisa, licha ya ukweli kwamba ukata wa fedha za kufanya mikutano ya hadhara, umekita mizizi kwenye vyama vyao. hakuna uhakika wa chochote katika chaguzi zijazo, licha ya kwamba mazingira sawa ya kufanya siasa yamewekwa na serikali iliyopo madarakani.🐒...
  9. Tlaatlaah

    Umewahi kukosa kitu gani kwa sababu ya kusema ukweli?

    Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli. Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi? Ukweli mchungu.
  10. Tlaatlaah

    Kukosekana kwa mahitaji muhimu chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k Lakini zaidi sana, Mahitaji muhimu sana ya ndoa, kimwili na kiroho, kutokutimizwa vizuri na ipasavyo katika ukamilifu wake...
  11. Tlaatlaah

    USHIRIKIANO HUU UNACHOCHEA MAENDELEO KWA HARAKA SANA VIJIJINI

    hamasa na shauku walionayo wananchi hususani vijijijni, ya kuanza kutekeleza miradi ya maendeleo kulingana na vipaumbele vya mahitaji yao, inakwenda kutrasform maisha yao kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa haraka sana... serikali pamoja na wadau wa maendeleo katika maeneo husika, wamehamasika...
  12. Tlaatlaah

    Nini dhumuni la video na picha za utupu?

    Achilia mbali kwajili ya kuuza upate pesa au hata kama huzitumii, lengo na madhumuni ya kurecord video na picha za utupu na kuzihifadhi kwenye simu au laptop yako nini hasa? Ili iweje unazitunza? Nini hasa kinachochea ujichanue kwa hiyari yako au uchanuliwe na mwenzi wako sehemu za siro zikae...
  13. Tlaatlaah

    Mwenye ushawishi mkubwa kisiasa CHADEMA

    Viongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema, ndoto, hulka za uongozi. Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni...
  14. Tlaatlaah

    Gari la mchango la makamu Mwenyekiti CHADEMA

    kumekua na maswali mengi sana, kuhusu gari la mchango la makamu mwenyekuti wa chadema, kwamba gari hilo la mchango ni kwaajili ya matumizi na kazi za chama au kazi zake binafsi? ni vema chimbuko la jambo hili likawekwa bayana vizuri wengi hawaelewe vizuri. Na kwamba wachangiaji wa gari...
  15. Tlaatlaah

    CCM, wananchi na maendeleo ni Sako kwa Bako

    Yaani CCM imeambatana na kuandamana sambamba na dhamira njema ya maendeleo kwa wanaichi wake, kisiasa kijamii na kiuchumii, napendwa mno, viongozi wake wanakubalika sana aisee. Hakuna namna ya kuidhoofisha wala kuitenganisha CCM, wananchi na maendeleo, hawa ni daima sako kwa bako mpka kueleweka...
  16. Tlaatlaah

    Tetesi: CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

    Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda watakaochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa ndani ya chama unaondelea. Mnyetishaji alisisitiza...
  17. Tlaatlaah

    Upinzani wanaweza sana kulalamika lakini hawana mipango mbadala kabisa

    Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto halisi ya upinzani wa kisiasa, tena wenye tija, na kwakweli kama taasisi ya upinzani ingeheshimika sana...
  18. Tlaatlaah

    Ni mazoea mabaya kuombaomba kuchangiwa mara kwa mara

    Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa. Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao hawawezi kukataa kuchangia kwasabb wamefundishwa utamaduni kutoa. Utamaduni na malezi haya sio...
  19. Tlaatlaah

    Mchecheto kwenye kutongoza

    Kijana wa kiume amesimama na binti wa kike mahali flani, presha ya kijana iko juu, halafu anabadili tu jinsi ya kusimama, hatulii, mara mikono mfukoni, mara akunje nne ya kusimama sijui anaminya nini, halafu hapo chini pamevimba utadhani ana busha dah. Yaani, mpaka inajulikana kabisa huyu...
  20. Tlaatlaah

    Ni sahihi kupigwa na Mwenzi hata kama umekosea?

    Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea? Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni mwa mashirika ya kutoa huduma za kifedha mjini, ameamua kwenda kuripoti kwa mjumbe baada ya...
Back
Top Bottom