Search results

  1. Naanto Mushi

    Hivi wakatoliki wenzangu zile ndoa za wengi za misa ya usiku bado zipo? Nataka nifanikishe jambo langu

    Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3). Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande zote, na yeye mwenzangu naona hii kukosa ndoa inampa sononeko maana wazazi wake wanaogopa nisije...
  2. Naanto Mushi

    Namna gani pale great thinkers na matajiri wa JamiiForums. Hili sikulitegemea kabisa

    Nimekutana na hizi nyuzi zifuatazo zimenisikitisha sana 1. Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama huu uzi umetoka kwa lijendari great thinker Mpwayungu Village aisee imenisikitisha sana. Mi naona tusifike huko jamani great thinkers, kumbukeni hawa wazazi wetu kwanza wengi wao - wazazi...
  3. Naanto Mushi

    Namna ya kupika sotojo la mchemsho wa ndizi nyama

    Naendeleza somo langu la mbinu za mapishi na masotojo ya kijanja. Nimegundua jamii ya watanzania wapo nyuma sana kwenye mapishi. Last time nilikuja na kigongo cho rosti la kitimoto Mbinu za kupika sotojo / rosti la kitimoto, unaweza kula mpaka ujiume ulimi... Enjoy Leo nakuja na sotojo la...
  4. Naanto Mushi

    Falsafa na Maisha 101: Ni muhimu sana kuwafunza watoto wetu falsafa muhimu za maisha, la sivyo maisha yao duniani yatakuwa magumu sana

    Nimekuwa nikijaribu sana kuwasoma wanafalsafa wa miaka ya nyuma. Na kwasasa nikijiangalia kuna mengi sana yamebadilika kwenye maisha yangu, hususani kwenye maadili na kuwa na self control ya maisha yangu. Haya ni moja wapo ya mambo ambayo falsafa inazidi kunifundisha 1. Usiwe mtu wa kulalamika...
  5. Naanto Mushi

    Hivi Robertino anashindwaje kupanga kosi kama hili la mauaji?

    Phiri Chama Saidoo Kibu Ngoma Kanoute Tshabalala Chemalon Inonga Kapom (Kipa Yeyote) Embu tujadiliane ubora wa hilo kosi hapo
  6. Naanto Mushi

    Nahitaji kuwekeza kwenye kilimo cha kimkakati (perennial crops)

    Kuna haya mazao hapa Almonds Macadamia Cashew nuts Palm Nimeyafanyia utafiti sana na nimeona yana potential kubwa ya kutengeneza pesa. Embu naombeni mawazo wadau. Kuna amefanikiwa kulima hayo mavitu? Nimetafiti kidogo ni mazao ambayo yanahitaji kuwa na subira mfano Almonds na Macadamia...
  7. Naanto Mushi

    Taasisi dhaifu ni kitisho kwa usalama wa nchi. Kwa hali ilivo, TANESCO ni hatari namba moja kwa usalama wa Tanzania, na serikali bado imelala fofofo!

    Umuofia kwenu....! Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua kwamba, kuadimika na kupanda kiholela kulisababishwa Zaidi na utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi...
  8. Naanto Mushi

    Mbinu za kupika sotojo / rosti la kitimoto, unaweza kula mpaka ujiume ulimi... Enjoy

    Habari wakuu, kwa wale wadau wa hii nyama yetu pendwa, ngoja leo nikupe mbinu. 1. Nunua nyama yako, ni vizuri kama atakukatia katia pale. 2. Weka nyama kwenye sufuria, weka na maji, halafu anza kuisuuza ili uondoe vile vimifupa vidogo vidogo. 3. Weka nyama kwenye sufuria safi, kisha kamulia...
  9. Naanto Mushi

    Ni wazi Zitto Kabwe na ACT Wazalendo wamepotea

    Ama niseme hiki chama cha ACT Wazalendo au mwenyekiti wake Zitto Kabwe ni kama wameshakubali kushindwa siasa za Tanzania, au niseme tu labda wamepoteza mwelekeo. Nikiri kwamba kati ya miaka ya 2016 mpaka 2019, Zitto alikuwa mwanasiasa active sana, na mimi mwenyewe ilikuwa ni mojawapo ya watu...
  10. Naanto Mushi

    Ndugu yangu ana C mbili na D tatu ila ana division 4 form four, ataweza kwenda advance ya hata private?

    Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four. Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five. Kingine kama...
  11. Naanto Mushi

    Hivi TRA watakubali ku register kampuni ikiwa ofisi nataka ziwe nyumbani?

    Habarini wakuu, Kama kuna mtu ana uelewa na hichi kitu nitaomba msaada. Nahitaji ku register kampuni au biashara. Ila kuna mara ya mwisho nilisajili biashara nilivooenda TRA kwa ajili ya TIN ya biashara walitaka niwapatie mkataba wa pango la biashara. Na baada ya kuwapa wakaanza kupiga...
  12. Naanto Mushi

    Mwaka wa Tisa huu, hivi limeshatokea tamasha maridadi la mziki kama lile la 'Tigo Kiboko Yao la mwaka 2014 pale viwanja vya Leaders'

    Ndo lilikuwa tamasha pekee na la mwisho la mziki nililohudhuria mpaka na leo hii. Liliandaliwa na Tigo kama sijakosea mwaka 2014 pale viwanja vya leaders kinondoni. Hili tamasha lilikuwa na malegendary wote wa mzingi wa bongo na walikuwa kwenye ubora wao. Na ninalikumbuka kama tamasha bora...
  13. Naanto Mushi

    Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’. Kwenye uchumi hakuhitaji porojo na mihemko. Waweza kumchukia mtu lakini kamwe huwezi kujidanganya kwamba eti hakuna lolote alilofanya, kwasababu namba huwa hazidanganyi. Lengo...
  14. Naanto Mushi

    Makamba na genge lake wamekurupuka kwenye bei ya mafuta, na benki kuu nao wapo kwenye usingizi wa pono

    Nimeshtushwa na hatua za waziri Makamba na Ewura kukurupuka kwa kuongeza bei ya mafuta kwa kisingizio cha eti, ‘kuna uhaba wa dola nchini’. Nauita ni uamuzi wa kukurupuka kwasababu yeye Makamba na Ewura hawana mamlaka ya kisheria kuzungumzia uhaba wa dola kwenye uchumi, hiyo ni kazi ya benki kuu...
  15. Naanto Mushi

    Tanzania yaongoza Afrika kwa kuwa na asilimia chache ya raia wake ambao ni diaspora

    World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi. Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa. Mind you, Tanzania ni nchi pekee...
  16. Naanto Mushi

    Pamoja na yote bado nakupongeza Rais Samia Suluhu, nchi bado ni tulivu.

    Kwa aina ya maraisi wengine waliopita na pale ambapo walitaka jambo lao litimie, mpaka sasa tungeshasikia habari za watu kupotezwa, kung'olewa kucha n.k Ila kwako naona ni tofauti, mpaka sasa, nchi ni shwari, kila mtu anasema anavyotaka, hakuna aliyepotezwa, hakuna aliyeng'olewa kucha. Hivi...
  17. Naanto Mushi

    Ya ubinafsishaji wa bandari za Tanzania na kudharau sayansi ya biashara na uchumi

    Unapoongelea ubinafsishaji, moja kwa moja inakupeleka kwenye uchambuzi wa kiuchumi na kibiashara. Maana yake ni kwamba, huu uchambuzi wa kiuchumi na kibiashara, ni masuala ya umuhimu kabisa kufanyika mwanzo na kufanyika vema kabla hata ya kufika kwenye maamuzi ya kubinafsisha kitu. Watu wengi...
  18. Naanto Mushi

    Nitawashangaa watoto wa Lemutuz wakigandana huko Marekani na kutelekeza mirathi ya baba yao

    Mi naona Lemutuz alikuwa mjasiriamali mpambanaji kwenye sekta ya social media na matangazo. Sekta ambayo kwa Tanzania na kwa ukubwa wake na mazingira ya matangazo mitandaoni, inaweza kuwa na potential ya kukuingizia sio chini ya free cash flow ya Tsh. 5 hadi Tsh. 6 million kwa mwezi ukiondoa...
  19. Naanto Mushi

    Interview kwa watoto wanaoingia Nusery School ni haki kweli?

    Mimi nina mwanangu ana miaka 4 alikuwa hajaanza shule kwa kweli maana nilikuwa namuona kama ni mdogo sana bado. Sasa, sasahivi ndo naona angalau kamekua kidogo, hivo nimeona ni busara aanze rasmi shule. Ila juzi kati hapa kuna shule ya Nusery ipo karibu na ninapoishi, so nilienda kwa lengo la...
  20. Naanto Mushi

    Data driven decisions. Kwanini NALA wawe na HQ Kenya na sio Tanzania?

    Nimeona uzi wa mdau mmoja Upepo wa Pesa nadhani akilalamika ni kwanini nala wawekeze USD 5 Million in Kenya wakati kampuni imeasisiwa na mtanzania? Mods nawaomba msiunganishe huu uzi kwasababu nataka uwe na discussion tofauti. Kuna kitu kwa wachumi na pia kwenye uwekezaji huwa tunakiita...
Back
Top Bottom