Pesa zilizotolewa na mfalme wa Morocco ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma ziko wapi?

Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani. Serikali ikatuambia uwanja huo utakuwa mkubwa kuliko ule wa Mkapa pale Dar kwani utabeba watu elfu 85.

Miaka kadhaa imepita sasa na kuna ukimya mwingi wa serikali kuhusu jambo hili. Kabla ya kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha tunataka kujua kwanza pesa za mfalme wa Morocco kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma ziko wapi? Ni vema serikali ikaja na majibu yanayoeleweka kwenye hili jambo.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Pia soma
- Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?
Makonda ndo mtetezi no. 1 wa awamu ya tano, aulizwe anajua zilipo.
 
Tafuta Hela uijenge nchi achana na mfalme wamoroko chalii... Unakwamaga sana we tumiaga busara siasa zakutunisha saana misuli zitakupeleka pabaya utapasuka jamaa
 
Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani. Serikali ikatuambia uwanja huo utakuwa mkubwa kuliko ule wa Mkapa pale Dar kwani utabeba watu elfu 85.

Miaka kadhaa imepita sasa na kuna ukimya mwingi wa serikali kuhusu jambo hili. Kabla ya kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha tunataka kujua kwanza pesa za mfalme wa Morocco kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma ziko wapi? Ni vema serikali ikaja na majibu yanayoeleweka kwenye hili jambo.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Pia soma
- Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?
Alitoa pesa au ahadi?
 
Ww uliziona
 
Hakuna hela yoyote ile iliyotolewa na huyo Mfalme msanii wa Morocco. Huyo Mfalme alimghiribu tu Rais wa wakati huo ili Tanzania iipigie kura nchi yake kurejeshwa kwenye Umoja wa Afrika (AU).

Baada tu ya kupigiwa hiyo kura na hatimaye kurejeshwa AU, kijamaa kilipotea zake kimya kimya. Sidhani kama na ule msikiti alioahidi kuujenga kama nao ulijengwa!
Huo ndiyo UKWELI mkuu. Halafu Magufuli alikuwa mshamba. Inakuwaje unaomba OPENLY kwa mgeni kwenye kadamnasi? Hata kama hana uwezo atakujibu tu kisanii
 
Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani. Serikali ikatuambia uwanja huo utakuwa mkubwa kuliko ule wa Mkapa pale Dar kwani utabeba watu elfu 85.

Miaka kadhaa imepita sasa na kuna ukimya mwingi wa serikali kuhusu jambo hili. Kabla ya kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha tunataka kujua kwanza pesa za mfalme wa Morocco kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma ziko wapi? Ni vema serikali ikaja na majibu yanayoeleweka kwenye hili jambo.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Pia soma
- Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?
Baada ya JPM kuzinguana na mfalme wa Morocco kwa masharti ya kidini kwenye uwanja wa umma akasema basi atajenga kwa fedha za ndani. Ilikuwa aanze kujenga kuanzia Juni 2021 mpaka magreda yalipekwa site pale Nane nane na kuanza kusawazisha lakini isivyo bahati hayati akatwaliwa kabla ya Juni 2021 kufika.
 
masharti gani hayo ya kidini?
 
Magu alikuwa akili kubwa sana,MUNGU alimjaalia.ila sasa watz shukrani hamna.
Akili kubwa iko wapi? Kuua wapinzani? Kuzuia shughuli za vyama vya upinzani? Kujenga miundombinu mikubwa kijijini kwake kama Airport?

Acheni ujinga
 
Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani. Serikali ikatuambia uwanja huo utakuwa mkubwa kuliko ule wa Mkapa pale Dar kwani utabeba watu elfu 85.

Miaka kadhaa imepita sasa na kuna ukimya mwingi wa serikali kuhusu jambo hili. Kabla ya kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha tunataka kujua kwanza pesa za mfalme wa Morocco kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma ziko wapi? Ni vema serikali ikaja na majibu yanayoeleweka kwenye hili jambo.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Pia soma

- Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?
mfalme hakutoa fedha na hakuwa na mpango wa kutoa fedha.
 
Sumu ya konyo
 
Akili kubwa iko wapi? Kuua wapinzani? Kuzuia shughuli za vyama vya upinzani? Kujenga miundombinu mikubwa kijijini kwake kama Airport?

Acheni ujinga
Sasa huo upinzani ni nini wamefanya cha maana nchi hii,mnawaabudu bure tu,hakuna watakacho zaidi ya matumbo yao,tunawajua sana,Magufuli alifanya mengi mazuri,japo kuna machache sikukubaliana nae nikielewa hakuna mtu perfect.
Mli mlet down sana,na sasa mtatii na bado,sasa toka afariki maendeleo gani mko nayo au ndio ya kutusi wafu?

Huyo Mwamba alikuwa na maono acheni jokes.
Hata wewe una mapungufu yako mengi na mabaya pia,but haimaanishi wewe hauna upande mwingine positive.
 
Kama huwezi kuona faida ya upinzani basi una makamasi kuchwani badala ya ubongo.

Sisi tunafurahia sasa kuwa hakuna watu wanauliwa nankutupwa kwenye bahari wakiwa ndani ya viroba.

Eti mwamba alikuwa na maono!! Angekuwa na maono angekufa kwa corona??
 
Kama huwezi kuona faida ya upinzani basi una makamasi kuchwani badala ya ubongo.

Sisi tunafurahia sasa kuwa hakuna watu wanauliwa nankutupwa kwenye bahari wakiwa ndani ya viroba.

Eti mwamba alikuwa na maono!! Angekuwa na maono angekufa
Sasa nani hatakufa? Wamefanya nini hapo bongo upinzani wasaka tonge?

Kwa hiyo siku hizi hawafi au ndio kujitoa akili?Hakuna nchi haina hizo story.

Na ukijibu bila matusi unaumia wapi?
Semeni yote,ila Magu ataendelea kukumbukwa kwa mazuri mengi aliyolitendea taifa letu.

hayo matusi yenu take it to the bank.
 
Nini kukumbukwa?. Kwani Iddi Amini na Mobutu hawakumbukwi? Au Adolph Hitler na Benito Mussolini hawakumbukwi?

Suala unakumbukwa kwa kitu gani. Mimi nitamkumbuka Magufuli kwa kujenga Airport kijijini kwake na sasa imebaki useless kama Gbadolite ya Mobutu. Nitamkumbuka pia kwa kutuma kikosi cha Makonda kwenda kumshambulia Tundu Lissu.

Na nyie wajinga mna yenu ya kumkumbuka shujaa wenu
 
Jamaa walikuwa kwenye kampeni ya kuandaa WC ya 2026,sasa Waafrika tukawasaliti,kura tukawapa Waamerika,ila pia alichoongea Kichuguu ni mojawapo ya sababu
 
Nini kukumbukwa?. Kwani Iddi Amini na Mobutu hawakumbukwi? Au Adolph Hitler na Benito Mussolini hawakumbukwi?

Suala unakumbukwa kwa kitu gani. Mimi nitamkumbuka Magufuli kwa kujenga Airport kijijini kwake na sasa imebaki useless kama Gbadolite ya Mobutu. Nitamkumbuka pia kwa kutuma kikosi cha Makonda kwenda kumshambulia Tundu Lissu.

Na nyie wajinga mna yenu ya kumkumbuka shujaa wenu
Uko na maneno yako,possible vyeti feki au ulitumbuliwa,learn to move on.

Na ukizidi kumuwekea uchungu na kumtukana humu kama Taifa tunagain nini?itabidi mmekua sasa,mabishano kama si maendeleo ya watz hayana maana.
Na tena vimatusi hata havina maana vinawasaidia nini?
Haya wewe smart umevumbua nini umsaidie Samia tujenge nchi?
 
Back
Top Bottom