Pesa zilizotolewa na mfalme wa Morocco ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma ziko wapi?

Nini kukumbukwa?. Kwani Iddi Amini na Mobutu hawakumbukwi? Au Adolph Hitler na Benito Mussolini hawakumbukwi?

Suala unakumbukwa kwa kitu gani. Mimi nitamkumbuka Magufuli kwa kujenga Airport kijijini kwake na sasa imebaki useless kama Gbadolite ya Mobutu. Nitamkumbuka pia kwa kutuma kikosi cha Makonda kwenda kumshambulia Tundu Lissu.

Na nyie wajinga mna yenu ya kumkumbuka shujaa wenu
Na hiyo Airport kama kuna watu wanaitumia kuna ubaya gani?
Sote ni watz tuna haki sawa.
 
Uko na maneno yako,possible vyeti feki au ulitumbuliwa,learn to move on.

Na ukizidi kumuwekea uchungu na kumtukana humu kama Taifa tunagain nini?itabidi mmekua sasa,mabishano kama si maendeleo ya watz hayana maana.
Na tena vimatusi hata havina maana vinawasaidia nini?
Haya wewe smart umevumbua nini umsaidie Samia tujenge nchi?
Nyie wapumbavu mnakesha kumuita mwamba, shujaa na kumsifia kwa mengi. Sisi tukitaja madhaifu yake mnapanic!! Why?

Kila mmoja ashinde mechi zake, tusipangiane.

Hata hivyo vyeti FEKI siyo issue kihivyo kwakuwa hata Magufuli mwenyewe alikuwa na PhD FEKI
 
Na hiyo Airport kama kuna watu wanaitumia kuna ubaya gani?
Sote ni watz tuna haki sawa.
Issue siyo kutumia Airport bali kuitumia efficiciently kwa kuleta tija. Je ndege ngapi zinatua Chato? Je ni watu wangapi wanateremka Chato?

Kama bado ATCL inakwenda Chato sintoshangaa kusikia hiyo hasara ya Tsh 56 Bilion kwa ripoti ya CAG ya 2022/23 aliyoisoma leo
 
Akili kubwa iko wapi? Kuua wapinzani? Kuzuia shughuli za vyama vya upinzani? Kujenga miundombinu mikubwa kijijini kwake kama Airport?

Acheni ujinga
Alimwua nani kwa mkono wake? Kama aliagiza aliyetekeleza hajui sheria kwamba utatii amri halali pekee?
 
Alimwua nani kwa mkono wake? Kama aliagiza aliyetekeleza hajui sheria kwamba utatii amri halali pekee?
Ina maana hukushuhudia kuzuia kwa shuguli za vyama vya upinzani, kujenga miundombinu mikubwa kijijini kwake.
Au ulikuwa umevaa miwani ya mbao wakati wa sarakasi zilizofanywa na serikali na bunge baada ya Lisu kushambuliwa kwa risasi, mchana kweupe.
Mpaka leo hakuna mtuhumiwa yeyote aliyewahi kukamatwa!.

Sent from my TECNO CK7n using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom