Uwanja wa Mpira Dodoma umeyeyuka? Hayati Magufuli angekuwepo ingekuwaje?

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,454
9,757
Angalia hii Picha afu nambie iwapo mwamba angekuwa hai Dodoma pangekuwa pamefikia hatua gani?

Ujenzi huu ulitakiwa Kuanzia mara baada tu ya Ujenzi w msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni. Mfadhiri alishaahidi kutoa pesa.. mfalume wa Morocco.

Ushauri wangu kwa Ikulu; Fuatilieni hii ahadi.

Screenshot_20230520-222743_1.jpg
 
Angalia hii Picha afu nambie iwapo mwamba angekuwa hai Dodoma pangekuwa pamefikia hatua gani?

Ujenzi huu ulitakiwa Kuanzia mara baada tu ya Ujenzi w msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni. Mfadhiri alishaahidi kutoa pesa.. mfalume wa Morocco.

Ushauri wangu kwa Ikulu; Fuatilieni hii ahadi.

View attachment 2630021
Yule mfalme alikuwa ni tapeli, kama kweli alikuwa na nia ya kujenga huo uwanja, angeujenga kipindi kile kile cha dhalimu maana aliitoa ahadi ile muda mrefu.

Huo utapeli naufananisha na ule utapeli wa Obama aliyesema atatoa $7b kipindi cha JK ili kujenga power pull ambayo itasambaza umeme sehemu kubwa ya Tanzania, na ziada kuuzwa nchi za kusini mwa Afrika.
 
Kwani mpaka useme flani angekuwepo. Hivi mlilogwa na nani Watanzania au huyo unaemsema yeye alikuwa na utofauti gani na wanadamu wengine. Kwani wewe unashindwa nini kufuatilia hizo pesa Uarabuni uje ujenge huo uwanja au na wewe umeshakufa. Kuamini kwamba bila mtu flani huwezi lolote ni uzwazwa wa kumuabudu binadam mwenzio. Unatakiwa kupaza sauti ili hayo unayotaka yatimie ila siyo kulalamika na kusema bora angekuwepo flani. Kwa hiyo Viongozi waliopo madarakani kwa sasa huoni wanayofanya au unataka huyo Mwarabu aitwe aje Tz kujibu kwa nini hajengi uwanja. Kumbuka hizo zilikuwa ahadi na pesa ni zake huwezi kumpangia. Km angekuwa ametoa pesa taslim na uwanja haujahengwa hapo ndiyo ungekuwa na nguvu ya kulaum na kutamani aliepita bora angekuwepo lakini siyo kwa ahadi hewa za Mwarabu. Tuache mahaba niue kwenye mambo ya kitaifa.
 
Magu mwenyewe alisema atajenga kwa pesa ya serikali baada yakuona wana wakiarabu wameamua kutapeli
 
Angalia hii Picha afu nambie iwapo mwamba angekuwa hai Dodoma pangekuwa pamefikia hatua gani?

Ujenzi huu ulitakiwa Kuanzia mara baada tu ya Ujenzi w msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni. Mfadhiri alishaahidi kutoa pesa.. mfalume wa Morocco.

Ushauri wangu kwa Ikulu; Fuatilieni hii ahadi.

View attachment 2630021
ameshaujenga pale kaburini kwake Chato, kameze sumu ya panya sasa hivi utauona huo uwanja
 
Kwani mpaka useme flani angekuwepo. Hivi mlilogwa na nani Watanzania au huyo unaemsema yeye alikuwa na utofauti gani na wanadamu wengine. Kwani wewe unashindwa nini kufuatilia hizo pesa Uarabuni uje ujenge huo uwanja au na wewe umeshakufa. Kuamini kwamba bila mtu flani huwezi lolote ni uzwazwa wa kumuabudu binadam mwenzio. Unatakiwa kupaza sauti ili hayo unayotaka yatimie ila siyo kulalamika na kusema bora angekuwepo flani. Kwa hiyo Viongozi waliopo madarakani kwa sasa huoni wanayofanya au unataka huyo Mwarabu aitwe aje Tz kujibu kwa nini hajengi uwanja. Kumbuka hizo zilikuwa ahadi na pesa ni zake huwezi kumpangia. Km angekuwa ametoa pesa taslim na uwanja haujahengwa hapo ndiyo ungekuwa na nguvu ya kulaum na kutamani aliepita bora angekuwepo lakini siyo kwa ahadi hewa za Mwarabu. Tuache mahaba niue kwenye mambo ya kitaifa.
Umejiona umeaandiikaaa, kumbe utumbo tupu.
Elewa tu kila mtu amepewa uwezo wake wa namna ya kufikili na kutekeleza mambo.. Kama hulielewi hili utabaki na mawazo yako hayo ya kuzani wote tuko sawa.

Uongozi uliopo ufanye jukumu la kufuatilia ahadi hii.. kama ni ahadi hewa basi waje watuambia. La sivyo tutawaona kama walamba asali tu.
 
Yule mfalme alikuwa ni tapeli, kama kweli alikuwa na nia ya kujenga huo uwanja, angeujenga kipindi kile kile cha dhalimu maana aliitoa ahadi ile muda mrefu.

Huo utapeli naufananisha na ule utapeli wa Obama aliyesema atatoa $7b kipindi cha JK ili kujenga power pull ambayo itasambaza umeme sehemu kubwa ya Tanzania, na ziada kuuzwa nchi za kusini mwa Afrika.
Hujasikia juzi wamezidisha USD 3B kwenye silaha wanazopeleka Ukraine? Waliposhtukiwa wakasema wamekosea tarakimu kwenye uandishi? Nao ni wezi tu!

Kama Mawaziri na Mkuu wanavyotumia maDC na maRC kupiga hela ndio na wao wanavyotumia nchi za Afrika na zenye migogoro kupiga hela
 
Angalia hii Picha afu nambie iwapo mwamba angekuwa hai Dodoma pangekuwa pamefikia hatua gani?

Ujenzi huu ulitakiwa Kuanzia mara baada tu ya Ujenzi w msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni. Mfadhiri alishaahidi kutoa pesa.. mfalume wa Morocco.

Ushauri wangu kwa Ikulu; Fuatilieni hii ahadi.

View attachment 2630021
Alijazwa nae akajaa🤣🤣
 
Yule mfalme alikuwa ni tapeli, kama kweli alikuwa na nia ya kujenga huo uwanja, angeujenga kipindi kile kile cha dhalimu maana aliitoa ahadi ile muda mrefu.

Huo utapeli naufananisha na ule utapeli wa Obama aliyesema atatoa $7b kipindi cha JK ili kujenga power pull ambayo itasambaza umeme sehemu kubwa ya Tanzania, na ziada kuuzwa nchi za kusini mwa Afrika.
Hakuna wa kufanya haya mambo.. Hata ikulu asingeianza ingefia hapo hapo.. Hata SGR, na Bwawa la nyerere lingefika ndotoni.
Hawa walamba asali hawanamaana kabisa.

Tunawakumbusha maana hili ni jambo nyeti sana wakati huu Yanga ikiwakilisha vilivyo huko CAF.
 
Isijekuwa alipewa akazihamishia miradi ya kuijenga Chato?
FaizaFoxy katika ubora wakeeee.... wewe unatakiwa kuformat huo ubongo uanze upyaa.. Miaka ya 2010+ ulikuwa mtu wa kukimbilia hapa JF.

Mfalme alishatoa go ahead na hiyo design ya uwanja iko pale ikulu na kule moroco . shida ni hawa walamba asali na kamba zao ndefu hizi hazina mipaka. Mambo magumu hawajawezi.
 
Back
Top Bottom