Kafulila: Utulivu wa kisiasa wa Rais Samia umekuza Uwekezaji mauzo ya nje yameongezeka kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35Trilion

Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa,

Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi ambayo watu wana-tension, Watu wanatafutana haiwezi kupata wawekezaji serious na haya ni matokeo ya 4R za Rais Samia.

Mhe David Kafulila amesema kuwa Uwekezaji Tanzania umekua mfano mauzo ya nje yamekua kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35 Trilioni ndani ya miaka mitatu tu ya Rais Samia.

Vilevile Mhe Kafulila anaendelea kwa kusema kuwa Watanzania wameongeza Ukwasi binafsi kiasi ambacho zaidi ya akaunti mpya milioni 20 zimefunguliwa ndani ya miaka mitatu tu ambapo Mobile bank accounts hizo zimefikia 52M Kutoka 32M za tangu Uhuru.

#Sasa kama watu hawana Pesa hizo akaunti wanaweka mawe?

View attachment 2947295
Aongeze juhudi zaidi apewe Cheo.
 
Kwanza kabisa napenda kutumia nafasi hii kumshukuru Mama kwa kuteua Tumbili🐒 kuwa Kiongozi wa binadamu kwa nafasi yake kama Kamishina wa Ubia
KAFULILA ANAJIPENDEKEZA HADI ANAKERA
 
Kumbe basi kuanza kulipia madeni ya Serikali inawezekana kabisa, tena kwa muda mfupi. Nilisoma mahali imeandikwa kwamba deni la taifa limeongezeka. Kama faida zinazopatikana kutokana na investment ni kubwa, sioni sababu ya kutokuweza kukopa au kupunguza kukopa periodically kuharakisha maendeleo. We have the muscle to pay back!!
 
Nguvu ya kulipa ipo ila miradi mipya pia ipo
 
Kafulila (kajambia) anatumika Ili kusafisha njia lakini wanachosahau ni kwamba huo uchumi unaongezeka Kwa wawekezaji wanaotumia amana zetu kujikopesha LAKINI UHALISIA NI KWAMBA WANANCHI WALIOWENGI HALI YA KIUCHUMI NI MBAYA, yeye kafulila kama Kuna cheo ka ahidiwa hakuna shida apalikie ugali wake lakini hali huku kitaa ni mbaya sana
 
Wenye akili tu wanaweza kuelewa hapa ulipoandika na wako wengi tumebakiwa na watu wachache sana wenye Elimu lkn hawana Akili wasioweza kuoanisha mambo na daima huishi kama ng'ombe tu hawaelewi chochote kazi ya ni kusifu pasipotakiwa kusifiwa na hatuwezi kuwashangaa kwa sababu twajua ya kuwa tatizo lao kubwa ni kukosa AKILI.
 
Hii ni mauzo ya nje sio uwekezaji

Duh! Ndugu yangu huekewa hata maana ya FDI!! Au una tatizo la lugha ya Kiingereza? Unaelewa maana ya FDI?

Huo ni uwekezaji wa makampuni ya nje nchini China. FDI maana yake ni Foreign Direct Investment, yaani pesa ya moja kwa moja inayotoka nje kuja kufanya uwekezaji nchini mwako.

Hiyo $13 billion aliyoisema aliyoisrma huyo mjinga, ni total investment, yaani FDI plus local investment. Hiyo ya China ya $189 billion ni uwekezaji wa kigeni pekee nchini China kwa mwaka, hapo hujajumlisha uwekezaji wa ndani.

Uwekezaji wa nje nchini Tanzania ni kama $1 billion tu. Hapo tuna nini cha kujivunia? Nchi inayoongoza kuvutia wawekezaji katika Africa ni Misri, ikifuatiwa na South Africa, Ethiopia na Senegal. Wakati Tanzania FDI ni $1 billion, Egypt ni $11 billion.

Angalaia:
Foreign Direct Investment (FDI) figures in Tanzania went up almost twofold year-on-year to $1.05 billion between July and September against $524.4 million in the same period last year.
25 Nov 2023.

Mazingira ya uwekezaji Tanzania bado ni duni sana. Hakuna chochote cha maana kilichobadilika. Ndiyo maana hatujafanikiwa bado kuvutia mitaji mikubwa ya nje kuja kuwekeza Tanzania:

What are the obstacles to FDI in Tanzania?

While Tanzania's new Investment Act is poised to catalyze significant economic growth, its implementation is not without potential hurdles. These challenges range from bureaucratic inefficiencies to concerns about its impact on local communities and the equilibrium between local and foreign interests.
28 Feb 2024
 
Sasa dollar mbona hazionekani mtaani?

Kafulila ni mpuuzi. Anajikomba kwa Samia, kwa vile anaona unafiki unalipa. Kwenye uwekezaji, Tanzania haina cha kujivunia. Fikiria ukubwa wa Tanzania na idadi kubwa ya watu, tupo chini kuliko hata Uganda katika kuvutia wawekezaji, tupo chini kuliko hata DRC iliyopo kwenye vita wakati wote:

Top 10 African countries with the largest foreign investments.

Rank Country. FDI
1. Egypt. $11 billion
2. South Africa $9 billion
3. Ethiopia $3.7 billion
4. Senegal. $2.6 billion
5. Morocco. $2.1 billion
6. DRC. $1.8 billion
7. Ghana. $1.5 billion
8. Uganda. $1.5 billion
9. Tanzania. $.1.1 billion
10. Zambia. $116 million
 
Duh! Ndugu yangu huekewa hata maana ya FDI!! Au una tatizo la lugha ya Kiingereza? Unaelewa maana ya FDI?

Huo ni uwekezaji wa makampuni ya nje nchini China. FDI maana yake ni Foreign Direct Investment, yaani pesa ya moja kwa moja inayotoka nje kuja kufanya uwekezaji nchini mwako.

Hiyo $13 billion aliyoisema aliyoisrma huyo mjinga, ni total investment, yaani FDI plus local investment. Hiyo ya China ya $189 billion ni uwekezaji wa kigeni pekee nchini China kwa mwaka, hapo hujajumlisha uwekezaji wa ndani.

Uwekezaji wa nje nchini Tanzania ni kama $1 billion tu. Hapo tuna nini cha kujivunia? Nchi inayoongoza kuvutia wawekezaji katika Africa ni Misri, ikifuatiwa na South Africa, Ethiopia na Senegal. Wakati Tanzania FDI ni $1 billion, Egypt ni $11 billion.

Angalaia:
Foreign Direct Investment (FDI) figures in Tanzania went up almost twofold year-on-year to $1.05 billion between July and September against $524.4 million in the same period last year.
25 Nov 2023.

Mazingira ya uwekezaji Tanzania bado ni duni sana. Hakuna chochote cha maana kilichobadilika. Ndiyo maana hatujafanikiwa bado kuvutia mitaji mikubwa ya nje kuja kuwekeza Tanzania:

What are the obstacles to FDI in Tanzania?

While Tanzania's new Investment Act is poised to catalyze significant economic growth, its implementation is not without potential hurdles. These challenges range from bureaucratic inefficiencies to concerns about its impact on local communities and the equilibrium between local and foreign interests.
28 Feb 2024
Nawakumbusha tu kuwa Leo ni ijumaa kuu nyama no.
 
Naona unasifia sifia tu nchi za wenzako kwanini?
 
Back
Top Bottom