Kafulila: Utulivu wa kisiasa wa Rais Samia umekuza Uwekezaji mauzo ya nje yameongezeka kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35Trilion

1711637011383.jpg
Awamu zilizopita zilikopa jumla trillion 60 awamu hii pekeake imekopa trillion 30.
 
Kafulila ni zero kabisa. Uwekezaji wa $13 bilioni anaona ni mkubwa sana! Kweli tunaongozwa na watu wajinga sana. Pale msumbiji kampuni 1 iliwekeza $26 billion kwenye LNG, halafu Kafulila kwa ujinga na unafimi wake anaona uwekezaji wa jumla wa $13 billion ni maajabu.

China, uwekezaji wa nje nchini mwake kwa mwaka mmoja wa 2022 ulikuwa $189 billion. Huyu mjinga $13 billion , hakawii kusema RaisSamia amevunja record ya Dunia.

In recent years, China has been the second largest recipient of foreign direct investments (FDI) worldwide, attracting approximately 189 billion U.S. dollars in 2022.

29 Feb 2024.

Kamishina wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa,

Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi ambayo watu wana-tension, Watu wanatafutana haiwezi kupata wawekezaji serious na haya ni matokeo ya 4R za Rais Samia.

Mhe David Kafulila amesema kuwa Uwekezaji Tanzania umekua kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35 Trilioni ndani ya miaka mitatu tu ya Rais Samia.

Vilevile Mhe Kafulila anaendelea kwa kusema kuwa Watanzania wameongeza Ukwasi binafsi kiasi ambacho zaidi ya akaunti mpya milioni 20 zimefunguliwa ndani ya miaka mitatu tu ambapo Mobile bank accounts hizo zimefikia 52M Kutoka 32M za tangu Uhuru.

#Sasa kama watu hawana Pesa hizo akaunti wanaweka mawe?

View attachment 2947295
Sawa watanzania tumekuwa wakwasi kwelikweli
 
Kafulila ni zero kabisa. Uwekezaji wa $13 bilioni anaona ni mkubwa sana! Kweli tunaongozwa na watu wajinga sana. Pale msumbiji kampuni 1 iliwekeza $26 billion kwenye LNG, halafu Kafulila kwa ujinga na unafimi wake anaona uwekezaji wa jumla wa $13 billion ni maajabu.

China, uwekezaji wa nje nchini mwake kwa mwaka mmpja wa 2022 ulikuwa $189 billion. Huyu mjinga $13 billion , hakawii kusema RaisSamia amevunja record ya Dunia.

In recent years, China has been the second largest recipient of foreign direct investments (FDI) worldwide, attracting approximately 189 billion U.S. dollars in 2022.

29 Feb 2024.

Hii ni mauzo ya nje sio uwekezaji
 
Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa,

Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi ambayo watu wana-tension, Watu wanatafutana haiwezi kupata wawekezaji serious na haya ni matokeo ya 4R za Rais Samia.

Mhe David Kafulila amesema kuwa Uwekezaji Tanzania umekua mfano mauzo ya nje yamekua kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35 Trilioni ndani ya miaka mitatu tu ya Rais Samia.

Vilevile Mhe Kafulila anaendelea kwa kusema kuwa Watanzania wameongeza Ukwasi binafsi kiasi ambacho zaidi ya akaunti mpya milioni 20 zimefunguliwa ndani ya miaka mitatu tu ambapo Mobile bank accounts hizo zimefikia 52M Kutoka 32M za tangu Uhuru.

#Sasa kama watu hawana Pesa hizo akaunti wanaweka mawe?

View attachment 2947295
Kwaiyo tumerudishwa uchumi wakati, kumbe ndio maana Jeska alimkimbia Kafurila ziro kabisa, Shilling yetu inaporomoka Kila siku, dollar kwenye mabenki amna,CAG kasema Samia kakopa tillrion 30 kwa miaka 3 ya Samia maana yake nchi inalemewa na madeni, Sasa hiyo hela inasaidia nini nchini.Uchawa nchi hii unaharibu nchi hii.
 
Acha personal attacks mtumishiwaleo
 
Back
Top Bottom