wasiwasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Hatari Zilizofichika Katika Uchapishaji (Printing): Wasiwasi wa Usalama Katika Maghala ya Uchapishaji Kariakoo

    Katika baadhi ya viwanda na maghala ya uchapishaji yaliyoko Mtaa wa Jangwani, eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, shughuli za uchapishaji zinaendelea katika mazingira yasiyo salama na yasiyozingatia viwango vya usalama kazini. Majengo mengi ya biashara yenye ghorofa yanatumika kwa shughuli...
  2. N

    Hii ni dawa gani? Nina wasiwasi

    Habari Wana jf?. Nimekuta HII dawa kwenye mkoba wa demu wangu wakati tukiwa lodge yeye alikuwa ameenda bafuni simu yake ikawa inaita, kuangalia kwenye mkoba ndo nikakutana na hii dawa sijajua ni dawa Gani. Kwa anayeifahamu basi. Isije ikiwa nimekanyaga miwaya
  3. chizcom

    Na wasiwasi na Harusi ya JUX na pesa zinachezewa na CCM kutoka serikali

    Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii. JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea. Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa...
  4. A

    US Embassy: Matukio ya hivi karibuni ya kisiasa yanaibua wasiwasi kama Tanzania itaweza kuandaa uchaguzi wa amani.

    Baada ya kimya kirefu tangu kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, leo ubalozi wa Marekani hapa nchini umetoa tamko kuhusu hali ya kisiasa na wasiwasi wake mkubwa kwa serikali ya Tanzania kuhusu matukio ya hivi karibuni ya kuminya demokrasia na ukandamizaji kwa vyama vya...
  5. Cute Wife

    Pre GE2025 Lissu amekamatwa huku Zay Lissa na Manara wametrend ghafla! Focus Watanzania, Focus!

    Wakuu, Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa...
  6. Faana

    Vitu 10 Vya Kutisha Kuhusu Ndege Ambavyo Vitakufanya Ujisikie Wasiwasi

    Vitu 10 Vya Kutisha Kuhusu Ndege Ambavyo Vitakufanya Ujisikie Wasiwasi Hata Kama Wewe ni Mwingiliaji Hodari Unachojua huenda kikayumbisha meza yako ya chakula... Ndege ni salama kimasafa—lakini nyuma ya pazia, ulimwengu wa anga unaficha ukweli wa kutisha. Hapa kuna mambo 10 ya kutisha ambayo...
  7. Upekuzi101

    Shida siyo maamuzi ya Kikao, wasiwasi ni kile FIFA na CAF wanawezaifanyia Ligi tu

    Soka la bongo limepambaniwa miaka na miaka na hapa ligi yetu ilipofika kweli ni pakubwa kwakua ligi yetu ni ya tano kwa ubora Afrika na huu ni kweli kuwa kazi na uwekezaji mkubwa umefanyika. Hili lilotokea kwenye derby ya Simba na Yanga ni kosa kubwa na linaweza kutugharimu pakubwa. Kuingiza...
  8. Keynez

    Sipendezwi na mbinu zinazotumika kuchochea hali ya wasiwasi kwa Tundu Lissu

    Kwenye sayansi ya tiba na saikolojia kuna kitu kinaitwa "anxiety" na "Post-traumatic stress disorder' au PTSD. Hizi ni hali zinazomkabili mtu baada ya kupitia tukio fulani linaloacha kumbukumbu katika saikolojia yake. Mtu aliye na tatizo hilo anaweza kupata kiwewe pale kichocheo fulani...
  9. kante mp2025

    Pre GE2025 Nina wasiwasi sana na uchaguzi wa Rais Oktoba 2025

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025. Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
  10. Genius Man

    Majengo ya Kariakoo yanavyo jaza watu yanatia wasiwasi kuhusu uimara wake endapo litatokea tetemeko maeneo hayo watu wengi watakufa

    Nilitembelea maeneo ya kariakoo juzi nikaona mazingira yaliyopo yale majengo ya maghorofa yalivyo kwa kweli yanitia wasiwasi kuhusu uimara wake kwamba huwenda yakaja kudondoka zaidi na kuuwa watu ukiachana na umri wa majengo yale na jinsi yanavyo lemewa uzito na wingi wa watu wanao yatumia...
  11. L

    Kuna haja ya kuwa na wasiwasi au akae kwa kutulia?

    Salamu kwenu. Huyu mdada amepambana anavyojua akapata barua ya uhamisho kutoka wilaya X kwenda mkoa na wilaya nyingine mwezi uliopita.Alipotoka amefungashiwa kila kitu na wilaya aliyohamia washampa barua ya kituo chakazi. Tatizo anaogopa kuhamisha mizigo yake akihofia kurudishwa...
  12. Crocodiletooth

    Bashungwa aendeshaje home affairs, ili hatimaye taifa likae katika Utulivu na amani, wasiwasi uwaondoke Watanznaia

    Mimi binafsi ningemshauri, aifanye polisi isimame kama chombo huru kinachofanya mambo yake kwa mujibu wa kanuni ambazo zipo, na kisiwe chombo ambacho kinapokea maagizo kutoka taasisi zingine za kiusalama mfano tiss kuipa kazi polisi, pengine jukumu lilipaswa kushughulikiwa na tiss wenyewe...
  13. R

    Wasiwasi wangu: Ingelikuwa story za Abdul Nondo kutekwa za kweli, haya yangelikuwa wazi kwa wananchi

    1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend 2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend 3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno 4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na...
  14. Etugrul Bey

    Acha kuwa na wasiwasi sana kuhusu yaliyotokea nyuma au yanayo kuja mbeleni

    Acha kuwa na wasi wasi sana na mambo yaliyotokea huko nyuma katika maisha yako au ambayo yanayo kuja huko mbeleni Usiyape kipaumbele na vuta pumzi ndefu,ishi wakati uliopo sasa na kuwa mwenye shukrani kwa wakati ulionao na ulipo sasa Mda huu ndio ambao tunao,kwahiyo sahau mambo kama...
  15. LIKUD

    Nna wasiwasi na Dompo, nahisi kama imechakachuliwa pia

    Nahisi kama Dompo imechakachuliwa pia. Hii ni kwa sababu ya reaction ninayo ipata baada ya kunywa dompo. Tangu nimeacha kunywa beer mwaka 2019 nimekuwa nikitumia zaidi wines kutoka nje ya Tz (more especially South Africa) kwa sababu ya kuogopa kunywa wine zinazotengenezwa hapa Tz baada...
  16. G

    Dadangu ana miaka 26, lakini mpaka sasa hajaolewa. Familia nzima tuna wasiwasi kuwa atazalia nyumbani. Tufanyeje?

    Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu? Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
  17. Tajiri Tanzanite

    Wala sina wasiwasi na Simba hii tarehe 19.10.2024 anamshinda yanga sio chini ya magoli 2.

    Hapo vip!! Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu. Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea. Admin naomba usave hii post kwa...
  18. Gol D Roger

    Sina raha, wasiwasi wa maisha unanisumbua

    Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much. Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana...
Back
Top Bottom