wanyama

Victor Mugubi Wanyama (Kenyan English: [wɑˈɲɑːmɑ] (listen); born 25 June 1991) is a Kenyan professional footballer who plays as a defensive midfielder for Major League Soccer club CF Montréal and captains the Kenyan national team.Wanyama became the first ever Kenyan player to score in the UEFA Champions League when he scored the first goal in Celtic's 2–1 win over Barcelona on 7 November 2012. On 11 July 2013, Wanyama moved to Premier League club Southampton for £12.5 million making him the most expensive player sold by a Scottish club, surpassing the £9.5 million Russian club Spartak Moscow paid for Aiden McGeady in 2010.He has earned 60 caps for the Kenyan national team since making his international debut in May 2007 at the age of 15.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Tujuzane Ishara za 'Kiuchawi' na "Kiuchuro' kutoka kwa Wanyama, Wadudu na Ndege kwa Binadamu (Mwanadamu)

    1. Nyumba unayokaa kama unafuga Njiwa na ukiwa Unauguza Mgonjwa ndani ukiona Njiwa Wote wanaondoka anza kuweka Oda ya Jeneza kwa Mgonjwa wako kwani utake usitake atakufa tu. 2. Nyumba unayoishi kama unafuga Mbwa kuanzia Saa 5 Usiku na Saa 11 Alfajiri ukisikia wanabweka sana jua Wachawi...
  2. Stephano Mgendanyi

    Tabia za wanyama walizanazo watu zenye kuweza kuua Taasisi au Kampuni au Ofisi

    Tabia za wanyama walizanazo watu zenye kuweza kuua Taasisi au Kampuni au Ofisi. Bata: Kujivutavuta, hufanya kazi polepole na kuendekeza uvivu mpaka mambo ya kikundi yanazorota au kufa kabisa. Bundi: Mtu anayefikiria ana akili kuliko wote kwenye kikundi- hutumia lugha ngumu na haeleweki Chura...
  3. Mtafiti77

    Mashabiki wa makala za wanyama mpo kwenye uzi upi jamani?

    Habari nyote Ninaomba kufahamishwa uzi makini unaojadili tabia za wanyama na maumbile ya dunia na vilivyomo hapa JF. Mimi ninapenda hizi mambo. Hunitoi National Geographic TV, Discovery channel... Siku hizi nimenogewa na WildEarth Tv, hawa wanarusha video live toka mbugani kule South Africa...
  4. TheDreamer Thebeliever

    Nashauri Wizara ya Utalii waanzishe utalii wa chini ya bahari

    Habari wadau! Ni muda sasa wizara zikajitathimini na kuwa wabunifu ili kumsaidia mama kuongeza mapato. Nilikuwa nashauri serikali kupitia wizara husika kuangalia uwezekano wa kuanzisha utalii watu tukawe tunaenda kutalii chini kabisa ya bahari deep sea bila shaka kutakuwa na utamu wake maana...
  5. Red Giant

    Kitabu: Shamba la wanyama. Tusome na kujadili

    Umewahi kusoma hiki kitabu? Kimeandikwa na: George Orwell, 1945. Kimetafsiriwa na: Pictuss Email: Pictuspublishers@gmail.com. ©Pictuss2021 Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu yoyote ya tafsiri hii inayoweza kunakiliwa, kutolewa kivuli(photocopy), kuhamishwa, kurekodiwa au kutolewa kwa...
  6. Father of All

    Je, ni kweli kuwa Wanyama wa Tanzania huenda kupata mimba Kenya kama alivyosema Rais Samia?

    Wanajamvi mwaendeleaje wanangu? Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania. Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana? Je...
  7. D

    Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

    Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama. Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa muda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege...
  8. goldcall

    Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

    Naona vijana hufungua majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utaalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini. Ujumbe ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama...
Back
Top Bottom