wanamichezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melubo Letema

    Ndumbaro - Ni aibu kwa Taifa lenye watu 61M kupeleka Wanamichezo 7 Olimpiki

    Waziri mwenye dhamana na kiongozi wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Daktari Damas Ndumbaro anashangazwa na anasema ni aibu kwa Taifa lenye watu zaidi ya milioni 60 kupeleka wanamichezo 7 Olimpiki: Sasa, sisi wananchi na yeye waziri nani anayetakiwa kushangaa au kusikitika? Huyu waziri...
  2. SAYVILLE

    Maokoto ya wanamichezo wa nchi mbalimbali wanaoshinda medali za Olympics

    Mashindano ya Olympics yana michezo mingi sana na mingine ni nadra sana kwa mwanamichezo kutengeneza kipato nje ya mashindano yale. Umewahi kujiuliza wanamichezo wanaoshiriki michezo ya Olympics wanafaidikaje ukiacha nafasi ya kushinda medali? Ngoja nikuwekee mkeka wa mifano ya nchi kadhaa...
  3. T

    Aibu sana kwa taifa langu Olympic 2024. Kenya ilipekeka wanamichezo 72, Uganda 24 sisi walienda 7 na delegation ya watu karibu 20 + waziri

    Kama kuna kitu kinaudhi nchi hii ni namna mambo yanavyofanyka kiajabuajabu ukiachikia mbali yale mataifa yanayotuzidi sana kiuchumi hata hawq jirani zetu unagundua wako serious sana na mambo yao. Wenzetu wamepekeka wanamichezo wengi sana ambao ndo wahusika hasa lakini sisi tunepeleka watu ambao...
  4. Lexus SUV

    Hivi kuna mantiki ya wanamichezo kuvaa vichupi kwenye Olympic

    Aiseh , UnaKuta wadada wamevaa vichupi, nusu sema full uchi . Sijui kwa mantinki ipi wakuu? Soma Pia: Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo
  5. GENTAMYCINE

    Tunaelimishana na Tunakumbushana tu kama 'Wanamichezo Wanaojielewa' na siyo 'Wanamichezo Washamba na Majuha' waliopo Afrika na Duniani

    1. Kaizer Chiefs ya jana na ya sasa siyo ile yenyewe kwani bado Inajitafuta 2. Kaizer Chiefs ya sasa ( ya jana ) bado inajikongoja kwa miaka / misimu karibia saba 3. Kaizer Chiefs ya jana ( ya sasa ) ilikuwa na takribani Wiki moja tokea Wachezaji wajiunge kwa Pre Season 4. Kaizer Chiefs ya jana...
  6. USSR

    Nani ameiroga Afrika, Zimbabwe imetuma wanamichezo 9 na viongozi 67 Paris kwenye mashindano ya Olympics

    Wakati wakipita juu ya mto wakiwa kwenye boti kila mmoja alijiuliza mbona wengi sana baadaye inatoka taarifa kuwa wanamichezo ni 9 na ma-afsa wa serikali kutoka wizara mbalimbali ni 67 na watakaa kwa siku 16 zote za olimpiki hapa paris. Sijajua Bongo aka nchi ya kitu kidogo tumepeleka wangapi...
  7. uhurumoja

    Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

    Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki. Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje ni gari tupu ============= Ahmed Arajiga: Ameshinda tuzo ya Mwamuzi bora wa kiume Esther Chabruma...
  8. Kidaya

    SoC04 Mikopo kwa wanamichezo ili kuinua sekta ya michezo, sanaa na utamaduni

    Michezo, Sanaa na utamaduni ni ajira, burudani, biashara na utambulisho wa Taifa. Sekta ya michezo, sanaa na utamaduni ni sekta muhimu kiuchumi katika nchi zilizoendelea kwa mfano nchini Uingereza, sekta ya michezo inakadiriwa kuchangia kiasi cha Tsh. trilioni 110.9 kwa mwaka kwenye pato la...
  9. JanguKamaJangu

    Wanamichezo 10 wanaolipwa zaidi Duniani 2024

    Licha ya Cristiano Ronaldo (39) kuelekea mwishoni mwa maisha yake ya kucheza soka lakini bado katika suala la malipo yupo juu, anaongoza kwa kulipwa kuliko wanamichezo wengine wote ndani ya miezi 12 iliyopita akiwa anaichezea Al-Nassr ya Saudi Arabia aliyojiunga nayo Januari 2023 Analipwa Dola...
  10. Mto Songwe

    Watu maarufu (Wanasayansi, Wasanii, Wafanyabiashara, Wanamichezo) wazee wa kataa ndoa duniani

    Twende nami taratibu. Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎 1. Oprah Winfrey Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi. Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa. Huyu...
  11. L

    Familia inaendelea kuwa msukumo wa mafanikio kwa wanamichezo wa China

    Wanamichezo wa China wamefanya vizuri katika michezo ya 19 ya Asia iliyomalizika hivi karibuni mjini Hangzhou. Kama ilivyo kwenye michezo mingi ya namna hiyo, wanamichezo wa China wameendelea kuonyesha maajabu kwa kupata mafanikio makubwa huku wakijishindia medali nyingi za dhahabu. Lakini mbali...
  12. B

    Pre GE2025 Dkt. Samizi aungana na wanamichezo kusaidia wenye uhitaji na kumuunga mkono Rais Samia

    Jana Jumapili imekua siku nzuri kwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi kufurahi na wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe ambapo alipata mwaliko wa uzinduzi wa tawi la Yanga SC pale Mukabuye. Uzinduzi wa tawi hilo la Yanga SC umekuwa na shangwe na umati mkubwa...
  13. Mzee Kobelo.

    SoC03 Ukuzaji vipaji vya wanamichezo Tanzania

    MICHEZO ni mazoezi yahusuyo mwili, ambayo huhusisha ushindani ndani yake. Ushindani huo hua na taratibu na kanuni kutokana na jamii au mchezo husika. Kumbuka:michezo ni ajira Michezo ni afya pia huweza kuondoa msongo wa mawazo. Kuna wachezaj mbali mbali walio jiajili na wana...
  14. BARD AI

    Michael Jordan bado anaongoza kwa Wanamichezo 10 wa Muda Wote wanaolipwa Fedha nyingi duniani

    1. Michael Jordan - Tsh. Bilioni 7.7 2. Tiger Woods - Tsh. Bilioni 5.8 3. Arnold Palmer - Tsh. Bilioni 3.9 4. Jack Nicklaus - Tsh. Bilioni 3.8 5. Cristiano Ronaldo - Tsh. Bilioni 3.7 6. LeBron James - Tsh. Bilioni 3.5 7. Lionel Messi - Tsh. Bilioni 3.4 8. Floyd Mayweather - Tsh. Bilioni 3.3 9...
  15. GENTAMYCINE

    Asante sana Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kwa Kutuandaa vyema Kisaikolojia wana Yanga SC na Wanamichezo nchini

    "Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa Wachezaji wetu waliopambana," Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) alipokuwa akizungumza na kipindi...
  16. J

    Wanamichezo Rudini na Ushindi: Yakubu

    Wanamichezo Rudini na Ushindi: Yakubu Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu Bw. Saidi Yakubu amewaaga wanamichezo wa Wizara hiyo ambao wanakwenda kwenye Michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Wakala, Idara za Serikali na Mikoa (SHIMIWI)...
  17. ALLENGRACE ADIEL

    SoC02 Siri ya wasanii na wanamichezo kuwa na utajiri mkubwa kuliko wasomi wa vyuo vikuu na maprofesa

    "SIRI YA ELIMU ILIYOFANYA WAKOLONI WAKAFANIKIWA NA WAKATUACHIA ELIMU INAYOTUFANYA KUENDELEA KUWA WATUMWA" ELIMU YA UJUZI BINAFSI, USTADI, UFUNDI NA UBUNIFU NI MAJIBU YA KUWA NA AJIRA, UKUAJI WA UCHUMI, BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA. Unaweza Ukajiuliza, Ilikuwaje wakati wa wakoloni kulikuwa...
  18. E

    Ushauri kwa Waziri wa Michezo - Andaa watoto kuwa wanamichezo achana na samaki wakavu

    Nimemsikia waziri wa michezo akisema majina makubwa yataachwa kwenye timu ya taifa, na anasema wataenda kijiji kwa kijiji kutafuta wachezaji. ukweli ni kwamba Waziri hata kwa mbinu hiyo hutapata timu. Mpira au mchezo wowote duniani ulishatoka kwenye vipaji. Kanuni ya kupata wanamichezo ni...
  19. M

    Wallace Karia anaiendesha TFF kihuni, adhabu za vifungo na faini za kibabe zinawaumiza wanamichezo. Karia hafai kwa ustawi wa soka letu

    Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka kutoka kwa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na Rais wake, Wallace Karia umeongezeka kwa kasi. Hebu...
Back
Top Bottom