Mapendekezo haya nayatoa kwa TIRA.
Mabadiliko ninayopendekeza ni kwamba, kuwepo na rudisho (return of some proceeds) la fedha kwa mchangiaji wa bima inayoisha muda wake bila janga kutokea.
SABABU ZA MAPENDEKEZO HAYA
1. Kuepusha mianya ya rushwa.
Mmiliki wa gari yuko radhi kumshawishi askari...
This is fact and realitity!
Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo...
Niwaambie chawa, kwenye Chuo Kikuu chochote Senior intellectual akiongea wengineo tunasikiliza, sasa chawa wanatujazia propaganda na wamejipanga na majibu yao, ukiwaambia mkataba unazungumzia bandari zote za Tanganyika "territory" wanakwambia umemsikiliza Profesa Anna Tibaijuka, nenda kasome...
Wanabodi,
Mjadala wa IGA ya DPW kupewa Bandari yetu ya Dar es Salaam, unazidi kushika kasi.
Jana asubuhi nilipandisha bandiko hili Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do kuhusu hiyo...
Tujiulize kama hakuna rushwa kwanini Serikali wanakuwa wagumu kukubali ushauri na kufanya marekebisho ya MOU kwa manufaa ya nchi. Mikataba ya baadae haitakuwa ya wazi! MOU ndiyo muhumu sana kufanyiwa marekebisho.
Watanzania hawapingi uwekezaji bali vifungu vya MOU!
Nimeusoma mkataba wa bandari kuna mapungufu machache tu yanayoweza kurekebishika. Watanzania tuondoe wasiwasi tushauri kwa lugha nzuri. Mfano kama ikiwezekana ibara ya 23 ingefanyiwa maboresho ili isituminye sana. Ibara inasema hivi:
ARTICLE 23
DURATION AND TERMINATION
1. Subject to paragraph...
Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao.
Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora.
Ahsanteni.
Hello Wadau.
Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄
Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis.
Commets ziwe fupi fupi tafadhali.
Video...
HANDSHAKE kati ya Raila Amolo Odinga na Uhuru Kenyata ililenga kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba ili kuweka vyeo, pamoja na mambo mengine mengi. William Rutto aliwaambia wakenya kwamba shida yao sio katiba nyingine, shida yake ni kukomboa mama mboga na mtu wa bodaboda, kwamba shida ya...
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Deodatus Balile amesema kuwa bado kuna maeneo katika vifungu vya Sheria ya Habari vimekuwa vikwazo na vinahitaji kufanyiwa marekebisho.
Hayo ameyasema jana katika kipindi cha Kipima Joto kinachorushwa na Televisheni ya ITV kuhusiana na Marekebisho ya...
Tafadhali, enyi wenye uweledi na taaluma za Uongozi!
Hili lakutangaza misamaha likoje?
Niliamini utumishi Bora ni kuzingatia kanuni za utumishi, na kwamba mtumishi anahesabika kukosea baada kutotekeleza wajibu kulingana na kanuni!
Vipi Kuna kanuni za kusameheana?
Kama hazipo kwanini kiongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.