upatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa maisha

    Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa Maisha. Imefikia hatua mpaka wanaume anapotaka kumsaidia mtu anambiwa unamapaje mtu hela hiyo mimi nadaiwa kikoba Mtu anayecheza michezo sawa na mtu anabet kila pesa huiwazia kamari tu akaizalishe😀🙌🏿...
  2. ngara23

    Kumbe kucheza upatu ni kosa la jinai

    Leo ndo nimeamini elimu haina mwisho Dr Manguruwe ameshtakiwa Kwa makosa 28, Likiwepo kosa la kucheza upatu, ambapo kidogo imenishangaza, nikaona kiama kimefika Kwa vijumbe mtaani
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Watoto wa kidato cha kwanza wanacheza mchezo wa upatu, Taifa linaelekea wapi?

    Habari! Mama mmoja aliniambia kuwa amepigiwa simu akiambiwa mtoto wake binti wa kidato cha kwanza anadaiwa pesa na wanafunzi wenzako shule ambayo kahama. Mama alihama kutoka Wilaya ya TEMEKE na sasa yuko wilaya ya Ilala na binti alipatiwa uhamisho. Zamu yake ya kuchukua pesa ilishapita na...
  4. Tman900

    Jamaa yangu amedhurumiwa kwenye upatu, kwanini watu hawajifunzi?

    Kuna Rafiki Yangu aliniambia Kuna kucheza Mchezo, aliponiambia tu huo mchezo wa Pesa nilichemka mi sina Pesa ya Mchezo. Sasa leo Simu ya kwanza kupokea ya kweke Tayari Wamezurumiana. Jaama apokei Simu na Yeye ndo anasema Ni mtu wa 7, ametumiwa 1,000,000/= Bado 6,000,000/= Mchezeshaji apokei...
  5. mwekwa ntandu

    Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

    Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa. Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata...
  6. FRANCIS DA DON

    Biashara ya Kamari: Mbadala wa Dawa za Kulevya?

    Kwa wale ambao mmeshawahi kusikia namna 'punda' wa 'sembe ya mwakyembe' wanavyo 'packiwa' mizigo ya kusafirisha mtakubaliana na mimi kwamba biashara hii 'takatifu' ina faida kubwa iliyotukuka. Ni ukweli unaosikitisha kwamba 'pipi' za 'sembe' hushindiliwa kupitia njia ya nyuma mpaka tumbo lijae...
  7. O

    Ripoti Maalumu: Upatu, ‘smart phone’ janga jipya kwa wanafunzi wa sekondari

    Je, umewahi kuona wanafunzi wakiwa wamerundikana katika kituo cha daladala huku wakiyaacha mabasi ya abiria hata kama ni matupu? Unajua siri iliyojificha miongoni mwao kama sio wengi wao? Mwananchi Digital imefanya uchunguzi wa kina na kubaini chanzo. Uchunguzi wa takribani mwezi mzima...
  8. BARD AI

    Mabilioni mengine ‘yayeyuka’ kwenye upatu mpya, Mchungaji KKKT atapeliwa Tsh. Milioni 200

    Watu wanaotajwa zaidi ya 300 hawajui hatima ya mamilioni yao ya shilingi walizowekeza katika kampuni ya Bestway Capital Management (BCM), na sasa wanamwangukia Rais Samia Suluhu Hassan, wakiomba aingilie kati ili waweze kupata fedha zao. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Charles Kapongo...
  9. T

    Watanzania wapigwa tena na Kampuni ya Upatu ya "Best Capital Management" zaidi ya Bilioni 15

    Watanzania sijui watashtuka lini. Lakini hii ni uthibitisho wa fikra za Darwin kwamba hapa Duniani ni eitha uchague kua chakula uliwe ama uchague kua mla chakula. Siku zote wala chakula hutafta chakula kilichoiva wakile, wakikukuta umejikalia kama chakula kilichoiva lazima utaliwa tu...
  10. NetMaster

    Karibuni tuzungumzie fursa za kutengeneza pesa ya uhakika kwa internet nje ya vitu kama forex, kubeti na michezo ya upatu

    Maada hii haihusiani na forex, kubeti, michezo ya upatu, n.k. Dunia ya sasa imekuwa sana kiteknolojia hasa kwenye upande wa internet na kuna fursa zipo za kupiga hela za uhakika, Fursa hizi zimefanya watu wajiajiri rasmi mitandaoni, Kwenye majiji kama Arusha kuna watu wa nje ya nchi wanaishi...
  11. Thailand

    Nchi ngumu sana hii hadi chombo cha serikali (TBC) wanahamasisha kamali ya Upatu

    Now Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, Kila Tv na radio habari yao ni moja tu "cheza ushinde kwa buku tu" hii inafikirisha sana. Inaamana Uchumi wetu umeporomoka sana kiasi kwamba kila mwananchi anavizia mchongo wa kamali ili kutimiza malengo. Uchumi huru kwa wananchi hasa wa hizi nchi...
  12. Mr George Francis

    Jihadhari na Upatu, ukidhurumiwa hutopata haki yako

    JIHADHARI NA UPATU, UKIDHURUMIWA HUTOPATA HAKI YAKO. Siku hizi limeibuka wimbi kubwa la watu wanaojifanya kuanzisha na kuendesha mpango wa uwekezaji wenye faida kubwa huku wakitumia ushawishi kuwarubuni wengine wajiunge katika mpango huo wanaounadi kwamba ni uwekezaji wenye faida kubwa ndani ya...
  13. Kingsmann

    BRELA: Kalynda ilipewa leseni ya kuuza vifaa vya kielektroniki

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imesema leseni ya kampuni iitwayo Kalynda E-Commerce Limited iliyotolewa Juni 21, 2022 ni kwa ajili ya uuzaji wa jumla wa vifaa vya kielektroniki na mawasiliano pamoja na ufanyaji wa biashara ya kiteknolojia ya kimataifa mtandaoni. BRELA imesema...
Back
Top Bottom