WANANCHI wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme katika kaya zao ili waweze kuutumia kwa shughuli za kiuchumi na kijamii.
Hayo yameelezwa...
Wakuu,
Miaka 63 ya Uhuru na bado CCM wanazungumzia masuala ya umeme? Seriously?
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma uliopo wilayani Momba mkoani Songwe akiwa katika ziara mkoani humo, alisema kuwa katika Ilani...
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kuwa hadi kufikia Januari, 2025, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekamilisha upelekaji wa umeme kwenye vijiji vyote 12,318 nchini na kwamba kazi inayofanyika sasa ni kuendelea kusambaza umeme vitongojini.
Mhe. Kapinga...
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, leo tarehe 18 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, Mkandarasi Kampuni ya DERM Group (T) Ltd; Kampuni ya ndani, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 150 vya majimbo kumi (10) ya mkoa wa Dodoma, Mradi unaotarajiwa kutekelezwa...
RAIS SAMIA AMEFANYA UMEME KUWA SI ANASA- KAPINGA
📌 *Tanzania kufuta historia ya Vijiji kutokuwa na umeme
📌 Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme
📌 Wananchi watakiwa kutunza miundombinu ya umeme
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya...
Serikali ikiwa kwenye jitihada nzito za kuhakikisha NISHATI UMEME inapatikana vijijini kote lakini huku hali ni tofauti.
Kata ya Gilya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, taasisi za Serikali kama Shule na Zahanati hazina UMEME huu mwaka wa pili, ikiwa nguzo za UMEME zimepita kuelekea vijijini...
Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa zaidi ya shilingi bilioni 80 zimetumika kutekeleza miradi ya usambazaji umeme Vijijini Mkoani Singida na hivyo kuboresha huduma za kijamii na uchumi kwa wananchi vijijini.
Kapinga amesema hayo mara baada ya kuwasha umeme katika Kijiji cha...
Na.Elimu ya Afya Kwa Umma.
Imeelezwa kuwa upatikanaji miundombinu ya maji safi iliyounganishwa na miundombinu ya umeme katika vijiji vya Nyanguge na Bunamhala Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu imekuwa mwarobaini katika kupambana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo Kipindupindu.
Hii ni baada ya...
Kazi ni kubwa imefanyika 2023 lakini ni kazi chafu kwa wanavijiji walio wengi.
Baada ya kupata umeme wanavijiji waliachana kabisa ghafla na utaratibu wao wa maisha waliouzoea. Ghafla walizitupa mashine zao za kusaga na kukoboa zinazotumia mafuta ya diesel, walitupa vibatali vyao na hata vinyozi...
Umeme Vijijini Tanzania: Mafanikio, Changamoto na Matarajio
Mwandishi: MwlRCT
Utangulizi
Umeme ni nguzo ya maendeleo. Umeme unawezesha wananchi wa vijijini kufanya shughuli za kiuchumi, kijamii, kimazingira na kiusalama. Umeme pia unachangia kupunguza umaskini, kuongeza elimu, kuboresha afya...
Ni kweli sasa hivi umeme unasambazwa hadi vijijini kwa kasi. Hii inamaana kuwa hata kule vijijini kabisa kutakuwa na umeme, lakini tunapofurahia faida za umeme kule vijijini lazima pia tusikitie hasara zake. Faida za kuwa na umeme zinafahamika sana hivyo sitahangaika kuzitaja hapa kwakuwa...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametangaza kuajiri vijana 139 watakaosambazwa katika Halmashauri zote nchini ili wawe waratibu wa Miradi ya REA katika maeneo yao.
Makamba amesema hayo Julai 13, 2022 akizingumza Bariadi Simiyu
“Vijana hawa 139 kazi yao ni kufuatilia miradi imefikia hatua...
Sasa ni wakati wa kuachana na kusambaza umeme vijijini Ili fedha hizo zitumike kujenga vyanzo vya umeme kwani huwezi sambaza kitu ambacho huna.
Hii italeta tija, sio kepeleka feza za kuwasha taa na mgao huu
Kwako Mh Rais Samia Suluhu Hassan,
Slaam Mh Rais, NAKUSALIMIA KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Binafsi nikupongeze kwa kazi kubwa sana na ya kipekee sana ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo kwa ajili ya Tanzania na watanzania, Mh Rais binafsi nikupongeze pia kwa kazi nzuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.