Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.
Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa.
Ushuru tunaolipa getini na kwenye huduma ya chooo unafanya kazi gani?
Kwanini Manispaa isiweke kampuni ya usafi au watu maalum...
Wazee na Viongozi wa Dini Wilayani Ikungi Mkoani Singida wamekutana Kujadili na Kuombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa Kufanyika Mapema wiki Ijayo ili Ufanyike wa Amani na Utulivu.
Akziungumza katika Kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ikungi Mkoani Singida...
Mazingira ya Chuo Kikuu Huria, Kampasi ya Singida yanasikitisha sana kutokana na kuonekana kuwa duni.
Majani yameota hovyo hovyo.... mazingira mabovu hayavutii wala hamna hadhi ya 'Chuo Kikuu'.
Wakati wa mvua ndio huwa pabovu zaidi kwasababu eneo lenyewe lipo ziwani.
Pia sehem za kusomea...
Suala la Watoto wadogo kukumbana na changamoto mbalimbali za kikatili kwenye taasisi za elimu limekuwa ni jambo ambalo linajitokeza mara kwa mara sehemu tofauti.
Wadau wa sekta tofauti nao wamekuwa wakipiga kelele juu ta matukio ya aina hiyo kwa kuwa yamechangia pia kuharibu ndoto za Watoto na...
Mwanachama wa JamiiForums, aliandika kuhusu kinachondelea katika Shule ya Mandimu kuwa kuna Mwanafunzi ambaye anawadhalilisha Wanafunzi ikiwemo kuwapa adhabu kali kiasi cha kusababisha wengine waache Shule.
Shule hiyo inapatikana Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Serikali imesema...
Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea changamoto ya bomba, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameelekeza na marekebisho yamefanyika.
Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) upotevu huu wa maji hadi lini? Hili lishughulikiwe?
MAJIBU YA WAZIRI AWESO
Mdau; Hili ni bomba la...
Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea?
Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi...
Zaidi ya wiki sasa Maji katika Mtaa wa Sabasaba Gula Road karibu na Uwanja wa Ndege yamekuwa yakimwagika kama hayana mwenyewe.
SUWASA wamejulishwa ila hadi leo hawajafika na kuna maeneo mtaa huohuo hayana maji wakati upande wa pili yanamwagika hovyo.
Warioba unakaa sana ofisini Vijana wako...
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo.
Akizungumza na waandishi wa...
https://www.youtube.com/live/2CiAzcAM92M?si=ipoSlBpKzwhZhvkQ
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anatarajiwa kuongea na waandishi wa habari muda wote kuanzia sasa.
Fuatilia updates kadiri zitakavyojitokeza.
Wakati anazungumza na waandishi wa habari Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na...
Baada ya majina ya wagombea kutolewa jana na kubandikwa hali ya sintofahamu imeendelea kujitokeza km ilivyo kwenye maeneo mengi nchini.
Mkoani Singida kata ya Utemini ambayo inasimamia mitaa mitatu ya Sabasaba, Utemini na Stesheni wagombea waliobandikwa ni wa CCM tu.
1.Mtaa wa Sabasaba hakuna...
Eneo la Msufini Manispaa ya Singida ni mashughuli na maarufu kwa biashara hapa Singida. Shughuli nyingi za biashara za aina mbalimbali zinafanyika karibia eneo lote la Msufini.
Kinachosikitisha ni dampo lililopo katikati ya eneo hili likiwa limezungukwa na biashara ikiwemo za vyakula, bucha...
Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano.
Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano.
Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
Hapa mkoani Singida, Afisa Habari mmoja mwanaume anatuchezea michezo ya nyumba mbele. Waandishi wa Habari Mkoa wa Singida tunateswa sana na huyu Afisa Habari anayekata posho zetu juu kwa juu na kutaka sisi tufanye kazi ya bila kulipwa wakati malipo ya kazi husika yanatoka.
Mfano hivi karibu...
Salaam Wanajukwaa,
Naomba kero yangu ifike kwa waziri Jumaa Aweso kilio chetu Wananchi wa Singida, SUWASA inatuua.
SUWASA inatukandamiza, inatuonea, bili za maji za huku kwetu ni mitaji ya Watu huko SUWASA, haiwezekani bill zinakuja bila mpangilio.
Hivi majuzi jirani yangu alikuwa akilalamika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.