siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. MIXOLOGIST

    Ukiwa mtu makini sana, huwezi kujihusisha siasa za Tanzania

    Sina matatizo na watu makini ambao wapo kwenye siasa hapa nchini, lakini, unapojihusisha na siasa, hakika umakini wako uta hojiwa. Siasa za Tanzania ni kama zimelaaniwa, waliopo ndani ya siasa hawaamini wanachokisema na kile wanachokiamini hawakisemi Uchawa umetamalaki, hofu za kupoteza mkate...
  2. Tauceti Rigel

    Wosia wa Babu kwa wanaCHADEMA katika Kipindi Hichi Kigumu: Mwenye Kusikia Asikie Lakini anayehitajika ni aliyeelewa

    Kama unashika bunduki na mimi nashika bunduki, tunaweza kuzungumzia sheria. Kama unashika kisu na mimi nashika kisu, tunaweza kuzungumzia kanuni. Kama wote tumekuja mikono mitupu, tunaweza kuzungumzia hoja. Lakini kama wewe una bunduki na mimi nina kisu, ukweli hauko tena katikati yetu—uko...
  3. T

    Mtu alie nusurika kifo ktk siasa acheni kumsonga mtalitesa Taifa mtazitesa nafsi zenu

    Nawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru. Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila...
  4. Pdidy

    HAWA VIONGOZI WA SIASA WAJITAHIDI NA WAO KUWEMO KUNDI LA KUUMIA SIO KUJIFICHA NDAN WANAONGEA TU HIO N LAANA

    NASIKILIZA KIONGOZI MMOJA TU.EKUBALIANA M NIBAKI NDNA YA PFISI NIWAPE UPDATE NA XXXX AMEKIMBILIA SEHWMU FLAN AKITOA TAARIFA USHAURI TU TUSIWATUMIE WANANCHI VIBAYA M NATAMAN KUSIKIA KUNDI KUBWA LA WANAOLALA.IKA KUUMIA WAWE N VIONGOZI WA NRNE MPAKA SASA SIJAJSIKIA KIONGOZI ALIEKUFS WANATANGAZA...
  5. Ojuolegbha

    TANZANIA YA KISASA: HAKI, TEKNOLOJIA, NA SIASA ZA AMANI—TUNAPOKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU

    TANZANIA YA KISASA: HAKI, TEKNOLOJIA, NA SIASA ZA AMANI—TUNAPOKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU Leo tarehe 24 Aprili 2025, Tanzania - Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendesha shauri la jinai namba 202504102000008606 dhidi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu kwa njia ya mtandao, kupitia tovuti rasmi...
  6. D

    Dini ni kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu kimwili na kiroho, wanaosema viongozi wa dini wasihubiri siasa ni wajinga waelimishwe

    Naomba niliweke katika picha hii Dini inafundisha katika muktadha wa software na hardware! Dini ni platform ya kumuongoza mwanadamu kiroho na kimwili ili aondokane na mahangaiko na mateso kutoka kwa shetani. Huwezi kuwahubiri watu wenye njaa wakakuelewa! Huwezi kuwahubiri watu kiroho pasipo...
  7. DR HAYA LAND

    Japokuwa napenda sana siasa ila nikiingia miaka 70 naachana na siasa , kutokana na huu moto wa Uchaguzi

    Number don't lie . MTU umeshaingia ghorofa ya 80 unasema utaweza siasa za huku na kule. Pale Bukoba Mjini Marehemu Mzee Rwamgisa (RIP) ndo nakumbuka aliingia ghorofa ya 80 akiwa ni diwani na bado alikuwa anautaka umeya. Wakuu number don't lie , naogopa yasitokee ya Rwangisa.
  8. T

    Vijana wa kitanzania hawana tena upeo wa kujadili na kuchambua siasa upeo wao ni kuchambua mipira tu. Tutarajie maafa zaidi

    Nimeona taarifa ya projection ya ukuaji wa kiuchumi wa nchi yetu inaonyesha tunakaribiwa kwa karibu sana na Uganda lkn tukiendelea kuachwa mbali sana na kaka zetu wakenya. Sisi ni mabingwa wa kusifiwa kwamba nchi yetu imetulia kuna amani maandamano hakuna na hata wakati wa corona hatukufunga...
  9. Inside10

    Pre GE2025 CCM: Wapinzani wakifa hatuwezi kulia tutawatupa Mtoni wawe chakula cha mamba

    Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba" ------------------------------ ------------------------------ My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
  10. lugoda12

    SIASA ZA AFRIKA NA MAREKANI

    Jamaa huyu ni Michael Langley kama kamanda mweusi wa Amerika kwa Afrikom. Wakati wa Imperialists White wanataka kuondoa viongozi wa Kiafrika hutumia uso mweusi. Mtu huyu anataka Ibrahim Traore, kiongozi mkubwa wa Afrika aliuawa. Wacha tumfunue mwongo huyu mweusi wa Amerika.
  11. Father of All

    Natamani mtanganyika Mtikila angekuwa hai ili siasa zinoge

    Sijui kama mwanangu Christopher Mtikila angekuwa hai hali ingekuwaje alivyokuwa haogopi na kuona mbali?
  12. Crocodiletooth

    Kuna kila sababu ya kuilinda Kariakoo dhidi ya shughuli zozote za kisiasa!

    Wamekosa watu huko, mwembe yanga, wakatuhumu watanzania ni wa Hovyo, eti wanapenda sana simba na yanga!, Hawa watu ni wajinga kiasi gani, kwani wanashindwa kutofautisha ya kwamba kuna wakati wa michezo na wakati wa siasa, nikimaanisha vyote hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote lile...
  13. S

    Pre GE2025 Kama Serikali haitaki viongozi wa dini wamshauri Rais juu ya mambo ya uongozi, kwanini mnawaalika wakati wa kumwapisha Rais?

    Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
  14. kavulata

    Kumlaumu John Noble ni siasa za Simba na Yanga tu

    Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa...
  15. stabilityman

    Dini na siasa ni moja ya njia kufanya human manipulation

    Dini na siasa ni moja ya njia kufanya human manipulation Mziki Movie Mochezo Uchoraji Media n.k Hivi vitu vinatumika sana tuweni makini kuna watu wanakaa wanaamua watu wengine wawaje wavaaje tena pasipo kukulazimisha
  16. Carlos The Jackal

    Askofu Bagonza :KANISA linakibali kuiambia Dunia, Mateso na Video haifai Tena, watafute Njia nyingine, Kanisa linapofanya hivo haliingilii Siasa.

    Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna. Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
  17. J

    Katoliki na Walokole ndio walio wengi nchini kuliko madhehebu mengine ya Dini mbalimbali hivyo wajiepushe na Siasa!

    Ni ushauri tu katika kudumisha Amani na Upendo kwa wananchi wote Ahsanteni sana Mlale unono 😁
  18. M

    Ipi impact ya matamko ya Pasaka na Christmas katika siasa?

    2015, 2019,2020,2024 na 2025? Naona ushindi kila tukienda unaengezeka Nini impact yake
  19. Z

    Viongozi wetu wa Dini acheni kutuchanganyia siasa na dini

    Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba viongozi wangu wa dini wasitumie madhabahu kama majukwaa ya kisiasa kwani waumini tunao Sali ni wafuasi wa vyama mbalimbali hivyo matamko na misimamo ya kivyama yanatugawa na kutuchanganya sisi waamini. Chondechonde nawaomba viongozi wangu wa kidini waendee...
  20. Allen Kilewella

    CHADEMA iliwahi kukisaliti chama gani cha siasa?

    Naona lawama Kila siku kuwa CHADEMA ikiungana na vyama vingine huwa inavisaliti. Jee CHADEMA ilishawahi kukisaliti chama gani kingine Cha siasa na hicho chama kilisalitwa katika jambo gani?
Back
Top Bottom