serekali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    LGE2024 Nimefurahi yaliyotokea kwa CHADEMA Serikali za Mitaa

    Wakati misuko misuko ya kisiasa ilipokuwa upande wa Zanzibar, wanasiasa wengi waliamini mizozo ya kisiasa ya Zanzibar ni ya kihistoria, hawakujua kwamba ilikua nguvu moja kuindoa nyingine. Wanajf wengi wakiponda wakiona kama mambo ya kufikirikika. Sasa yamehamia upande wa pili. Ambao enzi...
  2. Crocodiletooth

    LGE2024 Chaguzi zetu za ngazi za serekali za mitaa, tunafahamiana sana!

    Hakika uchaguzi za serekali za mitaa wengi tunafahamiana na nathubutu kusema chaguzi hizi ni "" tega nikutege, mwiba!"" Bwana mmoja katika mtaa wangu, ambaye tunafahamu kweli namaanisha in and out!, katika kugombea kwa tiketi to chama fulani, kwenye kazi akajijazia katika form kama...
  3. M

    Serikali imzuie Askofu Gwajima kutumia bendera ya Israel ktk kanisa lake

    Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia. Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
  4. Crocodiletooth

    Serikali yetu haioni ni hekima kuwatumia wafungwa kama vibarua wa Wakandarasi katika kuwapunguzia mzigo?

    Katika kandarasi nyingi wafanyakazi wasio rasmi /temporary worker aka vibarua, huigarimu kampuni almost 7-10, ya fedha za mradi although bajeti hii huwa imeainishwa ndani ya mkataba, tunashuhudia mataifa kama China hufanya haya, huwa kama ni sehemu ya wafungwa katika kufundishwa kazi mbalimbali...
  5. Nigrastratatract nerve

    Zijue Changamoto kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini Tanzania unakumbana na changamoto kadhaa ambazo zinaweza kuathiri usimamizi na matokeo ya uchaguzi. Baadhi ya changamoto kuu ni: 1. Mchakato wa Usajili wa Wapiga Kura: - Kutokamilika kwa Usajili: Vituo vya usajili vinaweza kuwa mbali au kutokuwa na vifaa...
  6. Chakaza

    Serikali Sasa Ituambie kwa Uwazi: Nani Anagharamia Uhamishaji wa Raia toka Ngorongoro Kwenda Msorero, Kuwajengea na Posho Walipwayo? Bunge linajua?

    Nisahihishwe, lakini nimejaribu kuisoma Budget ya serikali lakini sijaona mahali ambapo mabilioni yamepitishwa kuhamisha Wamaasai toka Ngorongoro kwenda Msomero Handeni wao na mifugo yao, kujengewa nyumba, ujenzi wa shule na zahanati kijijini hapo na miundo mbinu mingine. Wasiwasi wangu...
  7. Crocodiletooth

    Hoja za Serekali za uhifadhi wa urithi wa asili, inaishinda hoja ya masai ya kimakazi

    Uhifadhi wa mazingira ndizo kelele za dunia yetu kwa nyakati hizi, ardhi haiongezeki, bali watu wanaongezeka na masai wameongezeka kwa idadi kubwa ya kutisha, no matter ni eneo waliloishi miaka kwa miaka, ardhi isiyo mbuga ipo tele na yenye rutuba na nzuri kwa malisho ya mifugo. Pia, hoja ya...
  8. dr namugari

    Mradi wa kuuza tofal wa halmashauri ya Arusha Dc umefeli vibaya madiwani waawajibishwe kwa kusababishia serekali hasara

    Niko ziara ya kikaz mkoa wa arusha na nikatembele arusha Dc ndipo nikabaini upigaji wa kutisha kwenye mradi mmoja wa ufwetuaji wa tofauli za bloku Kwanz nimebaini kuwa waliuziwa mtambo kwa bei ya juu ambao hadi sas hv haufanyi kaz tayari imearibika walinunua zaid ya milion. 120 mtambo ambao...
  9. K

    SoC04 Ushirikishwaji wa sekta binafsi katika miradi ya serikali

    Tumeona serekali yetu ikitekeleza miradi mipya ya kimikakati mikubwa kama ujenzi wa reli ya kisasa mabasi ya mwendo kasi na bwawa la kufua umeme la mwalimu nyerere hii yote ikiwa ni mipango na mikakati ya kufikisha huduma bora kwa jamii. Tumeona treni ya SGR imekamilika na kuanza kazi...
  10. dr namugari

    Serekali pigeni marufuku huu wimbo, unaniaribia watoto

    Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh " Nikinukuu baadhi ya verse " Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe " Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse. Na kwa kwa kifupi haina maaadili na nyimbo Ni nzuri ila msatari huu ktk wimbo siyo siyo mzuri. Haya...
  11. D

    SoC04 Tanzania Tuitakayo yenye Mfumo wa Serikali na si Chama

    Tanzania tuitakayo imebakia katika taswira ya vichwa vyetu. Hii ndio Tanzania tuliyonayo. Demokrasia katika nchi yangu sasa imekuwa ya kusadikika imebakia kuwa picha tu katika fikra zetu. Mifumo imekuwa na nguvu kuliko Maamuzi yetu. Uongozi katika dhana ya demokrasia ni lazima uwe mfumo...
  12. G

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Sitaki kuamini hili lakini uvumi huu umeeneea sana kiasi cha kwamba umenifanya niwe na shauku kutaka kujua yaliyojiri kwenye kusign hiyo memorandum maana naona kwa taarifa nilizokuwa nazo malalamishi ni kuwa serikali imeipa CCT na TEC nguvu kubwa ajabu na matokeo yake leo watu watu wanaanza...
  13. Mpigania uhuru wa pili

    Serikali itafute foreigner ndio awe bosi wa mwendokasi, ila siyo kubinafsisha

    Shirika la emirates bos wake ni mzungu ila shirika ni mali ya emirates kwanini serekali isitafute muwekezaji kutoka foreign country kupitia interview na wampe kazi Sio tu mwendokasi hata TANESCO wapewe foreigner watanzaia wengi uwezo wa management hawana kubinafshisha moja kwa moja sio...
  14. Erythrocyte

    ACT Wazalendo watangaza nia ya kujitoa SUK

    Hii ndio gia mpya waliyoamua kuja nayo baada ya Chaguzi zao kumalizika Zaidi soma hapa -- Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 8 Machi 2024 jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema viongozi wa chama hicho watakutana na Rais wa Jamhuri wa...
  15. Mpigania uhuru wa pili

    Asilimia kubwa ya shule za Tanzania, serikali imeshindwa kuhakikisha wanakula mchana, matokeo yake mzigo huo wamebebeshwa wazazi

    Katika mawaziri wa hovyo Bashe ni mmoja wapo unapokataa msaada na kusema tunaweza swali la kumuuliza kwanini mpaka leo shule nyingi za msingi na secondary serekali imeshindwa kuhakikisha wanakula mchana bali huo mzigo wamepewa wazazi wachangie. Hii nchi tuache siasa za hovyo kama anazofanya...
  16. A

    Serikali ya mtaa wa Mwenge, Dar es Salaam mnanufaika vipi na huyu mtu aliyefunga mtaa wa Zayumba mbele ya Kibo Bar?

    Ni miaka mingi huyu mtu amefunga huu mtaa, ambae amepangisha watu barabarani, barabara yetu ya kupita, na kapangisha watu, mbele kajenga fremu na kajenga banda la chips, kaweka mama ntilie, na katengeneza umiliki wake. Huu mtaa kiuhaalisia ukitokaa sinza hii barabara ya Africa sana kuja TRA...
  17. Kurunzi

    Serikali kuchelewa kulipa wakandarasi TANROADS, RUWASA; Je Serikali haina hela?

    Toka Awamu ya Mama aingie madarakani kumekuwa na ucheleweshaji wa malipo ya wakandarasi wnaofanya kazi na serekali. Mwezi wa 11 mwaka jana Waziri Bashungwa alifanya kikao na wakandarasi moja ya malalamiko aliyapata ilikuwa na ucheleweshaji wa fedha za wakandarasi tofauti na miaka ya nyuma...
Back
Top Bottom