ridhiwani

Ridhiwani Jakaya Kikwete (born 16 April 1979) is a Tanzanian lawyer and CCM politician. He is currently a Deputy Minister of Lands and Human Settlement Development in Tanzania. Member of Parliament for Chalinze Constituency (CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. Ambivert88

    Kwa ambae anafahamu Waziri wa Ajira kwa sasa ni nani Ndejembi, Ndalichako au Ridhiwani?

    Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri. Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani? Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya...
  2. Pfizer

    LGE2024 Ridhiwani Kikwete: Mapokezi ya Wananchi yanatoa ishara kuwa CCM itashinda kwa asilimia kubwa sana

    Ridhiwani Kikwete: Nikiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Cde. Mwinshehe Mlao Tumenadi Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi katika kata ya Bwilingu pamoja na kuendelea kuimarisha Chama kwa kuzindua mashina mapya Manne (4) ya wanachama wakereketwa katika kitongoji cha Bwilingu. Mapokezi ya...
  3. NAFIKIRE

    Kwako Ridhiwani Kikwete Waziri wa Vijana, Ajira na wenye Ulemavu

    Kwanza nianze kukupongeza Mheshimiwa waziri kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya kwenye wizara unayoiongoza..Hongera sana Mheshimiwa waziri niende moja kwa moja kwenye dukuduku langu lilonisukuma kupandisha hili wazo langu hapa kwenye jukwaa letu pendwa la JF. Mheshimiwa waziri ninajua fika...
  4. Pfizer

    Waziri Ridhiwani Kikwete afanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
  5. W

    Ridhiwani Kikwete: Serikali Imetoa Mikopo ya Tshs. Billioni 1.2 kwa miradi 57 ya Vijana 2023/2024

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana Agosti 12, 2024 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete alisema kuwa serikali imeratibu na kusimamia miradi ya kimkakati ikiwemo kutengeneza ajira, kupanua masoko na kutoa...
  6. Mkalukungone mwamba

    Waziri Ridhiwani Kikwete: Vijana milioni 1.8 sawa na asilimia 12 hawana ajira

    Matokeo ya utafiti wa nguvu kazi iliyofanyika mwaka 2021, inaonesha kuwa kati ya vijana milioni 14.6 wenye uwezo wa kufanya kazi, vijana milioni 1.8 sawa na asilimia 12 hawana ajira. Tatizo la ajira kwa vijana hasa wa kike lipo asilimia 16.7 ukilinganisha na asilimia 8.3 kwa upande wa vijana wa...
  7. BLACK MOVEMENT

    Kwamba Raisi anamuagiza Ridhiwani ahakikishe vijana wanapata ajira?How? kwa sera zipi? Ridhiwani anakusanya kodi?

    Ridhiwani ana uwezo gani wa kuhakikisha vijana wanapata ajira? Yeye ndio mtunga sera za nchi? ndio mpanga mipango ya hii nchi? 1. Ajira za Vijana ziko kwenye yale ma V8 ya anasa. 2. Ajira za vijana zipo kwenye zile ajira Raisi anafanya recyceling kana kwamba kuna watu walizaliwa wao tu kupewa...
  8. USSR

    Ufisadi: Tumechinja ng 'ombe zaidi ya 1500 asema Ridhiwani Kikwete

    Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi. Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja...
  9. Pfizer

    Ridhiwani Kikwete: Ndani ya kipindi cha miaka miwili, Serikali imeshawaajiri Maafisa Maendeleo ya Jamii zaidi ya 2140

    SERIKALI YAONGEZA AJIRA KWA WATUMISHI WA USTAWI WA JAMII WANANCHI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KULINDA MAADILI Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete ameliambia Bunge kuwa ndani ya kipindi cha miaka miwili serikali imeshawaajiri...
  10. Pfizer

    Ridhiwani Kikwete na Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wajumuika kwa futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani

    KUMI LA PAMOJA CHALINZE Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani. Futari hii iliyokutanisha Masheikh na...
  11. Pfizer

    Ridhiwani Kikwete: Vita dhidi ya rushwa ni agenda endelevu

    Maneno hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali lililoulizwa Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Mbuli Mjini Ndg. Zacharia Isaay aliyetaka kujua serikali imejipangaje kujenga ofisi za TAKUKURU nchini. Pamoja na majibu ya swali...
  12. DR Mambo Jambo

    Jakaya Kikwete na Ridhiwani, wageni rasmi kwenye sherehe za Jando na Unyago huko Msoga

    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakitembelea vijana kambini kwao usiku kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na...
  13. Idugunde

    Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete apewe maua yake kwa kupambana na wazembe na mafisadi

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeamua kujenga Mfumo wa Kitaifa wa Kielektroniki wa Ununuzi Tanzania (NeST) ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa katika mfumo wa manunuzi ya serikali. Kikwete ameyasema...
  14. B

    Ridhiwani Kikwete: Serikali kuwabeba watumishi wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeendelea kutoa motisha ya kifedha na isiyo ya kifedha kwa watumishi wote ikiwemo watumishi wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu kwa kuboresha viwango vya posho ya kazi baada ya...
  15. B

    Ridhiwani Kikwete: Serikali italinda Vijana wapate ajira kwa vigezo vya taaluma na si uzoefu kazini

    Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema serikali itahakikisha inawalinda vijana kwenye soko la ajira kwa kuhakikisha ajira zao za kwanza kwenye utumishi zinazingatia vigezo vya utaalamu wa kada husika na sio uzoefu kazini. Kikwete amesema hayo leo Jumatano Novemba...
  16. Boss la DP World

    Nape Nnauye, January Makamba na Ridhiwani Kikwete wasipotumbuliwa kura za CCM zitayeyuka Kanda ya Ziwa

    Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao. Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha...
  17. Chachu Ombara

    Ridhiwani Kikwete: Maafisa Utumishi acheni kuwa miungu watu

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
  18. B

    Ridhiwani Kikwete: Marufuku ruhusa za kwenda Dodoma.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
  19. B

    Ridhiwani Kikwete: Watakaoshindwa kusimamia fedha za TASAF kuondolewa, Rais Samia atoa Bilioni 51

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51 kwa ajili ya kwenda kunufaisha Watanzania waishio katika mazingira magumu kupitia Mpango wa kuokoa...
Back
Top Bottom