redio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TID Afichua: Nilijuta kuwa msanii kutokana na kuzuia nyimbo zangu kwenye Redio kwa Miaka Mitano

    Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo vya Redio kuzuia kucheza nyimbo zake kwa zaidi ya miaka mitano na kukosa matamasha yao amekiri kuwa...
  2. Redio maria acheni udini, nyie kutwa kutwa mambo ya dini ya ukristo na kwaya tu?

    Radio maria acheni udini aisee mnazingua aisee Tanzania kuna dini kubwa mbili aisee sasa kwanini kila siku nyie mnaizungumzia dini moja tu ya ukristo? Ili hali nyie ni radio tu kila mtu anapaswa kuisikiliza sio kubase kwenye dini moja tu aisee mnakera sana aisee Mtanirekebisha kama ni radio ya...
  3. Unawasha redio tusikilize mahubiri dk 30 unaanza kukoromaa unaweweseka n mapepo yanatoka ama..c2 mjetusaidia

    Napensa sana mahubiri sema tukiwa tuko OK Hii kuwasha redio wote tunakoroma dk 30 unaanza kuweweseka kama jini mahaba amekupi1tia Mnatutisha wapendwa..... Embu tuwe serious n1a Mungu
  4. Anachofanya kadinali Pengo kupitia redio ni hatari wakati wa taharuki.Yasijeyakatokea kama ya Rwanda.

    Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao. Hii ni siku moja kabla ya tarehe iliyotangazwa na Chadema ya kutaka kufanya maandamano yenye anuwani mbaya. Jee mahubiri kama haya hayana madhara kwa taifa katika muda...
  5. P

    Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

    Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon. Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah kulipuka ghafla Utakumbuka kuwa jana Pagers za Hezbollah zililipuka ghafla na kusababisha vifo vya watu...
  6. U

    Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  7. Kalaga baho Nongwa: fundi redio call

    Nusu waniue leo! Asee njaa njaa jana nikaletewa mchongo kutengeneza radio call hazishiki frequency. Kalaga baho sindo nikajimwambafaiiii... Njaa hizi! Asee nikapewa advance jana hiyohiyo nikapata hela ya kula. Leo nimeenda pale kuonana na baofeng mpyaaaa.. walinzi wamechanganya frequencies...
  8. Hivi nchi hii redio gani inafaa kusikiliza?

    Maana nimeshachoka kusikiliza miziki ya hovyo na mpira Mwenye hii comment kanigusa sana Redio zinashindana kua na michezo ya kamari kila redio ina ina michezo ya kubahatisha
  9. KERO NIDA kuna matatizo ya rushwa na urasimu

    Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona. 1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha. Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini lundo la watu mnaitwa saa tisa wengine walikata tamaa wakaondoka. 2. Nililalamika ushenzi...
  10. Martin Maranja Masese: Vipindi vya redio hapa Tanzania vinaharibu fikra na mitazamo yetu wasikilizaji

    Nimeisoma hii twit yake huko X naona kuna ukweli wa wazi kabisa.. God have mercy on US, tunatengeneza jamii isiyokuwa na fikra chanja na upembuaji wa mambo MTAMBUKA kwa nchi yetu. Hii hapa twit yake; "Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama...
  11. A

    Msaada: Wapi naweza kujifunza ufundi Feni, pasi na redio?

    Habari zenu Wakuu, Naomba msaada kujifunza ufundi feni, pasi na Redio/Subwoofer. Nipo tayari kutoa hela ili nipate ujuzi huo kwa muda maalumu.
  12. Kurekebisha Redio ya gari Panasonic Strada

    Wakuu kwema? Nimekutana na changamoto kutumia redio iliyopo kwenye gari (ilikuja na gari) aina ya Panasonic Strada kwani hai-respond chochote na inaonekana inatakiwa kuwa na SD card ambayo kwasasa haipo. Je, kuna namna ya kuifanya redio hii ipige kazi fresh?? Ikiwa on inakua na muonekano kama...
  13. Juzi nilikuwa nasikiliza redio safari fm lakini sikupendezeshwa na vipindi vinavyotangaza namba za simu za watafuta wenza

    Hadi leo kunavipindi vya kutafuta mwanamke au mwanaume wa kuishi naye yani mke au mume na namba zinatolewa. Tupo siriazi kweli au tunachochea umalaya na watoto wa mtaani bila kujielewa? Mi naona heri vipindi vya aina hii viondolewe aliyekuwa siriaz kuoa na kuolewa hawezi kujirahisisha redioni.
  14. Nina idea nimpe content mtu anayetaka kufungua redio ya vijana aiite 45 fm

    Me Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm vipindi nakupangilia mimi wewe utaboresha tu ila ni redio Kwa ajili ya vijana tu wa 45 Namba hio...
  15. INAUZWA Speaker inauzwa kwa bei nafuu

    Wana jamiii naitupa hii kwa bei ya kitongaaaaaa VIDVIE SP 908 SPEAKER 🏷️ 250.000/= BLUETOOTH ✅ PORTABLE✅ MIC✅ Kwa mawasiliano zaidi Tupigie normal calls / wasap - 0659588492 Tupo kariakoo aggrey na ndanda Pia unaweza kuuliza speaker nyingine Tunazo nyingi aina tofauti tofautu sana Karibuni wakuu
  16. Burkina Faso: Matangazo ya Redio ya BBC na VOA yafungwa kwa kuripoti Jeshi linavyodhalilisha Raia

    Burkina Faso suspended the BBC and Voice of America radio stations for their coverage of a report by Human Rights Watch on a mass killing of civilians carried out by the country’s armed forces. Burkina Faso’s communication spokesperson, Tonssira Myrian Corine Sanou, said late that Thursday that...
  17. UWT Kutoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Rufiji na Kibiti

    UWT KUTOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) imeendelea na zoezi la ukusanyaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya kutoa misaada kwa waathirika wa mafuriko katika wilaya za Rufiji na Kibiti Mkoani Pwani. Akizungumza na Wanahabari Aprili 15, 2024...
  18. P

    Mahojiano ya Godbless Lema na Clouds FM yamehairishwa

    Clouds FM imetangaza kuwa yale Mahojiano yao na Godbless Lema yamehairishwa. Clouds FM wamsema mahojiano hayo yamehairishwa baada ya Godbless Lema kupatwa na dharura hivyo kuomba mahojiano hayo yasogezwe mbele Pia Soma: Godbless Lema kutikisa Power Breakfast
  19. Katavi: UCSAF yajenga Kituo cha Redio Mpimbwe

    Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ambao ndio wafadhili wakuu wa kujenga vituo vya Serikali kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamekamilisha ujenzi wa kituo cha redio ya jamii katika Halmashauri ya Mpimbwe Mkoani Katavi chenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 200 ikiwa ni...
  20. Michezo ya Redio: wewe ulisikiliza mchezo gani?

    Mimi nakumbuka 1. Twende na Wakati - Radio Tanzania 2. Pilika pilika - TBC Taifa 3. Wahapa hapa - Radio free Africa Karibu tukumbushane
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…