UWT Kutoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Rufiji na Kibiti

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
795
504
UWT KUTOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI

Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) imeendelea na zoezi la ukusanyaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya kutoa misaada kwa waathirika wa mafuriko katika wilaya za Rufiji na Kibiti Mkoani Pwani.

Akizungumza na Wanahabari Aprili 15, 2024 katika ofisi za CCM mkoa wa Dar es salaam wakati wa zoezi la ukusanyaji wa misaada, Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuendelea kutoa misaada.

“Naendelea kutoa wito kwa watu mbalimbali,mafuriko bado yanaendelea katika mikoa tofauti nchini,Watanzania wenzetu wanaishi katika mazingira magumu”.

IMG-20240415-WA0043.jpg
IMG-20240415-WA0042.jpg
IMG-20240415-WA0044.jpg
IMG-20240415-WA0041.jpg
IMG-20240415-WA0045.jpg
IMG-20240415-WA0046.jpg
 
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akizungumza katika kituo cha redio Uhuru kabla ya safari ya Kuelekea Rufiji na Kibiti tarehe Aprili 17, 2024.

 
Back
Top Bottom