The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.
Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, tumeshuhudia ajali nyingi na kubwa nchini ambazo zimeleta madhara makubwa, ikiwemo mauaji na watu wengi kupata vilema vya kudumu.
Hali hii ni ya kutisha na inahitaji hatua thabiti kuchukuliwa ili kuokoa maisha na kuhakikisha usalama wa raia.
Kwa...
Tuwapende wafanyabiashara wa kigeni pale tu wanapo kuwa wamefwata sheria za uwekezaji.
Kama hawakidhi vigezo vya uwekezaji tuwafukuze bila huruma.
Mipaka ya nchi inatakiwa kuheshimiwa na kila raia wa kigeni.
Naomba nitoe mfano mdogo:
Leo hii tuna raia wa kigeni wa bara la Asia ambao sio...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz ametangaza upanuzi mkubwa wa operesheni ya jeshi huko Gaza inayohusisha unyakuzi wa maeneo makubwa ya ardhi ambayo "yatajumuishwa katika maeneo ya usalama ya Israeli."
Katika taarifa hiyo, Katz amesema operesheni hiyo pia itahusisha uhamishaji mkubwa wa...
Japani kwa mara ya kwanza imetoa mipango ya kuwahamisha zaidi ya raia 100,000 kutoka baadhi ya visiwa vyake vya mbali karibu na Taiwan iwapo kutatokea mzozo katika eneo hilo, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya Beijing na Taipei.
Chini ya dharura hiyo, meli na ndege zitahamasishwa...
Finland imeorodheshwa kuwa nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa nane mfululizo.
Wataalamu wanaamini kuwa ukaribu wa Wafinlandi na asili pamoja na upatikanaji wa mfumo mzuri wa ustawi husaidia kuelezea nafasi yake ya juu inayoendelea katika Ripoti ya Furaha ya Dunia inayosimamiwa na...
Nchi ambayo inajiita Super Power inakuaje na Raia ambao wana maisha magumu
Maana sio rahisi umkute raia wa marekani akija Africa na kufungua Madube na kisha kujiita mwekezaji.
Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ?
Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili.
Je kuna siri gani hapa ?
Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
Habari.
Naomba kufahamu ni nini huyu mwanamama/dada alichokitenda huko nchi za watu mpaka kufikia maamuzi ya kunyongwa
Licha ya kuwa mkuu wa nchi kuomba petition ya kuzuia tatizo hilo bila mafanikio na imeekaeje kitaalamu na ni makosa gani ukiyafanya kwenye nchi za watu hupelekea kunyongwa...
Utangulizi
Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa.
Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
LATAKIA: SYRIA Russia imeruhusu raia wa jamii ya Alawite wanaokimbia mauaji ya Utawala wa Magaidi uliosimikwa na kufadhiliwa na Israel kuingia ndani ya kambi ya Jeshi Khmeimim Air base Latakia
🚨🇷🇺🇸🇾 Russian Federation Troops at Russia's Khmeimim airbase, Latakia region, has opened its doors...
Kama kichwa kinavyosema , je kwenye jela za Tanzania hapa kuna raia wa hizi nchi wanaotumikia kifungo?
1.Marekani
2.uingereza
3.Canada.
4.Saudi Arabia
5U.A.E
6.N.K
Tafadhalini naomba mnijuze,
Lengo la kuuliza hivi ni.kwa sababu kuna kautafiti kangu binafsi nafanya😊
Ina urefu wa Kilomita 12
Ina kituo kimoja cha polisi
Ina sehemu moja tu ya kupata huduma za mawasiliano
Ina bank moja tu
Ina hotel moja tu
Raia wake kwa sehemu kubwa wanafahamiana wote
Airport yake hutumika kwa football pia
Karibu Tuvalu
Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia.
Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi.
Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza...
Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa.
Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia...
Leo hii, tarehe 17 Februari 2025, mjini Goma, asubuhi ya leo kumekuwa na maandamano; lengo likiwa wanajeshi wa UN waliopo Congo,hususani Goma, kwa zaidi ya miaka 20, waondoke, na kwamba usalama wao watahakikisha unatokana na wao wenyewe.
Si MOUNUSCO tu, bali na jeshi la SAMIDRC(Afrika kusini...
Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani.
Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?!
Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote .
Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa.
Ila...
Leo tarehe 6 January 2025, katika uwanja wa mpira wa Umoja huko Goma, raia wamefulika baada ya kualikwa kuwatambua viongozi wao wapya. Tofauti na matarajio, umati wa watu uliopo nje, unazidi uwezo uwanja huo. Link hapa, ni hali ilivyo kwa sasa nje ya uwanja huo.
Mkutano huo wenye ajenda ya AmA...
Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo.
Ni ktk hali hiyo tumeona China huwa haiingili wala kujihusisha na siasa za nchi nyingine.
Kwa Lugha nyingine huwa hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.