punguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Acha kuwa na wapenzi wengi ili ujikinge dhidi ya saratani

    Daktari bingwa wa magonjwa ya Wanawake na Uzazi Dkt. Lilian Mnabwiru wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, amesema miongoni mwa sababu zinazoweza kueneza kwa haraka kirusi kinachopelekea saratani ya mlango wa kizazi ni watu kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. Soma pia: MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi...
  2. J

    Waziri Mbarawa Punguza punguza parking fee za magari vituo vya SGR

    Hivi Waziri Mbarawa na Kadogosa hivi kweli wakati mnapanga parking fee ya shilingi 2000 per hour, then 20,000 per one day mli take into consideration ya hali halisi ya maisha ya Mtanzania? Labda nikwambieni tu kwa mtanzania wa kawaida (Middle Class citizen) ambao ndo wengi na vigari vyao vya...
  3. N'yadikwa

    PICHA: Kama unalijua hili tangazo, punguza ulaji wa chumvi na sukari, ongeza mazoezi

    Kama unalimanya vema hili tangazo pendwa basi uzee umeshakufikia. Tunza afya. Fanya mazoezi, punguza ugimbi, sukari, chumvi na mafuta. Piga mambogamboga, mabilinganya nk
  4. BabaMorgan

    Mwanamke unayehitaji ndoa punguza ufundi kitandani

    Kama Binti upo kwenye mahusiano na mtu ambaye unapenda na kutamani awe mume wako unapojaribu kutengeneza mazingira ili mwamba akuweke kwenye mipango yake basi unapokuwa chumbani punguza ufundi la sivyo utakosa ndoa. Wakati wa kuonyesha ufundi ni pale ushapata ndoa tena sio ghafla bin vuu...
  5. Zero Competition

    Ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi punguza majivuno

    Sekta binafsi ndo inaongoza kwa kutoa ajira nchini na hata duniani kote lakini ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi amini kwamba kesho asubuhi unaweza amka ukaenda ofisini kisha ukakuta barua yako ya kuachishwa kazi iko mezani inakusubiri Jambo lingine ni kwamba ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi...
  6. Comrade Ally Maftah

    Punguza chuki huwezi kuishi peke yako na hutaishi milele

    PUNGUZA CHUKI, HUWEZI KUISHI PEKE YAKO NA HUWEZI KUISHI MILELE Na Comrade Ally Maftah Baada ya kujitafakarisha asubuhi nimajiuliza maswali mengi sana, ikiwa mimi nina miaka 32, na ikiwa Mungu amenipa uhai wa miaka 50 duniani si shaka kwamba nimebakiza miaka 18 tu ya kuonyesha upendo wangu kwa...
  7. R

    Kuelekea 2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi kauli yako ya kuwaachia viongozi wa CHADEMA imekaa kimaigizo

    Salaam Shalom!! Umesikika ukitoa maelekezo kwa Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni Ukiwa jukwaani kupitia Naibu wake uliyekuwa naye ziarani Geita, kuwa, " Si mambo yote ni ya kuyatatua kisheria, wanasiasa tuachwe tuzumgumze, tafuta namna ya kuwaachia huru viongozi wa upinzani waliokamatwa"...
  8. realMamy

    Punguza Mawazo, Ongeza ubunifu

    Hii inamaanisha kuwa kuna mtu ana kitu yani akikifanyia kazi anaweza kufika mbali lakini amekaa nacho ndani anawaza. Utawaza hadi lini na umekaa ni fursa ndani? Unamsubiri nani aje akutoe huko uliko akuonyeshe njia? Unachelewa changamka! Unataka kuwa mfanyabiashara mkubwa leoleo? Ni kitu...
  9. M

    Tajiri MO hebu punguza Sifa katika kipindi hiki cha Usajili, unataka makombe yote ubebe wewe? Bienvenu Valentin NOMA

    Bila ya Salamu. Huwa najiuliza nilichelewa wapi kujiunga na Simba Sc? Mpaka leo nikifikiria nakosa majibu. Kifupi katika hiki kipindi cha wiki mbili nimeshuhudia chama langu jipya likifanya usajili wa kufuru. Magugu na mapandikizi yaliyokuwa yakihujumu timu yetu yametolewa na kuletwa vyuma...
  10. MALKIA WA TABASAMU

    Punguza matarajio

    Tunaumizwa na watu tunaowapenda. Tumewapa haki hiyo tulipojiaminisha upendo tulionao kwao ndio walionao kwetu. Tumechagua wenyewe kuumia. Haki ya kulibangua hilo na kuliweka kwenye kipimo stahiki imeshikamana sana na mataraja yetu. Tunaamini tunavyovitarajia kuliko vilivyobwagwa upeoni mwetu...
  11. L

    Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

    Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange...
  12. Shining Light

    Punguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kupitia hatua za kibinafsi

    Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekuwa yakiathiri Nchi zetu, ila mtu binafsi kwa mtazamo mwengine labda anaweza kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko haya, Kwa njia mbalimbali kama Kupanda miti ili kusaidia kuchukua kaboni dioksidi kutoka hewani. Miti husaidia kueneza hewa safi kwa...
  13. Ileje

    Ayub Ryoba wa TBC fanya kazi punguza uchawa

    TBC redio ni shirika la umma kwa ajili ya kuhabarisha wananchi na hasa wa hali ya kawaida bila kujali itikadi zao za kisiasa. Aidha shirika linapaswa kutoa habari na burudani kwa nchi nzima. Jambo la kusikitisha haki hii ya kupata habari na burudani haiwafikii Watanzania walio wengi kutokana na...
  14. Boss la DP World

    Maulid Kitenge punguza dharau Brother

    Si mara moja wala mara 2 unapokuwa ukiripoti matukio mbalimbali umekuwa ukitumia lugha za kejeli especially kwa watu wenye mawazo tofauti na yako. Hata kama unatekeleza kazi maalumu hupaswi kudharau watu. Haya, Endelea na lile jukumu letu.
  15. Money Penny

    Dada punguza maswali ya kijinga kwa mpenzi wako

    Kuna mwamba amenicheki jana, akawa na malalamiko yake ana mdate dada wa miaka 37, na yeye mwamba ako na miaka 45 Sasa kero yake moja tu, anasema wame date kwa miezi 6, juzi dada anamwuliza huyu kaka swali hili; ''Babe, samahani nikuulize swali, eti kwanini unanipenda, kwanini umenichagua...
  16. Faana

    Wewe Askari Uliyezimikiwa Pikipiki Barabarani Punguza Ubabe

    Ujumbe huu ni kwa wewe askari uliyezimikiwa bodaboda yako mchana maeneo ya 88 Gloness Morogoro leo mchana, ulijua kabisa chombo chako hakina mafuta ya kutosha still ukaingia nacho barabarani, kimekatikiwa mafuta ukagandisha nacho barabarani ati hata wenye magari wakupishe, baada ya honi kuzidi...
  17. GENTAMYCINE

    DC wa Korogwe Jokate punguza Sifa na Kiherehere zitakuja Kukuponza

    Umeona wapi duniani kote kunaandaliwa Mbio za Mita ndefu na fupi za Wamama Wajawazito kama ambayo umeyaandaa Wewe na nashangaa Serikali ( hasa Wizara husika ya Afya ) kulikalia hili Kimya. Leo umekuja na huu Upuuzi wako juu ya Wamama Wajawazito ila nionavyo kuna Siku utakuja na Mbio za Mita...
  18. Suzy Elias

    Bashe punguza kujiamini kana kwamba una hisa ki uongozi na aliyekuteua

    Bwana mdogo Bashe kwa siku za hivi karibuni umeonyesha hali ya kujiamini iliyopitiliza huku ukisahau kwamba wewe ni mteule na mda wowote uteule wako unaweza kutenguliwa. Tatizo la vijana wengi huwa mnavimba vichwa mnapopata kuaminiwa na kusifiwa na mteule japo kwa mambo kadha wa kadha...
  19. S

    Kama sijakutakia Heri ya Eid basi ujue sikutaki, punguza harakati zako

    Mapenzi yana nguvu sana. Yule ninaye mopenda toka moyoni nimemtumia Heri ya Eid tangu Jana saa 2 usiku lakini wewe ambaye umejifaragua na kunitumia salaam imekula kwako. Unatumika tu kama ATM. Poleni nyote msiopendwa, ambao bila kuanza wewe kutoa salaam kwa mpenzi wako, hupati salaam toka kwake.
  20. Best Daddy

    Quick Reminder: Ewe Shabiki wa Simba na Yanga punguza matarajio

    Yakiwa yamebaki Masaa yasiyozidi therathini kwa Timu zetu za Kariakoo kurusha karata zao katika mashindano ya kimataifa, ghafla nazinduka usingizini baada ya kuyakumbuka maneno ya mzee mmoja mwenye busara aliyesema; "SON, Football can kill you, A real death. Don't settle for less but lower...
Back
Top Bottom