Aliyewahi kuwa gwiji katika ulinzi ( mchezo wa kikapu) NBA Dikembe Mutombo amefariki dunia. Dikembe alidumu kwa misimu 18 ndani ya NBA akiwa anachuana vikali na magwiji kama Michael Jordan, Denis Rodman, Shaquile O'Neil na wengine wengi. Huyu mwamba wa kutoka Zaire kama ilivojulikana miaka hiyo...
Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake
Namshauri kwa upepo unaoendelea let him mute, kwa...
Wakuu,
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kufariki dunia kwa ndugu yetu na mwanachama wa JamiiForums, Sanctus Mtsimbe, mchana wa tarehe 13 Machi 2024.
Sanctus alikuwa Rais wa kwanza wa Mtandao wa Wanataaluma Tanzania (TPN), hadi anafariki alikuwa ni Country Manager wa Wananchi Group...
Wanabodi
Siku ya leo, tunampunzisha Mzee wetu, Rais Mtaafu wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, kwa jina maarufu la Mzee Rukhsa, kwenye nyumba yake ya malalo ya makao ya milele.
Mara ya Kwanza Kulisikia Jina la Ali Hassan Mwinyi.
Kwa mara ya kwanza jina la Ali Hassan Mwinyi, nililisikia mwaka...
Pumzika Lowassa Pumzika, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza, Pumzika!.
Toka kumetokea msiba wa Edward Lowassa hapa Jamiiforums tukimuita kwa jina maarufu la Mwamba wa Kaskazini, ile Jumamosi iliyopita, mpaka leo, akisubiri kupumzishwa kwenye makao yake ya milele, hapo kesho Jumamosi, mimi...
Wakuu habari za uzima?
Leo nilienda msibani kwa rafiki, mdogo wangu na jirani yangu wa muda kidogo.
Rafiki yangu huyu amefariki taarifa zikiwa zimeletwa Leo alfajiri saa kumi.
Kifo cha mdogo wangu huyu kimeniumiza sana, amezaliwa mwaka 2003 na alikuwa amemaliza UDSM mwaka jana na baada ya...
Ndugu zangu tuchukue tahadhari popote pale tulipo duniani. Usimuamini mtu tena, bin-Adam tumekuwa wanyama! Chuki iliyopitiliza mwisho wake ni unyama wa kiwango cha hali ya juu.
Binti mdogo, mrembo na msomi aliyekuwa akipambania anachokipenda zaidi na kuzitimiza na kuzifikia ndoto zake aliyekuwa...
Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya!
Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka...
Nchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake.
Huku maji huku umeme hakuna kwa sababu ya yeye kataka iwe hivyo! Nchi hii ina wanyama na mifugo zaidi ya million 50 lakini sijasikia mnyama yeyote kafa kisa kukosa maji na Wala hawagombanii maji ila sisi tunagombania maji kwasababu Rais Samia...
Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato.
Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
Wanaukumbi.
Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu.
Hawakutakii mema. Wanataka ukae jela miaka wakutumie tu kama chambo wenyewe huku uraiani wanapiga hela za wafadhili Kujitoa...
Emsley "Baba T" Smith
Picha: Ukurasa wake wa Facebook
Miaka kadhaa iliyopita nilipata fursa ya kuonana na Baba T pale East Africa Radio. Tulishikana mikono. Alikuwa ni pande la mtu, na kiganja changu kilimezwa mkononi mwake. Nilikuwa mtembeaji tu na kijana mdogo niliyependa kusikiliza Reggae na...
Watu huwa wanazaliwa, wanakua na watu huwa wanazeeka na huwa wanafariki. Kwenye vipindi vya maisha ya mtu kuna wakati wa ujana ambao ni wakati wa kuhangaika sana lakini kuna wakati wa uzee ambao ni wakati wa kutulia na kuangalia kazi uliyofanya.
Wakati wa uzee ndio hasa wakati wa kuangalia...
Huwa sijajua hadi leo kati ya tabia na mazoea ni kipi kilimtangulia mwenzake. Kwenye makuzi yangu nilikua katika mazingira ya usomaji kwa kuwa baba yangu ni mpenzi msomaji wa vitabu pamoja na maandiko mbalimbali. Alikuwa ni msomaji wa gazeti la Rai Mwema ambalo lilikuwa likitoka kila alhamisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.