nigeria

  1. JanguKamaJangu

    Mafunzo kwa Askari wa Kike Afrika yafunguliwa Jijini Abuja, Nigeria

    Mafunzo kwa Askari wa kike ukanda wa Afrika IAWP yamefunguliwa leo Julai 02 katika kituo cha Rasilimali ya Polisi Abuja Nchini Nigeria ambapo mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo askari wa kike ukanda wa Afrika na wasimamizi wa sheria. Akiongea leo Jijini Abuja Nchini Nigeria katika ufunguzi...
  2. MK254

    Mwanamke ajilipua bomu na kufa na watu 18 Nigeria

    Hivi kwa mwanamke kujilipua bomu, alla wenu amewaahidi nini wanawake, maana nyie wanaume mtagegeda mabikira... Wanawake watagegedwa na mabikira au nini.... ========================== At least 18 people were killed and 30 others injured after a series of attacks by suspected female suicide...
  3. W

    Nigeria kusitisha matumizi ya Plastiki katika ofisi za Serikali

    Nigeria imetangaza kusitisha matumizi ya plastiki leo Juni 27, 2024 katika ofisi za serikali kama hatua ya awali kabla ya kusitiza matumizi ya kitaifa kuanza Januari 2025 Kulingana na tafiti zilizofanyika na Shirika la (US Agency for International Development) zinaonyesha kuwa Nigeria ni...
  4. The Assassin

    Je uwezo wa kimaisha wa Tanzania (Purchasing Power) ni mkubwa kuliko Nigeria?

    Naomba kuuliza wachumi, je uwezo wa kimaisha ama kiwango cha kimaisha cha watanzania ni kikubwa kuliko cha wanigeria? Nauliza hivyo kwa sababu nilikua natumia YouTube Premium Service (You Tube ambayo haina matangazo, unaweza ku download video, unaweza kuangalia ama kusikiliza hata screen ya...
  5. C

    Nigeria: Rais Tinubu aanguka wakati akipanda gari la gwaride

    Rais Bola Tinubu wa Nigeria alijikwaa na kuanguka leo 12/6/2024 alipokuwa akipanda gari la gwaride katika Uwanja wa Eagles. Tinubu alianguka na kujipigiza kichwa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Demokrasia ya Juni 12. Haikuwa wazi kutoka kwenye video ya kuanguka kwake kama kutokana na mavazi...
  6. BARD AI

    Nigeria: MultiChoice yapigwa faini na kutakiwa kurusha Matangazo kwa Wateja mwezi mmoja bila malipo

    Mahakama ya Ushindani na Haki za Watumiaji Huduma (CCPT) ya Nigeria, imeitoza kampuni ya Matangazo ya Televisheni ya MultiChoice takriban Tsh. Milioni 282.56 pamoja na kuwapa Wateja wake Kifurushi cha Matangazo ya mwezi mmoja bila malipo. Uamuzi huo unafuatia malalamiko ya Wateja wa MultiChoice...
  7. mkalamo

    Nigeria wasifu Mchakato uchaguzi nchini India

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria Yusuf Maitama Tuggar siku ya Jumapili aliwapongeza watu wa India na Waziri wa Mambo ya Nje S Jaishankar kwa "kuonyesha hadhi yao kama ngome ya kidemokrasia duniani." Yusuf Maitama Tuggar alisema mchakato wa uchaguzi wa India ulidumu kwa siku 44 na akauita kuwa...
  8. G

    Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

    Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79
  9. Mjukuu wa kigogo

    DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

    Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
  10. BARD AI

    Nigeria: Wananchi wapinga Tozo ya Usalama wa Mtandao kupitia Miamala ya Benki na Simu

    Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu. Benki Kuu ya Nigeria (CBN) imeziagiza taasisi za fedha kwamba ushuru wa 0.5% unaokusudiwa kuongeza pesa ili kuimarisha...
  11. LIKUD

    Kwanini nafsi yangu imehuzunishwa sana na kifo cha Veteran Actor huyu wa Nigeria

    Imeandikwa kwenye kitabu cha Injili ya Yohana 11 kwamba " When Jesus learned about the death of his friend Lazurus his soul was troubled" This was me today after I learned about the passing away of this great man. Huyu Zulu Adigwe kwenye kitabu changu ndio Actor bora kabisa wa wakati wote...
  12. Balqior

    Kwanini Tanzania hatuna self made young & rich, black people, kama kina blord, mompha, na e-money wa kule Nigeria?

    Habarini Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani unaona kabisa huyu mtu hafeki life, haya ndo maisha yake halisi, efcc kule Nigeria kuna kipindi...
  13. Lady Whistledown

    Nigeria: Wanajeshi kushtakiwa kwa Kuua raia 85 Kimakosa

    Wanajeshi Wawili wanatarajiwa kushtakiwa kufuatia shambulizi la anga lililosababisha vifo vya raia 85, Desemba 3, 2023 katika jimbo la Kaduna, Kaskazini-Magharibi mwa nchi hiyo Shambulizi hilo linatajwa lilitokea wakati wa maadhimisho ya Kidini ambapo ndege ya Kijeshi isiyo na rubani iliyokuwa...
  14. GUSA ACHIA BAHASHA GOLI

    Ona jinsi wakristo wanavyoteseka nchini Nigeria na jeshi liko upande wa islamist

    Je ni kweli dini yao ni ya amani kama wasemavyo wenyewe humu? https://twitter.com/visegrad24/status/1781802292548673704?t=u-VrM9jzxIx-C2pXqt8iog&s=19
  15. Niache Nteseke

    Nigeria leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr?

    Salaam wakuu. Nimeshangaa leo kuna mtu amewasiliana na jamaa yake aliyeko Nigeria na kumwambia kuwa The Federal Government imetangaza rasmi kuwa leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr. Tunajua kuwa kwa kawaida hapa nchini kuna watu huwa wanaswali Eid pindi tu mwezi utakapoandama popote pale...
  16. 2 of Amerikaz most wanted

    Nigeria: Mchina ahukumiwa kifo kwa kosa la kumuua mpenzi wake

    A Chinese man, Frank Geng-Quangrong has been sentenced to death for the murder of his 22-year-old girlfriend in Nigeria. he actually killed the lady because he spent a huge amount of money on her, he claim to buy her a car,house open a business for her in Abuja and at the end of the day she...
  17. 2 of Amerikaz most wanted

    Afrika walimbwende wapo South Africa na Nigeria, kwamba Tanzania wamejaa sura za baba tu how come?

    Afrika ni Nchi tatu tu zilizo Pata mataji ya walimbwende duniani south Africa, Nigeria na Egypt. 👸🏻 Miss World titles: 🇮🇳 India: 6 🇻🇪 Venezuela: 6 🇯🇲 Jamaica: 4 🇬🇧 UK: 4 🇿🇦 South Africa: 3 🇺🇸 USA: 3 🇮🇸 Iceland: 3 🇸🇪 Sweden: 3 🇨🇿 Czechia: 2 🇵🇱 Poland: 2 🇵🇷 Puerto Rico: 2 🇨🇳 China: 2 🇷🇺 Russia...
  18. BARD AI

    Rais wa Nigeria afuta safari za Viongozi za nje ya nchi kwa miezi 3 ili kubana matumizi

    NIGERIA: Rais Bola Tinibu amepiga marufuku safari zote za Nje za Viongozi kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Aprili 1, 2024, lengo likitajwa kuwa ni mpango wa kubana na kupunguza Matumizi ya Serikali yasiyo na ulazima Hatua ya Rais inafuatia uwepo wa malalamiko ya Wananchi wanaodai Serikali...
  19. J

    Nigeria vs Ghana: Ranking the Best Super Eagles Players in Europe Ahead of Jollof Derby

    The Super Eagles of Nigeria are set to take on the Black Stars of Ghana in a 'Jollof Derby' in their upcoming friendly game during the international break. The match will take place at the Stade de Marrakech in Morocco on Friday, March 22. Some of the top players who helped Nigeria finish...
  20. Mhaya

    Waislamu 11 Wakamatwa Nigeria kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani

    Polisi wa Kidini nchini Nigeria wamekamata watu 11 siku ya Jumanne kwa kuonekana wakila chakula mchana katika mwezi wa Ramadhani. Watu hao wamekamatwa katika jimbo la kaskazini la Kano. Kano ina idadi kubwa ya Waislam, ambapo sheria ya kidini – Sharia- inatumika pamoja na sheria za kawaida za...
Back
Top Bottom