Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,754
- 5,851
Habarini
Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani unaona kabisa huyu mtu hafeki life, haya ndo maisha yake halisi, efcc kule Nigeria kuna kipindi walimkamata, ila baadae walimuachia.
Hapa Tanzania kuna kina chief godlove (nahisi hana hela nyingi kihivyo anazoclaim anazo) na sirjeff Dennis (huyu tayari chali), Patrick ngowi (sahivi chali) dj ally b (asset yake nahisi ni nyumba 1 ya ghorofa ambayo inasemekana amepanga, na magari ambayo huenda ni ya kukodi ), don shafiney (hela zake marinjirinji)
Ina maana hapa Tanzania hakuna celebrity entrepreneur kijana ambaye ni self made mwenye networth walau ya $1 million usd hata mmoja, wanaijeria wametuzidi wapi?
Hata kwenye list ya matajiri top 10 Tanzania hamna mweusi hata mmoja, alikuepo Mengi ndo huyo alishafariki
Picha za huyo blord hapa chini ambae anampango wa kutumia $216,000 (300 million naira kujenga kanisa)