Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza?
Tuangalie the power of Patnership Katika online business
Ndio maana mara nyingi huwa tunawatumia watu wengine kuwafanya wapost huduma zetu kwenye...
Ukitaka kukopa ni mserereko tu huendi ofisi yoyote wala humpigii simu yeyote ila ngoma ukisema sasa ngoja nilipe deni lao hili! Huwezi ng'o!
Mabenki hebu acheni hizo bana yaani kuna vitu hivi laiti mngewezesha watu kujihudumia wenyewe kwenye ess basi ingekuwa poa sana
1. Mtu hawezi kubadili...
Kama vile ilivyo bandwidth yaani capacity ya watu kuweza kuongea kwa wakati mmoja kwenye simu / mitandao ndio hivyo Umeme ukishauzalisha inabidi utumike, sababu kuutunza ni gharama, (Ingawa unaweza kutumia Bwawa kama Battery), kwahio nikichukulia mfano wa kama watu wanaweza kunywa maji Pipa moja...
Kwa manew comers wabongo wapya wapambanaji.
Kazi rahisi kupata nchini Marekani mara nyingi ni kazi za kuingizio (entry-level) ambazo hazihitaji ujuzi maalum au uzoefu mrefu. Hapa ni baadhi ya kazi rahisi kupata:
1. Mhudumu wa Meza (Waiter/Waitress): Kazi ya kuhudumia wateja kwenye migahawa na...
Nimeleta mada kwenu tajwa hapo juu.
Katika harakati zangu za mizunguko ya hapa na pale , nimejikuta naanzisha mazoea na mke wa mtu ,mwisho wa siku nikamkaribisha kwangu kwa bahati nzuri akaniambia anakuja ile alivyokuja nikamtamkia nampenda ila alichonisihi akaomba iwe siri yangu mimi na yeye...
Nimeona Habari ya kushuka kwa bei za umeme Zanzibar, ndio nikashtuka kua kumbe tokea siku nyingi umeme Zanzibar NI Rahisi kuliko Tz bara.
Je umeme si unatoka huku kwetu? Nini shida mpaka Sisi tunyonywe Unit inauzwa ghali ?
Salaam, Shalom!!
Ni Rahisi sana kutolewa ugonjwa au LAANA iliyosababishwa na Hila za shetani na mapepo yake, lakini ugonjwa au LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi huna namna ya kuiondoa.
Ukipatwa na LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi waliokulea, huwezi pata msaada kwingine kokote, hayupo wa kukuombea...
Friends and Our Enemies,
Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao.
Sisi hatuna shida na kuwa chama hiko waasisi wao ni KASKAZINI...Ni cham ambacho kimepitia mawimbi mengi makubwa...
Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli
Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki
Marafiki wa karibu wana jicho makini kuweza kumtambua mpenzi asiekufaa
Habari wanajamiii forum, !
Kwa utamaduni wa inchi yetu, ya Tanzania ukipewa nafasi ya kutaja viongozi bora bila kujali itikadi na dini, ni kazi ngumu sana
kuwapata afadhili ukachukue jembe ukalime, kwa sbb what mifumo ya sheria na utamaduni zetu za usinichi,
Ila utawakuta wenye uwafadhali...
Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe left. Inajulikana kuwa hizi apps zimejaa watu wa kila aina – wengine wanatafuta penzi la kweli...
Zamani nilidhani mambo yako simple kumbe ni magumu sana, sikujua uhalisia
1. Kufika South Africa
Zamani tuliamini South Africa ni hapo tu bondeni,
Yaani life likibana hapa Kwa Nyerere ni chap bondeni,
Tulipachukulia ni karibu kiumbali na ni rahisi kufika.
Hadi Leo South Africa naiona kwenye...
Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu?
Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
Kwa kawaida hawa watekaji na wauaji wanapofanya uharamia kama waliomfanyia Ali Kibao RIP, huwa wana watu wao ambao huwa wamewapanga barabara zote watakazopita ili wasipate kizuizi mahali popote wakiwa na mateka. Hata wasipokuwa na mateka, wakishafanya tu uharamia, huwa hawataki wasimamishwe...
Usijaribu kudate na Mwanamke asiye na hisia na wewe.
Fanya udadisi... ndipo mtongoze kwa kumwambia hata mimi nahisia sana na wewe.
Examples of Questions;
Unamwanaume, Yes or no
If yes, vip unalidhika nae anakufikisha kunako vizuri, is he romantic?
if No, Vipi ukiwa na mimi.. ? Look at me, am...
Huku mitandaoni single Maza hathaminiki. Maneno meengi ila ukija field sasa mwanamke WA miaka 40 mwenye watoto watatu ni rahisi kuolewa kuliko mwanamke WA miaka 40 Bikra.
Kuzaa sio mwisho wa mapenzi.wapo watakaokupenda Tu .kwanza watoto wanaleta rizki sana.wanafungua hata Milango iliyofungwa.
1: Mungu ananguvu kuliko shetani.
2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza.
3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi
4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika...
Unapofanya tendo la ndoa na Mtu yeyote, unajenga muunganiko wa kiroho na kimihemko, na huyo mtu.
Ni jambo gumu sana kumsahau mtu ambaye mlikuwa na uhusiano wa namna hiyo, hamjaachana Kwa vita au uhasama mkubwa. Kila mkionana miili yenu na roho zenu zitashabihiana.
Haijalishi miaka mingapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.