Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mwananchi.
Tulipe Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu.
Mkurugenzi wa MAT superbrand hulipa Kodi na tozo mbalimbali za thamani ya bilioni hadi Saba kwa mwaka.
Je, wewe kama mtanzania mzalendo unapanga kulipa Kodi kiasi gani kama tozo na Kodi mbalimbali ili maendeleo...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.
Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
Habari wanajamvi,
Naamini tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kufunga mwaka wa 2024. Mungu amekuwa mwema kwetu, na ni kwa kudra zake tunaendelea kuishi.
Jana nilimtembelea rafiki yangu mmoja. Yeye na mke wake ni waalimu wa sekondari. Tuliongea mengi, na mojawapo ya tulivyovigusia ni hali ya...
Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa
kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini
wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma.
Bora hata jirani zetu...
Bila kuwa mwanachama wa Chadema au ACT Wazalendo, nakiri kwamba Chadema, hawa kina Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Mbowe, na wakati fulani kina Msigwa, Dr. Slaa, Mtikila, Mrema, Dr. Kaborou na wengine, siku zote wamekuwa na nia nzuri sana na nchi yetu. Sina shaka juu ya hilo.
Sasa tatizo ni kwamba...
Ni kutokana na kukithiri kwa biashara za ngono, ulevi, utumiaji wa madawa ya kulevya kwa upande akina dada,
Sasa ni wakati sahihi kwa sheria za nchi yetu kubadilika.,
Hasa pale linapokuja suala la matukio ya kingono na visa vyake.
Nchi yetu kwa sasa imeingia katika wimbi kubwa la...
JF simameni katikati, hapa hajatajwa mtu..
Nikirudi kwenye mada, Kama kuna mtu wa ngazi yoyote anatoa maagizo wagombea wa upinzani wanyanyaswe kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa, ombi langu kwa Mungu ni amchukute huyo mtu ili nchi yetu iendelee kuwa salama.
Na kama ni mfumo, Mungu...
Sasa hivi hali nchi siyo salama, ni vizuri tukaelimishana mbinu za kujikinga na kujinusuru dhidi ya watekaji .
Ndugu zangu hawa watekaji ni wauaji, ni makatili na inaonekana serikali ya Tanzania siyo ya kuaminika katika suala hili, Kiufupi imeshindwa kusimamia usalama wa raia. Wananchi wamepiga...
Wakuu
Ipo siku sisi kama watanzania tutaruhusu nchi yetu iingie katika kipindi kigumu zaidi Cha kiutawala ambapo tutajikuta tumeruhusu kutawaliwa na mtu asie mtanzania halisi bila sisi kujijua kwa sababu tunaonekana hatuna uzalendo kabisa.
Imefikia wakati watu Wanapenda vyama kuliko kuipenda...
Je tunajifunza nini hapa ktk serikali zetu kuajili matajiri ?
Ikumbukwe matajiri wa nchi zetu wengi huwa ni indirect involves in political funding japo kuna means of blackmailing n.k na kuna mafungu wanatoa, mana kwa nchi kama zetu raia wa sisemu akiona Mo anasupport CHADEMA kesho humkuti...
Jina la Jakaya Kikwete limeitwa mambo machache sana ninachokumbuka ni taasisi ya kibingwa ya moyo JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE.
Nyerere ndio anaongoza jina lake kuitwa maeneo mengi MAGUFULI hakustahili kwa namna alivyoboronga kwenye uongozi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.