Kwema Wakuu?
Niko mahali hapa nasikia taarifa zisizo njema kuhusu huyu Mzee, zina ukweli wowote?
=====
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Boniface Kikumbi Mwanza Mpango maarufu King Kikii amefariki dunia.
Amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Taifa...
Taylor Swift sasa ndiye mwanamuziki wa kike tajiri zaidi duniani, akiwa na utajiri wa dola bilioni 1.6, akimshinda Rihanna. Mafanikio haya makubwa yanatokana hasa na ziara yake ya "Eras Tour" na umaarufu wa nyimbo zake.
Swift ameendelea kuwa mmoja wa wasanii wenye ushawishi mkubwa katika tasnia...
Kuna huyu mwanamuziki anaitwa Jaivah. Nashauri BASATA wafungie kabisa nyimbo zake kwa sababu anaimba matusi mengi sana. Hii nchi sidhani kama tuko huru kiasi hicho, kwani tunapaswa kulinda maadili ya jamii.
Who is Adele?
Jina: Adele Laurie Blue Adkins
Tarehe ya Kuzaliwa: Mei 5, 1988
Idadi ya Albamu: 4
Tuzo za Grammy: 16
Mafanikio ya Nyimbo: Adele ameingiza nyimbo 19 kwenye U.K. Top 75 na nyimbo 25 kwenye Billboard Hot 100, ikiwa ni pamoja na nyimbo 8 zilizoingia kwenye Top 10.
Mshindi wa...
Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani.
Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi, Beach, Jumamosi usiku wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani anaimba wimbo wa "Hadija".
Inaelezwa kuwa wakati anaimba wimbo huyo, Malu Stonch...
Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe
Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo.
Nawatakiwa Asubuhi Njema
Akifa kiongozi au Kiongozi mstaafu ni sawa tu na kifo cha mwanakijiji wa kule Nanjirinji Kilwa. Akifa msanii ni sawa tu na kifo cha raia wa Tandale aliyekufa kwa typhoid ambayo alishindwa kujigharamia dawa. Wote ni watu, wote ni past . Hawawezi kufanya lolote tena. Ni void na ubatili.
Hivyo...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla?
Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani.
Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi...
Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy.
Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka kama alivyo ahidi mwenyewe kuwa mwezi wa 11.2023 ataachia na bila kusita mtaalamu Breezy kawapa...
Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock’n’Roll amefariki akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa familia, Turner alianza kuwa na hali mbaya ya Kiafya baada ya kugundulika kuwa na Saratani ya Utumbo mwaka 2016 na kupandikizwa Figo mwaka 2017.
Enzi za uhai wake...
Shaden Gardood (37) ameuawa wakati mpigano ya kugombea madaraka yakiendelea kati ya vikosi vya Jeshi la Sudan dhidi ya Rapid Support Forces (RSF) katika Mji wa Omdurman, ikiwa ni siku moja baada ya pande hizo zinazopigana kuafikiana kupunguza mapigano.
Gardood alikuwa mmoja wa watu maarufu...
Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii
-------
Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi makubwa baada ya aliyekuwa Nguli wa Muziki huo, Mzee Hussein Jumbe, kufariki leo Aprili 10, 2023 katika...
Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni
Kala Jeremiah
Billnass
Countrywizzy
Fid Q
Joh Makin
Hakika wana Hip Hop tumedhalilishwa sana, tunazidi kudhalilishwa. Sikubaliani na uwepo wa...
Huyu jamaa kwa kipindi kifupi ameweza kuwa mwanamuziki maarufu na mwenye mafanikio duniani. Kafanya shows nyingi, kajaza watu kwenye show zake na mengineo mengi.
Je, siri ya kufanikiwa kwake ni Kipaji au menejimenti inayojielewa? Miaka kama miwili au mitatu alifanya ngoma na Diamond pamoja na...
Mpiga gitaa maarufu wa Kongo Denis Lokassa Kasiya, almaarufu Lokassa ya Mbongo, alifariki Jumanne usiku nchini Marekani baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Lokassa, ambaye hivi majuzi alifikisha umri wa miaka 80, alikuwa kiongozi wa bendi maarufu ya zamani ya Soukous Stars yenye makao yake Paris...
Taarifa zilizothibitishwa zimeripoti kuwa msanii Costa Tich amefariki dunia.
Msanii huyo alikuwa akifanya onyesho stejini, ndipo alipo anguka ghafla na kukumbwa na umauti.:👉
👉 Taarifa za kina zaidi, kuhusiana na chanzo Cha kifo bado hazijajulikana. Zaidi ya kusemekana ni ajali tu.
Miongoni...
Saad Lamjarred (37) amekutwa na hatia katika kesi hiyo dhidi ya msichana mwenye umri mdogo ambaye Mahakama haijamuweka wazi, ikidaiwa alitenda tukio hilo hotelini Mwaka 2016.
Mara baada ya hukumu kusomwa Jijini Paris, Lamjarred hakuonesha mwitikio wowote na muda mfupi baadaye akawekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.