mumeo

Mumeo Oku (奥 むめお, Oku Mumeo, October 24, 1895 – July 7, 1997) was an important Japanese feminist politician who served three terms in Japan's Imperial Diet after having been a leader in the early modern Japanese suffrage movement. She played an important role in various early Japanese women's rights movements and she was a crucial part of Japan's consumer movement. She was a renowned activist in the 1920s, co-founding the New Women's Association with Hiratsuka Raichō and Ichikawa Fusae, and eventually held a seat in the House of Councilors from 1947 to 1965 when she retired.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Sifa za mwanaume bora wa kukuoa, kuwa mumeo ni hizi hapa! 2025 fanya kweli

    SIFA ZA MWANAUME BORA WA KUKUOA, KUWA MUMEO NI HIZI HAPA! 2025 FANYA KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanawake wengi hulalamika kutokujua ni mwanaume gani anasifa za kumwoa. Wengi hawajua sifa za mwanaume mzuri atakayekuja kuwa Mume na Baba wa watoto wake. Sasa Binti yangu, Mimi kama...
  2. B

    Mwanamke ulie kwenye ndoa, mumeo akipatwa na tatizo la nguvu za kiume, ukiwa na uwezo wa kumtibu utamuhangaikia ama ukamuacha ateseke?

    Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten. What about u mwanamke? Wewe...
  3. S

    Mwanamke kuolewa ukiwa na miaka 30+ ni kumfanyia ukatili mumeo

    Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kuchakatana (kugegedana) na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo. Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated (atagegedwa) kwa miaka isiyozidi 12 tu. Baada ya hapo anakuwa sawa na mlinzi wa getini tu. Sasa vipi...
  4. Rorscharch

    Ewe Mwanamke , ulimpotezaje mumeo/boyfriend wako? Ulifanya nini akaacha kukupenda?

    Tumesikia vya kutosha juu ya wanaume kuwa vyanzo vya mahusiano kuvunjika, leo ningependa tupate maneno mawili matatu kutoka kwa wanawake wa nguvu wanaojitambua na kutambua mapungufu yao ambayo yalisababisha mahusiano yao kuvunjika
  5. 2019

    Kumfuatilia mumeo kila hatua kwa kisingizio cha upendo kunakera sana

    Kwanza kabisa msimamo wangu, kama huo ni upendo naukataaa. Uko kazini, unaulizwa unarudi saa ngapi? Umefika wapi? Mbona umechelewa kurudi? Angalia muda lakini!! Nashindwa kulala sababu yako. Uko na nani? Mko Baa gani? Leo mpira unaangalia wapi? Usichelewe kurudi lakini, mtoto anasumbua...
  6. Zero Competition

    Ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu

    Katika nyakati hizi ngumu tulizonazo, mwanamke ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu. Sio kama nahamasisha uzinzi nje ya ndoa lahasha ila tambua kwamba kuna baadhi ya wanaume wameoa na wana watoto wamepata na wake zao lakini wanaume hao hao wakitoka kwenye nyumba zao ni...
  7. Pdidy

    Unakesha kuomba mapacha unamnyima unyumba mumeo unataka wakupe majini mahaba?

    Ushauri nasahaa Tunapitia mengi sana makanisani ukisikiliza mmmh Kuna familia leo tulikuwa nayo wana tofauti kidogo kweli mwanaume kakiri mapungufu yake Baada ya yotee tukabidi tutafute chanzo mwanaume akasema mkewe alianza kwenda kanisa moja la kilokole anarudi usiku Mwisho akirudi...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Utafanyaje mkeo au mumeo au mzazi wako akiwa na mambo ya Kishirikina? Hivi ñdivyo utakavyofañya

    UTAFANYAJE MKEO AU MUMEO AU MZAZI WAKO AKIWA NA MAMBO YA KISHIRIKINA? Hivi ÑDIVYO UTAKAVYOFAÑYA. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli. Mtu yeyote ambaye haamini nguvu za Mungu huyo ni mshirikina. Mtu yeyote ambaye anaamini nusu kwa nusu ñguvu za Mungu huyo ni Mshirikina. Inaweza ikatokea...
  9. Pdidy

    Tuko kanisani tunaandika majina ya maaduui zetu wachomwe moto tuma majina ya maaduiwasiwe mke ama mumeo la

    NIMEKUJA KWENYE IBADA MOJA HUKU BANANA TUKO SEHEMU YA KUANDIKA MAADUI ZETU TUWAOMBEE WACHOMWE MOTO WALE WALIOKUTESA WANAOKUTESA MAKAZINI WANAOTESA NDOA ZAKO BIASHARA ZAKO AFYA ZAKO VIPATO VYAKO WEKA HAPAA NIWAANDIKE MUNGU ANASEMA ANAKWENDA KUPANDANA NA ADUI ZETU WANAOKUFANYA USISHIKE HELA...
  10. D

    Mkeo au Mumeo akikufanya hivi, utachukua hatua gani?

    Huyu bwana ni Mtumishi wa umma huko mwanza, ameng'atwa mdomo na Mkewe!
  11. Engager

    Wewe Dada. Binadamu pekee mwenye mapenzi ya dhati kwako hapa duniani ni mumeo

    Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu. Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja. Lakini kuna huyu mwanaume. Mume wako. Ulishawahi kujiuliza kwanini anakupenda kiasi...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Kulea watoto na kuwa Mama wa nyumbani hakukupi Haki ya kugawana mali na mumeo pale mnapotalakiana

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii NI Kwa Watibeli wote. Wenye HAKI na kupenda Haki, wenye Upendo na kuupenda huo upendo, wenye Kweli na kupenda yaliyokweli, wenye Akili na kupenda maarifa na ufahamu. Jamii yote ya viumbe wenye utashi ikiwemo binadamu ielewe kuwa Hakuna namna nyingine ya...
  13. Kyambamasimbi

    Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

    Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari! Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule jamaa noma, gamboot na tope zake ndani, soksi juu ya meza, chupa za soda chini ya meza, mabuibui...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Mumeo akiku-cheat na wewe m-cheat

    MUMEO AKIKU-CHEAT NA WEWE M-CHEAT Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Najua wapo wanaume watanimaindi kwenye hii mada lakini hiyo ndio namna Watibeli tunavyofanya mambo yetu. Hatuna msamaha kwa mtu anayefanya jambo kwa kudhamiria. Hiyo hatuna. Kitu cha kwanza niliwaambia binti zangu kuwa...
  15. Expensive life

    Ewe mwanamke ni mwanaume yupi kati ta hawa anafaa kuwa mumeo?

    Kumekuwa na makundi mbalimbali ya wanawake wakitaja sifa za mwanaume anayefaa kuwa baba wa watoto wake. Hawa ndio wanaume wanaotajwa na wanawake kila uchwao kuwa wanatamani sana kuwa wandani wao haki kifo. 1: Mrefu mweupe 2: Mwenye pesa 3: Mwenye hofu ya Mungu na upendo 4: Mrefu mweusi 5...
  16. The Burning Spear

    Ewe mwanamke mumeo ukimkuta kwenye saloon hizi piga Makofi

    Hii ndo siri ya kambi kama hamjui nini huwa kinaendelea huko. Msiseme hamkuambiwa.
  17. Dasizo

    Hivi mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?

    Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?
  18. data

    Ewe mwanamke kwanini umpumbaze mumeo? Una faidika nini!?

    Unapomnyang'anya mumeo Sauti, Mamlaka, Hadhi ya ubaba inakusaidia nini!? Na kwanini unafanya hivyo.!? Mbona kijana wa watu hana hatia kabisa. Uhuru unaoutaka wa kujiachia, kuwa na Wanaume wengine,kuushika mshahara wake, kumzalia watoto wasio wake n.k. inakusaida nini!? Kwanini usiachane nae...
  19. GENTAMYCINE

    Mumeo alikufa kwa Ngoma mwaka 1993, leo mwaka 2023 Wewe Mkewe unataka Kukikwepa Kifo cha Maambukizo hayo?

    Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.
  20. Okrap

    Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

    Mimi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuhangaika na mwanamke mwezio. Mwanamke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko.
Back
Top Bottom