mumeo

Mumeo Oku (奥 むめお, Oku Mumeo, October 24, 1895 – July 7, 1997) was an important Japanese feminist politician who served three terms in Japan's Imperial Diet after having been a leader in the early modern Japanese suffrage movement. She played an important role in various early Japanese women's rights movements and she was a crucial part of Japan's consumer movement. She was a renowned activist in the 1920s, co-founding the New Women's Association with Hiratsuka Raichō and Ichikawa Fusae, and eventually held a seat in the House of Councilors from 1947 to 1965 when she retired.

View More On Wikipedia.org
  1. Okrap

    Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

    Mimi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuhangaika na mwanamke mwezio. Mwanamke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko.
  2. J

    Mwanamke, utakubali tubadilishane unipe MUMEO nani nikupe UTAJIRI WANGU?

    Salaam. October last year niliachwa na mwanaume niliyetokea kumpenda sana. Alionyesha kunipenda na kuahidi ndoa ila mpaka anafikia kusema ITS OVER sikushangaa tokana na mapicha picha nlokua nikijionea mwishoni mwishoni. Kuumia kwa kuachwa na umpendae ni kawaida ila alivyosema tu tuachane...
  3. Jemima Mrembo

    Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

    Mwanaume ni mfalme ndani ya nyumba, usipompa heshima yake, hiyo ndoa iko mashakani. Hamna mfalme asiyetaka kuheshimiwa.
  4. Amos David Mathias

    Mke usimpande kichwa Mumeo

    Wanawake wengi wa sasahivi wamekuwa ni pasua kichwa katika familia zao.Wanafanya mambo ambayo yanachochea UGOMVI na chuki Kila mara. Hawana heshima Kwa Waume zao sababu hawajui thamani ya mume.Hawataki kujitiisha mbele za Waume zao na kuwaheshimu Bali wanataka wawatawale hali ambayo inazua...
  5. Girland

    Ni sahihi kumuheshimu boss wako/ Mchungaji/Sheikh /Padre kuliko Mumeo/Mkeo?

    Kutana naye ofisini /sehemu ya ibada Utasema mwanamke ndiye huyu! Anavyomnyenyekea boss wake, utasema ana heshima Sana. Boss ataulizwa nikupe chai au kahawa? Kuna kitu unahitaji, tabasamu Kama lote. Ushawahi kukutana na wadada wa customer care? Utasema hapa ndiyo penyewe 😁 Kanisani nako...
  6. J

    Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

    Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo. Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia, hivi bado wewe ni wakuendeshwa na mapenzi kweli au umerogwa? Ndugu yangu kubali kukua na ujifunze...
  7. ommytk

    Mkeo au mumeo akiwa na simu kubwa na kile kidogo(kiswaswadu) kaa nacho mbali usiseme sijakwambia

    Tangazo muhimu kwa wote ukiona mumeo au mkeo ana simu mbili moja kubwa touch alafu ana kile kidogo maarufu kiswaswadu yes kiswaswadu kaaa nacho mbali mnooooooooo utakuja nishukuru usikiguse narudia kaaa nacho mbali mnooooooo usije sema atukukwambia
  8. Mawematatu

    Kama unadhani mkeo au mumeo ndiye msiri wako, unajidanganya!

    Leo ni siku. Salam wanajamhuri. Nianze na ukweli huu. Ndugu zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. 🥺 Usije ukaamini huyo ni muaminifu. Kamwe. Wanawake na wanaume tunapitia wakati mgumu Sana. Ndoa zetu zimejaa udanganyifu. Unaweza...
  9. Komeo Lachuma

    Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

    Wadau, Kutokana na mikasa mingi ambayo nimewahi kuipata na pia kusikia kwa ndugu, jamaa na marafiki nawashauri sana kuna mikoa msikanyage kabisa hizi ni story za kweli na nimezikatisha sana ili isiwe kero kwa wavivu wa kusoma kwa waliokuwa ndugu zangu hasa wale ambao wanatumia vichwa vidogo...
Back
Top Bottom