mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndagullachrles

    Kada wa CCM Deo Mushi ashinda vita dhidi ya tajiri mtoto wa Ndesamburo uporaji shamba la shule ya msingi Wereni,apewa siku 14 kusalimisha hati feki

    DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
  2. Waufukweni

    Mtoto mwenye umri wa miaka 5 auawa kwa kuchinjwa Kimara

    Mtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam. Video: ITV Digital
  3. Dalton elijah

    Wizara ya Afya yamsimamisha kazi Muuguzi aliyemhudumia Bi Neema ili kupisha uchunguzi wa sakata hilo

    Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025. Taarifa ya leo Aprili 02 2025...
  4. S

    Ghadhabu nchini Somalia baada ya mwanamume kukiri kuwa alioa mtoto wa miaka minane

    Kuna hisisa za Ghadhabu nchini Somalia baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane, ambaye alikuwa ametoweka kwa miezi sita, kupatikana akiishi na mwanamume aliyesema kuwa ni mumewe. Msichana huyo aliripotiwa kutoweka na familia yake katika eneo lililojitangazia uhuru wake la Puntland...
  5. B

    MPYA KITOVU CHA MTOTO

    Wakuu naomba waliona uchambuzi wakina kuhusu kitovu cha mtoto, eti ni kweli kikiangukia sehem za siri wakati kinakatika hatokuja kuzaa?
  6. Down To Earth

    Mtoto mdogo mwenye Pesa Nyingi...

    Jamaa alianzia mbali sana aisee Whatever anafanya kutafuta hela nampa Heko Hapa nadhani ni miaka 50 iliyopita na alikua anaitwa Atulokole Mwajilala😅😅😅 Kwa sasa kamanda kajipata karudi ujanani na anaitwa Chief GodLove😂😂
  7. Damaso

    Picha ya Chris Benoit baada ya kufanya mauaji ya Mke na mtoto wake

    Aliyekuwa nyota wa WWE Marehemu Chris Benoit anaonekana akipiga picha kwa ajili ya shabiki katika ofisi ya Dk Phil Astin mnamo Juni 22, 2007, kwa kuitazama watu walidhani ni vile Benoit ni mcheshi na anapenda sana mashabiki zake. Ila ajabu ni kuwa baadaye ilijulikana wakati anapiga picha hii...
  8. The Watchman

    Mbeya: Mtoto Mchanga Anayekadiriwa Kuwa Na Umri Wa Miezi Mitano amekutwa ametupwa kwenye Mtaro Barabara Ya Veta Ilomba

    Mtoto Mchanga Anayekadiriwa Kuwa Na Umri Wa Miezi Mitano na Sita Amekutwa Ametupwa Kwenye Mtaro Wa Kupitisha Maji Katika Barabara Ya Veta Kata Ya Ilomba Jijini Mbeya. Wakizungumza Kwa Masikitiko Makubwa Wananchi Wa Kata Hiyo Wamesema Wameumizwa, Na Kulaani Kitendo Hicho Kilichofanywa Na...
  9. mdukuzi

    Nshukutu Mungu mtoto wangusio shabiki wa Yanga,kuna vijana wa ovyo sana Yanga

    Wakati CAF inapanga droo ya CAFCL ba CAFCC walijazana mitaa ya Twiga na jangwani siku nzima uyafikiri hawana shughuli. Mara tena wamejaxana ofisi za BMT kwenye kikao cha serikali na bodi ya ligi,TFF,simba na yanga. Unajiuliza hawa vijana wana akili kwelli Mshukuru Mungu kamamwanao sio shabiki...
  10. Orketeemi

    AKAMATWA KWA KUMUINGILIA KIMWILI MTOTO MWENYE UMRI WA MWAKA MMOJA NA NUSU

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na wananchi linaendelea na operesheni kwa lengo la kuzuia na kupambana na uhalifu na wahalifu katika maeneo mbalimbali ya Mkoa kuanzia tarehe 01/03/2025 hadi tarehe 25/03/2025. Kufuatia...
  11. Nyani Ngabu

    Hivi huyu mtoto wa Museveni dishi lake limeyumba nini?

    Huyu Kaneirugaba naona kama vile hazijamkaa sawa kichwani! https://youtu.be/geBJ2Qb-ytM?si=W_d1_OSATPupROkp
  12. Money Penny

    Hivi mtu akisema una mashavu mtoto mzuri anakuwa anamaanisha nini, kwenye mapenzi??

    Naomba jibu wanafunzi Na mashavu yenyewe ni haya pembeni ya mdomo au kuna mengine
  13. figganigga

    Picha za Tundu Lissu Nkasi Kusini, asema DC Lijualika ni Mtoto wa Laana

    Hapa ni Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini. Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amesisitiza Lijualikali ni Mtoto wa Laana. So now ana majina Mawili. Mtoto wa Dawa na Mtoto wa Laana. Lissu limtoa Gerezani Lijualikali baada ya miezi Kadhaa akajiunga na CCM. #NoReformsNoElection Picha hapa...
  14. A

    MTOTO WA KAHABA

    DONDOO Bagaili ya mambo yote, lengo la mwandishi kuandika kisa hiki anisi siyo kuwapa daawa wasichana makahaba waliyoamua kutumia miili yao kama njia ya kujipatia kipato, la hasha! Bali ni kueleza kwa jinsi gani baadhi ya wasichana hao wamejikuta 'wakijiuza' kutokana na mazingira ya au kukua...
  15. milele amina

    Tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania, wanasisasa sasa wanabuni Upya Elimu ya Ufundi ( VETA) kwa watoto wa Maskini

    Karibuni, kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wahitimu wa digrii kwenda VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi) imeanzisha mjadala mkubwa. Hali hii inaonyesha tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania: mtaala ambao umekuwa mbovu kwa miaka mingi. Tatizo kuu linatokana na kushindwa...
  16. Rorscharch

    Kwa Nini Watu Wanazidi Kuacha Kwenda Kanisani? Kasumba Siku Hizi Kwa Wakatoliki ni Kuwa Mtoto Akishapata Kipaimara Anayeyuka Kanisani, Kwanini?

    Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
  17. M

    Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

    Habar wakuu Nauliza mke akiwa ananyonyesha mtoto wa mwaka moja anaweza chepuka Hali ananyonyshe, Maana mke hutoka na mtoto mida ya mchana kwenda kwa ndgu zake,Sasa kama mara mbili hivi siku tofauti ndani ya wiki moja ametoka na mtoto akirud ikifika usiku ukimuhitaji anapotezea au akwambie...
  18. Mkwawa mnyalukoro

    Ushauri: Nilimuacha mtoto kwa baba yake akiwa na miaka 6 je mahakama itanipa mtoto wangu

    Nilipata BWANA Nikaondoka kwa mume wangu bila kufukuzwa baada ya maisha kuwa magumu nikamwachia mtoto wa miaka minne basi mume akaniomba twende nikamkabidhi mtoto ustawi wa jamii. Tukaandikishana nikaondoka nikaenda kupanga ni mwaka sasa dah huku mtaan kwa moto nahtaji kurudi kwa mume wangu na...
  19. Loading failed

    Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujiandaa kuoa mke wa mtu

    Ndugu zangu. Tuendelee kukumbushana kwamba kuoa mwanamke mwenye mtoto ( Single maza) ni kujiandaa kuoa mke wa mtu na siyo vinginevyo. Hapa duniani mpaka mwanamke aamue kuzaa na wewe maana yake anakupenda na anataka awe na kumbukumbu yako pindi utakapotoweka machoni pake kwa namna yeyote iwe...
Back
Top Bottom