Leo tarehe 23/02/2025 huko nchini Korea Kusini bendera ya taifa imepeperushwa vyema na kijana Mtanzania Gabriel Geay kwa kuvunja rekodi ya mbio za Daegu Marathon (course record) kwa kutumia muda wa masaa 2:05:20 na kuibuka wa kwanza. Ikumbukwe Geay ndo anashikilia rekodi ya taifa ya marathon kwa...
Mtanzania ateuliwa kuwa Mkuu wa Shirika la Ujasusi la FBI nchini Marekani. Hii ni hatua ya uundaji wa serikali wa utawala mpya wa Rais Trump.
Kash Patel amezaliwa Marekani lakini Baba yake ni Mganda na Mama yake ni Mtanzania walioamua kuhamia Marekani ambako huko ndiko Kash Patel alikozaliwa...
Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni kwamba wanamtuhumua amemgonga mtu na kusababisha kifo wakati alipokuwa katika safari zake akipita...
Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni mwelewa alinitafutia nyingine duka lingine
Nafika nyumbani nikalinganisha pasi yangu ya zamani na...
Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana
Ahsanteni
Kwenye haya maisha hakuna namna kazi zako zote wewe mwenyewe kuzifanya ,soo unahitaji wasaidizi, nimesoma trend ya wafanyakazi wangu aisee kama hakuibii lazima awe ni mvivu, nimeajri sasa nimechoka nimeanza kuajiri watu wasio watanzania ndio at least naona mambo yanaenda japo kwa tabu
Hili limeniumiza sana
Elon Musk amesema kwamba Rais Donald Trump alikubali kuwa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufungwa, kufuatia siku kadhaa za uvumi kuhusu mustakabali wa shirika hilo baada ya ufadhili wake kusitishwa na wafanyakazi wake kadhaa kuwekwa...
Kumeibuka kundi la Watanzania ambao wanakerwa sana na Watanzania wenzao wanaomkubali Kagame. Hili kundi lililojivisha kilemba cha uzalendo wanawachukulia Watanzania wenzao wasiomchukia Kagame kama vile ni wasaliti wa nchi. Hii sio sawa, hakuna mwenye hatimiliki ya uzalendo.
Kama wewe unamchukia...
André-Frank Zambo Anguissa (ANGWISA) Nimeukumbuka huu wimbo wa muimbaji mmoja aliimba alikuwa anasema Angwisa....na huyu mchezaji naona kabisa ni mnyaki sijui wa Kyela,Tukuyu au Mbozi. Mi sijui.
Hawa ndo mngewarudisha na kuwapa uraia. Zamani naambiwa alikuwapo mnaijeria mmoja wa Kinyakyusa...
Tanzania ni nchi yenye utajiri wa kipekee wa tamaduni, watu wake wa amani, na mazingira mazuri ya asili. Kwa mgeni yeyote, hasa kutoka nchi nyingine za Afrika kama Nigeria, uzoefu huu unaweza kuwa wa kushangaza lakini pia wa kuvutia sana. Mnigeria mmoja ameweka wazi maajabu na tofauti za...
Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana.
Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
Msituletee Habari za Vifo tu vya Viongozi kufia Nje ya Nchi walipokua wanatibiwa.
Na Watanzania hawatakiwi Kuogopa Et kufanya kazi Nchi za waarabu ni hatari, Kuna kuuwawa n.k
Dunia iliingia mikataba ya Kimataifa Kwa pamoja kuhusu haki ya kuishi ya kila mwanadamu na haki hizo lazima...
Yule full beki wetu wa kulia, HAJI MNOGA anayechezea Taifa stars na Salford city ya nchini Uingereza, anatarajia kuwa sehemu ya wachezaji watakaowakabili Manchester City leo kwenye michuano ya FA.
Mchezo utachezwa leo saa 2::45 usiku.
Haji mnoga atakuwa mchezaji wa pili wa Kitanzania kucheza...
Ushirikiano wa Serikali ya Wazi (OGP) unafuraha kubwa kutangaza uteuzi wa Aidan Eyakuze, Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza Afrika Mashariki, kama Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa OGP. Eyakuze analeta uzoefu mkubwa katika masuala ya Serikali wazi, Uwazi, na Ushirikishwaji wa Wananchi barani Afrika na...
The link is on his bio click it and it'll open a browser, select "sports creator of the year " category, scroll down until you see @zerobrainer0 then VOTE NOW
https://vm.tiktok.com/ZMkSX5WBV/
Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ametoa kauli yenye mashiko kuhusu hali ya kiusalama na haki nchini, akisema kuwa Mtanzania akienda mahakamani hana hakika ya kupata haki yake, na hata akilala, hawezi kujua kama ataamka salama.
Akizunguza...
Kwa sasa Utajiri wa nchi na wafanyabiashara wakubwa na wanaotambulika RASMI upo chini ya wasomali, wahindi na waarabu!
Rarely au hakuna kabisa kumkuta Mtanzania amepenya hapa.
Kama Mtanzania akifanikiwa kuwekeza na akafika angle fulani ya kuwa na UTAJIRI RASMI kisha ikitokea amefariki, basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.