Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.
Kumekuwa na akaunti yenye jina la Luaga Mpina inachapisha taarifa mbali mbali kuhusu mambo yanayoendea nchini na kujibu hoja za Mbunge Luaga Joelson Mpina wa jimbo la Kisesa ndani ya mtandao wa X zamani twitter.
Naomba JAMIICHEK inisaidia kujua ukweli kama akaunti hii ni mali halali au...
Na MWANDISHI WETU, IGUNGA
WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa.
Amesema chokochoko za uongo za mbunge huyo zinapogusa sekta ya kilimo hawezi...
Naona chadema imejitolea kikosi cha mawakili wanaowawakilisha makada wake katika kesi nyingi, ili sasa wamuwakilishe Luhqga Mpina katika kesi zinazohusu mambo ya sukari, pia kesi inayohusu Mpina kufukuzwa Bungeni.
Haijafahamika kwa nini Mpina amechagua mawakili wenye mlengo na itikadi za...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha hukoo
"CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi. Viongozi wala rushwa na wezi ndani ya CCM sintocheka na nyie na nitawataja na kuendelea kuwasema hadharani daima"
"Bora nifukuzwe kabisa kuliko kukalia kimya rushwa na ufisadi unaofanywa kwa wachache na...
Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi. Hawana makuu ni watulivu, utapenda wakichangia. Hongera Rais tumefurahi wananchi wako.
TAARIFA RASMI YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA KWA VYOMBO VYA HABARI YA TAREHE 29 JULAI 2024
SURA YA NNE
MADHARA YA UTOAJI VIBALI KIHOLELA, KUSAMEHE KODI NA MABADILIKO YA SHERIA YA SEKTA YA SUKARI
1.0 Uamuzi wa kutoa...
Mawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu.
https://www.youtube.com/watch?v=a5iWi_n2I8M
Pamoja na nambo mengine, mawakili hao wamesema mojawapo ya kesi zilizofunguliwa ni ile anayomshtaki Spika wa Bunge na Mwanasheria mkuu wa Serikali kwa kunyang'anywa na kunyimwa haki...
1. Wakati wa mazishi ya hayati Edward Lowasa, akiwepo Rais wa JMT, aliyekuwa mwenezi wa chama cha mapinduzi alitamka kwamba atataja majina ya mawaziri wanaomsema vibaya Rais wa JMT. Maneno hayo yalikikasirisha sana chama cha mapinduzi. Akaitwa kwenye kamati ya maadili na kuraruliwa.
2. Mh...
LUHAGA MPINA amewasilisha kwa umma hoja zenye kurasa 95 kuhusu suala la vibali vya sukari lakini nimesikiliza press ya bosi wa bodi ya sukari sijaona akijibu hoja badala yake kuruka ruka.
Hoja za Mpina ziko kwenye kurasa 95 tunaomba majibu ya hizo hoja kama ni za uongo au za kweli weka matrix...
MJADALA wa Kashfa ya Sukari umezungumza sana ndani ya Bunge na nje ya Bunge hadi kusababisha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kufukuzwa bungeni baada ya kumtuhumu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kusema uongo kuhusu utoaji wa vibali vya waagizaji sukari nje ya nchi.
Jana Profesa Bengesi wa Bodi ya...
Binafsi pamoja na mapungufu ya Awamu ya tano ambayo baadhi ya wanasiasa wanakiita kipindi cha giza, bado naamini ndio kipindi ambacho mambo mengi ambayo yalionekana magumu yalianzishwa na sasa yanakamilika tunaona manufaa yake.
Hawa watu niliotaja wana sifa zinafanana sana na hayati Magufuli...
Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.
Kama taifa tumeelewa nini Mpina...
Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa
2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia
Sina shaka na kichwa cha tulia akson ni very bright ila ni km yupo dilemma hajui aongozaje bunge...
Luhaga Mpina safari hii katukana Bunge zima na wabunge wote, na pia karudia kumtukana Hussein Bashe. Kanuni zinataka apewe adhabu kali sana mfanano wa nyongo na siki. Adhabu hiyo ni kukosa vikao 30 vya Bunge. Nina imani hoja hii itawasilishwa kikao kijacho ili iende maadili.
Natanguliza shukrani
Jamaa baada ya kuvuliwa uwaziri ndio amejifanya mtu wa kujenga hoja, ni baada tu ya kunyang'anywa tonge mdomoni.
Alibebwa na Hayati Magufuli Ila mfumo wa Mama samia umemtema. Mpina akubali kuwa kila mfumo una watu wake, laiti kama mfumo wa mzee msoga ungeendelea kuwepo hadi leo wengine...
Suala la Mpina halipuuziki. Sema nasi tusikie. Mbunge Luhaga J. Mpina alidai bungeni kuwa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amelidanganya Bunge kuhusu sakata la uingizwaji wa sukari nchini. Alidai, pamoja na mambo mangine kuwa Bashe alisema uongo zaidi ya mara kumi.
Kwa mujibu wa Mpina, Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.