mfumo wa kidigitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ranchoboy

    Tuangalie Uwezekano wa Mfumo wa Kidigitali Katika Kupiga Kura Tanzania: Kwa Nini Tunahitaji Mfumo wa Kidigitali?

    Nimekaa na kuwaza... Hivi kweli haiwezekani tukaleta mapinduzi kwenye mfumo wa kupiga kura hapa Tanzania? Tunajua jinsi uchaguzi unavyochukua muda mwingi, foleni zisizoisha, watu wanaokata tamaa na kuamua kutojitokeza kabisa. Lakini mbona tuna teknolojia mikononi mwetu? Kwa nini tusibuni mfumo...
  2. The Palm Beach

    Uchaguzi 2025 CHADEMA mko wapi? CCM wanapita mashuleni na kuandikisha watoto wa shule za msingi na sekondari wote kama wanachama wao kwa mfumo wa kidigitali

    CHADEMA na ACT WAZALENDO mko wapi nyie? Msije mkasema hatukuwaambia... Watoto wangu wawili (kidato cha 1 & 2) wanaosoma shule moja ya kutwa hapa Shinyanga Manispaa wamefika nyumbani jana na kuniambia kuwa CCM walifika shuleni na pikipiki zao za kijani na kumtumia mwalimu mkuu wao awalazimishe...
  3. B

    Serikali boresheni mfumo wa kidigitali kupokea maoni ya watu kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu nchi yao

    Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi. Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mavunde Atengeneza Mfumo wa Kidigitali wa Wenyeviti wa Mitaa Kuwasilisha Kero za Wananchi

    MBUNGE MAVUNDE ATENGENEZA MFUMO WA KIDIGITALI WA WENYEVITI WA MITAA KUWASILISHA KERO ZA WANANCHI - Ni mfumo wa haraka zaidi wa kufikisha kero kupitia simu janja - Wenyeviti wote kupatiwa simu maalum za kuwasilisha kero kwa uharaka - Wenyeviti wa mitaa wampongeza kwa ubunifu Mbunge wa Jimbo...
  5. GENTAMYCINE

    Chuo Kikuu Makerere chazindua mfumo wa kidigitali wa kufuatilia mahudhurio kwa wafanyakazi na wanafunzi

    Makerere University has launched a digital system that will enable it effectively monitor attendance of staff and students in order to limit the vice of dodging classes. The two systems the Biometric access and Student Attendance Management System (SAMS) were launched on Friday, May 3rd, 2024...
Back
Top Bottom