boresheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Benki ya NMB boresheni huduma zenu kwa wateja

    Nilikuwa safari yangu kuelekea Chato nikasimama mji mdogo wa Katoro nje kidogo ya Geita, nikaenda sehemu kupata huduma ya vitu mbalimbali kisha nikaona nikiapate huduma ya kifedha na mambo mengine katika tawi la NMB KATORO. Ee bwana wahudumu wa tawi hili costmer care yao ya hovyo sana pia...
  2. Suley2019

    Viongozi boresheni miundombinu Majimboni kwenu. Msingoje mpaka Ziara ya Rais ndio mshtuke!

    Habari, Kumekuwa na tabia ya viongozi wengi wa kisiasa katika ngazi za mikoa (majimbo) mbalimbali kufanya marekebisho ya miundombinu ya jimbo lao wanaposikia Rais atapita maeneo yao. Viongozi hawa wamekuwa wakimwaga na kusawazisha vifusi barabarani, kufanya ukarabati wa kuzuga ili kumuaminisha...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee

    Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amemuomba Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Ushetu Athuman Matindo kuboresha huduma kwa wazee ambao wanavitambulisho maalum kutoka ofisi ya serikali ya kijiji ili wapate huduma kwa wakati. Amesema...
  4. IamMrLiverpool

    Wakatoliki boresheni Ibada zenu

    Habari Wakuu, Bwana asifiwe.... Mungu ni Mwema... Tumsifu yesu kristo, Shalom. Wiki iliyopita nilialikwa na jamaa yangu kwenda kuhudhuria ibada ya RC, Kwakuwa mimi huwa namualika kwenye Ibada zetu na anakuja hivyo ikabidi na mimi nimuunge mkono. 1) Kwakweli Ibada zenu zina utulivu wa hali ya...
  5. R

    Taa ya kuongozea magari Kinondoni Biafra inakaribia kuanguka, kodi kubwa tunazolipa zitumike vizuri!

    Wakuu, Hizi ni taa zipo Kinondoni Biafra, Dar. Moja imejishikilia vizuri wakati nyingine inakaribia kuanguka. Naamini kufanyiwa maboresho sasa ni bora na itakuwa gharama nafuu kuliko kusubiri ianguke iharibike zaidi. Kodi zetu ndio zinawezesha ukarabati huo kufanyika na kama ikiachwa ikaanguka...
  6. D

    Elimu siyo ngumu lakini mambo kama haya ndiyo yanaifanya iwe ngumu kwa watoto; Wizara ya Elimu, BAKITA boresheni

    Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu! Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa! Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
  7. DR SANTOS

    TAMISEMI, boresheni mfumo wa maombi ya ajira

    Habari wana jamvi Nasikitika kusema kwamba leo nimekesha usiku kucha for nothing, mfumo wa maombi ya ajira haufunguki na hata ukifnguka mzigo una load tu bila response yoyote. Jana nilijua labda pengine ni kwaajili ya watu wengi kuutumia mchana nikasema usiku nitakesha nimalize kila kitu...
  8. D

    Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Ukizungumzia umhimu wa Documentary chaneli katika utalii Tanzania! Huwezi Kuacha kuizungumzia TANZANIA SAFARI CHANELI Chaneli hii imekuja kuonesha mageuzi makubwa sana katika sekta ya utalii Tanzania! Lakini pamoja na mazuri ya chaneli hii IPO shida kubwa sana katika namna wanavyowasilisha...
  9. Singasinga

    Azam TV boresheni kamera zenu

    Habari wakuu, Kwa tukio la jana kukataliwa goal la Geita Gold ni wazi Azam TV wanapaswa kuboresha eneo lao la camera kwani hawakupi nafasi ya kuangalia angle zote za move ya mpira. Mfano jana kwa picha za marudio zinaonesha tu kapombe akianguka na mfungaji kupiga kichwa na goal kukataliwa. Je...
Back
Top Bottom