Huyu jamaa kwa magoli ya mchongo anaongoza kwenye ligi yetu, yaani bila GSM kununua makipa au mabeki plus makocha ni hovyoo kabisa. cheki hapa chini mtu aliyemshindwa last msimu wa 2021/2022 yeye yupo nafasi ya pili kutoka chini halafu yeye kilaza Mayele yupo nafasi ya kwanza tena kwa magoli 10...
Mandonga Mtu Kazi baada ya kumfumua ndoige Saidi Mbelwa ametangaza kumtaka Hassan Mwakinyo.
Akihojiwa baada ya pambano amesema anaenda Qatar kupimzika, akirudi anamtaka Mwakinyo huku akimuita bondia wa mchongo.
1:Anzia kijijini. Kule utapata wafuasi wengi wasio na uwezo wa kuhoji kipindi uwezo wako wa kushawishi Bado mdogo.
2: TUMIA Muda mwingi kusoma vitabu vya uchawi ili ujue watu wanalogwaje, vitabu vya migogoro ya ndoa, magomvi ya familia na ukoo. Ujue watu wakienda Kwa waganga Huwa wanafanywaje...
Dah! Wale Waarabu wamejua kutupa tabu hii wiki na miaka mingine mingi.
Imagine kwa haya matokeo tulikua tunaambiwa Uto mechi za ugenini wanashinda.
Imagine leo na kuendelea jinsi hali itakavyokua ni huzuni sana tutaambiwa haikuwahi kufungwa kabisa ugenini. Sijawahi ona waarabu hovyo kama...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia huduma zinazotolewa na hawa manabii na mitume wanaoibuka kama uyoga hapa nchini.
Nimegundua Serikali isipochukua maamuzi magumu kuwapiga marufuku hawa watu, miaka michache...
Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33.
Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa.
Kwa vijana wengi wa kiislam ninkawaida kukuta ashaoa akiwa na 23 hadi 25.
Huu ni usbhahidi tosha kwamba ndoa za kikristo...
Baada ya mashabiki kulalamika kwamba marefa wanahongwa kuruhusu magoli ya mchongo, sasa wapuliza filimbi hao wa mchongo wamekuja na mbinu nyingine: kudhoofisha timu kiakili na kimwili kwa kuwalima wachezaji red kadi za magumashi.
Juzi hapa baada ya kuonekana kuwa wakata miwa wa turiani...
Habari wakuu,
Inasikitisha na kutia hasira kuona tumefikia huku na tunasema kila siku jeshi letu ni kiboko. Kweli Panya Road ndiyo wameshindikana kiasi hiki mpaka kufikia mtu anapoteza uhai na nyie mpo?!
Ama huu ni mchongo wa mtu unaoibuliwa kila akitaka kupata maslahi yake anayoyajua...
Aibu ya Jana inadhihirisha kuwa lig yetu imeshuka kiwanga na pia inatawaliwa na rushwa,kitendo Cha waamuz wetu kupewa hongo ili waipe Yanga ushindi ndio kimefanya watanzania tuzalilike hapo Jana. Maana haiwezekan bingwa halali apgwe na Tim ndogo namna hyo!!!
NDUGu WADAU Wa Soka la Tanzania...
ilikuwa tarehe 25 july 2020 baada ya kuamka asubuhi kwa ajili ya kwenda kwenye mizunguuko yangu ya kila siku nakutana na baridi kali sana. Miaka mingi kidogo wakati nakua kipindi cha baridi kilikuwa ni mwezi wa sita, sasa hii baridi ya mwezi wa saba kwenda wa nane veepe?
Utagundua kitu sawa na...
Nina mashaka na shuhuda za wachakata mbususu humu ndani, sifa za mabinti wanazotoa mara zote zinafanana tako la kwenda, uzuri wa sura, sauti nzuri, shepu nzuri, guu la bia n.k.
Kwamba hamjawahi kuchakata za dada zetu wenye sura ngumu? Hamjawahi kuchakata mbususu za wakina dada wenye english...
najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022
chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini
najua kumetokea kanjanja kubwa kwenye mishahara mipya ila isiwakatishe moyo mkaharibu hili zoezi!
kuna...
Wakuu, Mida hii ndo nafika gheto na uchovu mkali wa mwili ingawa mkuyenge bado unasimama simama tu!
Siku ya jana sikuonekana ndani ya jf kuanzia mida ya saa moja jioni kwa kuwa nilimfuata nesi kupata ufumbuzi wa tatizo!
Tulikutana kwenye hotel flani, akawa kaagiza msosi sahani mbili na K vant...
Hapo vip!!
Leo natua kwa huyu mtu anaitwa Tumaini kweka ambaye ni naibu DDP wa serikali,kwanza sitaki nimjue sana kwa sasa napata kichefu chefu.
Niwazi huyu mtu amemgeuza Sabaya kama project ya kujitengenezea pesa kutoka katika kodi za wananchi pasipo Samia kujua hilo.Wananchi na wanaccm...
Maisha haya yana risk nyingi sana.
Jamaa kanipa dili zito sana. Eti huko Ukraine kuna Bunduki kibao zikizotelekezwa, anaziuza kimagendo kuja huku Africa.
Kanishirikisha kwamba nikiweza nimcheki tufanye biashara.
Gharama za kusafirisha mpaka mzigo kunifikia ni juu yake.
Yani nawaza sana hii...
Huu mchongo ni kwayule kijana ambaye amepinda na maisha ya mtaani.
Kuna michongo mingi ya kufanya ili "kusogeza siku" huku ukisubiri inshu ya maana.
Huu ni mmoja wapo.
KUGONGA KOKOTO.
KUGONGA KOKOTO ndoo moja ni 200, kwahiyo ukikomaa kwa siku wastani unaweza kugonga ndoo 30.
200 ×...
Hakika huyu Mwamuzii wa hii mechi ya leo baina ya Simba na Azam ni refaa wa Mchongo.
Unawezaje kukaa penati ya wazi kama ile baada ya mtu kuunawa mpira ndani ya boksi?
Soka la Bongo kama siasa za Bongo.
Azam wamepigwa!
Habari wana economics?
Kuna ishu moja nataka ku share na nyie kwa mtakaoona inafaa mnaweza fanyia kazi.
Nimetonywa na mdau wangu alieko kitengo flani cha Polisi huku DSM, kwamba wanakaribia kuuza pikipiki zilizotelekezwa na watu vituoni (Bila shaka huwa mnaziona zilivyo jazana kwenye yadi zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.