maziko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

    Kwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?
  2. Roving Journalist

    Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_ Waombolezaji wametoa...
  3. Webabu

    Netanyahu na baraza la vita walia vibaya kwenye maziko ya General Gal,mtoto wa waziri aliyeuliwa na Hamas

    Japo wameshaua wapalestina zaidi 20 ukiunganisha na wale walio chini ya kifusi hata hivyo kifo cha askari mmoja wa cheo cha juu kumewahuzunisha sana viongozi wa Israel akiwemo kamanda mkuu wa vita baina yake na wanamgambo wa Hamas. Baba yake meja Gal huku akilia na kukumbatia jeneza la mwanawe...
  4. Hismastersvoice

    Hili agizo la Serikali kugharamia misiba na maziko ya viongozi wa CCM ni dhuluma kwa kodi zetu

    Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao...
  5. emmarki

    Bishara ya huduma ya maziko kifahari

    Kifo ni sehemu ya kila mwanadamu, ni sherehe ya mwisho. Kutokana na ongezeko la watu kuga dunia, wanafamilia hujichanga na kupendelea sherehe ya mwisho ya mpendwa wao itafana kiasi gani. Watu wa vijijini nyakati hizi wanapenda kufanya maziko ya kifahari hasa mikoa yenye watu wanaojua kutafuta...
  6. mdukuzi

    Aliyegundua kusoma historia ya marehemu siku ya maziko ana akili nyingi sana

    Mwaka fulani nikiwa wilaya moja mkoani Iringa nikifanya kazi katika hospitali ya wilaya ya Kilolo katika idara ya TEHAMA. Nikakutana na chotara wa kihehe na kizungu kwenye korido, wapo wengi sana Iringa sijui walitokea wapi, zile dizaini ya Hanspope. Binti mdogo wa miaka 21, nikamtongoza...
  7. M

    Ndugu washiriki maziko ya daktari kwa njia ya video

    Dar es Salaam. Safari ya mwisho ya maisha ya daktari Mtanzania, Mohammed Ali Hafidh (37) aliyefariki dunia nchini Uganda kwa ugonjwa Ebola ilihitimishwa juzi, baada ya kufanyika maziko ambayo yalihudhuriwa na familia yake kwa njia ya mtandao. Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dk Aziz Milima...
  8. Songambele

    Maziko ya Kifalme na faragha - Kinafanyika nini?

    Alipofariki Nelson Mandera dunia nzima ilenda live kwa kipindi chote cha msiba na maombolezo, ilipofikia mwili kuwekwa katika nyumba ya milele kamera zilizimwa na tukaambia ni ndugu wa karibu tu ndio watakaoshiriki zoezi zima la kuzika. Jana tena wakati Malkia anazikwa pamoja dunia kushiriki...
  9. T

    Maziko ya Malikia UK uwenda yakatikisa soko la hisa la dunia siku ya kesho (Black Monday)

    Igweeee taarifa zisizo Rasmi kesho ni siku itakuwa ngumu kuanzia kwenye masoko ya hisa ya dunia sector ya mawasiliano. Taarifa zinasema uwenda system zika down kwa masaa kadhaa wakati wa mazishi ya Malikia wa UK. Kwa mataifa masikini soko la fx litakuwa sio zuri na uwenda kwa mtu anafanya...
  10. M

    Ngoja tumalize Uapisho wa Ruto na Maziko ya Bi. Eliza nifanye minor rushuffle kwani Wananchi Wanalalamika mno

    Ule wakati wa Mtanzania Mmoja yeye na Familia yake sasa kwenda kuishi Burundi kama anavyotutaka Wengine tukaishi huko inakaribia.
  11. Hivi punde

    Nikiona binadamu anazikwa nachanganyikiwa mno

    Poleni sana na majukumu. Nikiona watu wanachimba kaburi then kumfukia binadamu mwenzangu navurugwa sana kichwani. Nafikiria mambo mengi mno... Mbaya zaidi azikwe mtu ambaye namfahamu. Nikienda makaburuni na kutizama namna udongo unavyotumeza, inasikitisha na kufikirisha mno. Maisha baada ya...
  12. JanguKamaJangu

    Miili 6 ya familia moja iliyouawa Kigoma inaweza kufukuliwa, mtoto aliyefariki maziko yake yasitishwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limezuia maziko ya James Januari (4) aliyejeruhiwa usiku wa kuamkia Jumapili na kufariki dunia Julai 5, 2022 katika Hospitali ya Rufaa Morogoro. Aidha, kuna uwezekano wa kufukua miili sita iliyozikwa Jumapili Julai 3, 2022 baada ya tukio la mauaji ya watu sita wa...
  13. ommytk

    Ushauri Msiba wa mkwe na mdogo wake na maziko siku moja je aende kumzika nani

    Wadau kuna ndugu yetu mmoja anapitia wakati mgumu sana mimi Jana kanipigia nimeongea nae nimeshindwa kwakweli kumpa ushauri hali iko hivi ana msiba wa mdogo wake anayemfuata uku akapata tena msiba wa mkwewe baba wa mkewe. Kwa bahati mbaya maziko ni siku moja maeneo tofauti baba mkwe anaenda...
  14. BigTall

    (Picha) Kuelekea maziko ya Maunda Zorro, matukio ya msibani Kigamboni

    Picha mbalimbali kuhusu msiba wa Maunda Zorro ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa Aprili 16, 2022. Baba Mzazi wa Mwimbaji Maunda Zorro ameomba kumwimbia mwanae Maunda msibani kama ishara ya kumuaga, Maunda amefariki akiwa...
  15. Mohamed Said

    Maziko ya Bi. Safia bint Juma Makasara - Mama yake Balozi Dr. Dau

    MAZIKO YA BI SAFIA BINT JUMA MAKASARA MAMA YAKE BALOZI DR. RAMADHANI KITWANA DAU YAMEVUNJA REKODI YA MAZIKO YOTE Mji wa Dar es Salaam una historia ndefu ya mazishi makubwa yaliyopata kutokea. Mimi nakua katika miaka ya 1960 nikiwasikia wazee wetu wakihadithia maziko ya Sheikh Idrissa bin Salad...
  16. Mohamed Said

    Zumari: Maziko ya Abdul Sykes 13 oktoba 1968

    Naeleza mazishi yalivyokuwa kuanzia dakika ya 7. Labda unaweza kujifunza kitu kitokana na historia hii ambayo kwa hakika ni historia ya watu wa Dar-es-Salaam na utamaduni wao na vipi historia hii ni sehemu muhimu sana katika historia kubwa ya Tanganyika.
  17. mama D

    Shughuli za Misiba, Maziko na Maombolezo zimeanza kupoteza maadili ya asili na imani zetu, Utu na Ubinadamu katika jamii

    Ninavyojua mimi kwenye misiba huwa kuna utani kati ya watani ambayo inasaidia kupunguza uchungu na kubadili hali ya hewa kwa muda kwa kuwaondoa wafiwa kwenye tension ya msiba walau kwa dakika chache, bila kumvunjia marehemu heshma au kuleta taharuki Lakini leo nimekutana na hii clip nikabaki na...
  18. K

    #COVID19 Serikali itoe tamko suala la maziko ya watu waliokufa kwa COVID-19 au waliokuwa na changamoto ya upumuaji

    Sina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida. Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida. Hata Viongozi wa Dini wameamua kumjaribu Mungu kwa kushindwa kutoa tahadhari ili kuwalinda baadhi ya watu. Natoa rai kwa Serikali...
  19. Mohamed Said

    Maziko ya Abdulwahid Sykes 1968

    MAZIKO YA ABDULWAHID SYKES 1968 Mazishi ya Abdulwahid Sykes yalifanyika siku ya Jumapili tarehe 13 Okrtoba, 1968. Mazishi yake yalikuwa makubwa yasiyo kifani. Ukitoa mazishi ya mwaka wa 1950 ya Sheikh Idrissa bin Saad, muasisi na Khalifa wa Tariqa Askariya na mazishi ya Sheikh Kaluta Amri...
Back
Top Bottom