Mambo vipi wakuu kwema habari za siku ya mwaka mpya mmeanza vema, sawa sawa sasa mi nina ka jambo nimekaleta nipate ushari,
Hivi kati ya Azam na Star times wapi wapo vizuri pia kuhusu vipindi vyao, matatizo yao, nk. Kwa upande wangu mimi natumia star times, ila baada ya Google nikaona na Azam...